Nyoshi Al Sadat anashangaza sana

Nyoshi Al Sadat anashangaza sana

Nyoshi nampenda sana sababu ni mkweli, hajui kupindisha maneno. Kama mkorogo anaopaka tu anasema na kuuonesha itakuwa kuwasema nyie? Sasa kama wazungu wanacheza kwanini nyie hamchezi?
Kawachamba mkome na unafiki wenu wa kibongo. Eti mmeenda kumuangalia ana jipya gani, kawakomesha!
Madame nilipe hela yangu
Ili Nile minyama na kuinjio mzik mzuri
Sasa matusi ya nn?
Au kifurushi kulikuwa na package ya kucheza?
 
Nyoshi nampenda sana sababu ni mkweli, hajui kupindisha maneno. Kama mkorogo anaopaka tu anasema na kuuonesha itakuwa kuwasema nyie? Sasa kama wazungu wanacheza kwanini nyie hamchezi?
Kawachamba mkome na unafiki wenu wa kibongo. Eti mmeenda kumuangalia ana jipya gani, kawakomesha!

Utakuwa hujui historia ya nyoshi na fm academia!! Nyoshi na band yake hii hajafikia level ya FM academia!! Mtu hawezi kuinuka kucheza mziki ambao haina vibe!! Atapata tabu sana!! Mwambie au nikupigie ndo umwambie!! Niko nae hapa!!
[emoji16]
 
Mijitu mingine aisee!! So unahisi huku sisi hatupigi hela!! Wabongo mkitoka nje Mnajiona mmemaliza kumbe wengine ni wabeba box Walmart, Amazon, wakatisha tickets za buses na train [emoji577]! Mwishowe mnaona aibu kurudi bongo na kufia hukohuko!! Kufeni huko kwani nn shida!!!
Acha kujifariji wewe,wewe endelea tu kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kubishana Simba na Yanga,huyo uliyemquote ni wapi amesema huko hampigi hela?

Halafu wewe ungekua na hela usingekuja kulia lia hapa eti sijui umechoma mafuta,mara eti umetumia gharama zako,punguza chuki kila mtu na maisha yake.
 
Sina la kuongeza🤣🤣🤣
 
Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!”

Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!

Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi “Wachache” tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!

Tuna Choma mafuta muda [emoji383]! Mamaae! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku.

Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
Bia imegeuka moshi kichwani.

Si haba, hebu jaribu kiingereza basi tujue umekunywa brand ipi
 
Back
Top Bottom