Nyongo ya mamba ni sumu kali inayouwa kwa haraka zaidi

Ndugu GIRITA, UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini, hiyo kitu Pesee itakuwa ni mambo mengine tu ya urozi!
Ndio ni ugonjwa unaotengenezwa kishirikina una athiri kama ukimwi,kama haujakwenda ushirikinani kupima tatizo utajua ni ukimwi!!
 
Kule kwetu tunaichukua tunatengeneza mkuki basi tunapaka pale mbele kidogo sasa ole wako unikorofishe nikuchome nao uone hilo jeraha kama litapona
 
Naitaka naipata wapi?
 
Kurunzi ila usiitumie kuua utasababisha niingie Motoni !!!
 
Kule kwetu tunaichukua tunatengeneza mkuki basi tunapaka pale mbele kidogo sasa ole wako unikorofishe nikuchome nao uone hilo jeraha kama litapona
Haahaa,kwenu mnafuga mamba kwa ajili ya kuwaletea misukule maeneo ya ziwani?
 
Sasa unasema ni sumu maarufu kwa washirikina ina maana washirikina hao bila kumpata muhusika physically ushirikina wao hauna nguvu, hivyo nahitimisha hamna ushirikina hapo.
Brother, mshirikina huja kwa Mtu anayetaka kumuangamiza kwa kujiweka katika trance ya kutoonekana, kisha huidondoshea katika kinywaji au chakula cha aliyemlenga kudhurika na kisha kuondoka zake.
Sehemu kubwa ya vifo vya sumu, wachawi ni asilimia 85.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu akikupa kinywaji halafu baada ya dakika 10 ukakata moto watu si wataanza kudeal na aliyekupa kinywaji?
 
Tunaenda kuwashika ziwani au mto ruaha ile nyongo tunatoa ile sumu kwa ajili ya mishale yetu ya kuwindia tunachanganya namiti pori fulani mizizi yake basi hata tembo ukimpiga mshale ule au nyati mita 5 tu mbele hapo hapo ganzi anadondoka
Haahaa,kwenu mnafuga mamba kwa ajili ya kuwaletea misukule maeneo ya ziwani?
 
Kunadawa inachanganywa ya kienyeji ili kuwahi kuleta matokeo haraka kwa mtumiaji.
Msiongee vitu hamjui nyongo ya mamba haichanganywi na kitu chochote wala haihitaji ushirikina ikisuuzwa kwenye glass na ukawekewa kitu ukanywa dakika 3 huchukui na huyo anayesema uchachu wake haupendi ni mpuuzi hiyo kitu haionjwi na mtu.
Miaka ya 70 alinyweshwa SSP mmoja walikuwa shahidi wa kesi ya mauaji mahali alitapika na kufia hapo matapishi yaliweka alama for more than 15 yrs.
Pia Mara nyingi akiuawawa mamba maliasili hufika na kumtoa nyongo navkuondoka Mayo.
 
Duh, kuna watu niliwakuta wamemtega mamba... Baada ya kumnasa na kumuua wakamchuna, nikawauliza mnakula nyama? Wakasema "tunachukua ngozi tukawambe ngoma"

Ilikuwa mto Ruvu.
Mamba analika nyama yake kama samaki na anakaribia kufanana na chatu isipokuwa chatu ana hsrufu nyingine nyingine.
 
Acha kupotosha na kuwatisha watu bhana toka nakua kwetu mwambao wa ziwa kuelekea Kagunga sijawahi kusikia mtu kauawa au kufa kwa kuwekewa sumu ya mamba kwenye kahawa.Nasikia sumu ya nyongo ya mamba ni hatari ila huo utaratibu ndio mgeni kwangu maana toka Kalalangabo,mtanga na ngelwe yake,Kazinga,mwamgongo,Bugamba,Zashe kagunga mpaka kuelekea huko nchi jirani sijasikia historia hii labda huko kusini.

Cha msingi ni kujihadhari kabla ya hatari hakuna sumu tamu na wala hakuna muuaji asiyekujua.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…