Nyoshi Al Sadat anashangaza sana

Nyoshi Al Sadat anashangaza sana

Washabiki wa muziki wa dansi tanzania wengi ni wanafiki, wanapenda majungu, maneno madogo madogo yasiyo na maana, umbea, ujuaji usio na maana ndio maana hata muziki huu haupandi tena.

Nyoshi ni wa kuheshimiwa sana. Ametoka fm, kakusanya vipaji vipya na vikongwe, bendi imesimama. Hiyo fm iko wapi? Acheni hizo mambo wadau wa dansi.
 
Sasa usipoenda kwenye mziki ndio unamkoa Nyoshi Kweli?🤣🤣🤣🤣hata usipoenda wewe wataenda wengine...
By the way,Kwa Nini mlikuwa hamchezi mziki?mlienda kumchora tu mwenzenu sio?
WaTz wengi kinachowapeleka out kwenye sehemu za music si mziki wenyewe, ni either umalaya (wauzaji na wanunuzi) au ulevi…

Wachache sana huenda kuenjoy vinywaji na friends, kusikiliza music au kucheza.

Alichosema nyoshi 80% yuko sahihi.
 
Back
Top Bottom