Nyoshi Al Sadat anashangaza sana

Sasa usipoenda kwenye mziki ndio unamkoa Nyoshi Kweli?🤣🤣🤣🤣hata usipoenda wewe wataenda wengine...
By the way,Kwa Nini mlikuwa hamchezi mziki?mlienda kumchora tu mwenzenu sio?
 
We dada tuhurumie plz
 
Nimejaribu kuangalia kama nitayaona hayo matusi uliyotukanwa na huyo Nyoshi El Sadaat, nimetoka kapa!

Au labda hayo maneno Waswahili na Wazungu yatakuwa na maana tofauti na hii ninayo ifahamu. Au mtoa mada una itikadi za ki ccm? Maana na wenyewe huwa wanataka kusifiwa tu. Ukiwaambia ukweli, wanakuona wewe ni mchochezi!
 
Nifah Jamani[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huendi kwa sababu unapenda kazi zake bali kwa sababu kuna jipya gani.Kwanza hajatukana kawaambia,unaenda kwenye shoo uso umefura kama amira
 
Du. Comment hiyo ndiyo inakufanya ukoboe mdomo namna hii? Kwenye mitandano ukichukulia mambo serious sana utakufa siku siyo zako. Yaani jamaa kuandika hivyo ndiyo povu mpaka chumba chote kimejaa! Kwa taarifa yako anaweza kuwa ni member yuko Lukuledi huko vijijini anakufanya u-panick namna hii. Hata kama yuko nje mbona alichoandika ni kawaida sana. Mara ngapi hapa watu wanasema mimi niko eg Mwanza nakula sangara... Inferiority complex uliyo nayo siyo ya kawaida...
 
mnyanyuke mcheze wacha kulalamika we mswahili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…