Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Madame nilipe hela yanguNyoshi nampenda sana sababu ni mkweli, hajui kupindisha maneno. Kama mkorogo anaopaka tu anasema na kuuonesha itakuwa kuwasema nyie? Sasa kama wazungu wanacheza kwanini nyie hamchezi?
Kawachamba mkome na unafiki wenu wa kibongo. Eti mmeenda kumuangalia ana jipya gani, kawakomesha!
Nyoshi nampenda sana sababu ni mkweli, hajui kupindisha maneno. Kama mkorogo anaopaka tu anasema na kuuonesha itakuwa kuwasema nyie? Sasa kama wazungu wanacheza kwanini nyie hamchezi?
Kawachamba mkome na unafiki wenu wa kibongo. Eti mmeenda kumuangalia ana jipya gani, kawakomesha!
matusi yjapo au kaacha?
leo nalala hapa hawaii kiongozi
Acha kujifariji wewe,wewe endelea tu kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kubishana Simba na Yanga,huyo uliyemquote ni wapi amesema huko hampigi hela?Mijitu mingine aisee!! So unahisi huku sisi hatupigi hela!! Wabongo mkitoka nje Mnajiona mmemaliza kumbe wengine ni wabeba box Walmart, Amazon, wakatisha tickets za buses na train [emoji577]! Mwishowe mnaona aibu kurudi bongo na kufia hukohuko!! Kufeni huko kwani nn shida!!!
Hupoi siku hizi๐คฃMjinga huyo
Na ndomana hapewi uraia miaka nenda miaka rudi
Sina la kuongeza๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha kujifariji wewe,wewe endelea tu kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kubishana Simba na Yanga,huyo uliyemquote ni wapi amesema huko hampigi hela?
Halafu wewe ungekua na hela usingekuja kulia lia hapa eti sijui umechoma mafuta,mara eti umetumia gharama zako,punguza chuki kila mtu na maisha yake.
Hulali? Au na wewe upo live band kwa Chimbende?Hupoi siku hizi๐คฃ
HAhaha leo weekend ujueHulali? Au na wewe upo live band kwa Chimbende?
Ndo ukaenda peke yako hata hujanipitiaHAhaha leo weekend ujue
Mtoto wa geti kali, ya nini kusakiziwa mbwa jmn?๐คฃ๐คฃ๐คฃNdo ukaenda peke yako hata hujanipitia
Naruka ukutaMtoto wa geti kali, ya nini kusakiziwa mbwa jmn?๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ujue siku hizi sibebi muwa bila kuung'ata ๐๐๐Naruka ukuta
Wewe tu๐Ujue siku hizi sibebi muwa bila kuing'ata ๐๐๐
Hiyo sawa, ruka ukuta nakutumia indrive sasa hivi.Wewe tu๐
Bia imegeuka moshi kichwani.
Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema โnyie waswahili mmekaa tu hata hamchezi wakati wazungu wanacheza, ngoja tuwapigie nyimbo zenu waswahili!!โ
Huyu jamaa nahisi kashiba na kuvimbiwa uhuru wa kufanya mziki Bongo!! Huyu kasahau kabisa wakati yuko na FM Academia jinsi watu walivyokuwa wakijaa na kucheza mziki wa FM academia tena yeye akiwa Kiongozi!
Anashindwa kujua hajafikia levels za FM academia na kuishia kututukana sisi โWachacheโ tuliojitokeza kuona ana jipya gani!!? Tena kwa gharama zetu!
Tuna Choma mafuta muda [emoji383]! Mamaae! Kwa matusi haya nathibitisha sitohudhuria show yake labda aombe msamaha. Kama vp aende Ulaya akapige mziki wazungu watahudhuria kila siku.
Kaongea utumbo sana leo!! Tunamheshimu sana ila kwa dharau hizi basi Mamlaka imruhusu akajaribu maisha Kinshasa!! Si ndo nyumbani kwao!! Eeh!!basi aende.
Umeona eehSiungesema mapema tukaja hapo kuskiliza matusi,mana wengine hatuna pa kulala