Rukia Bruno aka mama stalloneNikumbushe jina la Marehemu mke wa nyoshi. Dada alikuwaga mzuri yule
Unamanisha kuruka ukuta auNaruka ukuta
WaTz wengi kinachowapeleka out kwenye sehemu za music si mziki wenyewe, ni either umalaya (wauzaji na wanunuzi) au ulevi…Sasa usipoenda kwenye mziki ndio unamkoa Nyoshi Kweli?🤣🤣🤣🤣hata usipoenda wewe wataenda wengine...
By the way,Kwa Nini mlikuwa hamchezi mziki?mlienda kumchora tu mwenzenu sio?
Ukuta kama ukuta,wenye tofaliUnamanisha kuruka ukuta au
Anhaaa ok nkajua...Ukuta kama ukuta,wenye tofali
Nini?Anhaaa ok nkajua...