Unatetea uwozo.yani ata asicheze kabisa aenfe ndondo cup
Nenda akakupige finger tumchekee. Mimi ningekuwa ndio mtoa adhabu, Nyoso asingeonekana tena uwanjani. Nisingemfungia maisha, NO. Ningemfungia miaka 90 ili kwamba asije akathubutu hata kucheza kaburini maana kifungo cha maisha huisha mtu akifa, lkn miaka 90 hata mifupa yake itakuwa imeshasagika kaburini.
Hii ni mara ya pili anafanya upuuzi huo huo halafu unasema kaonewa?! Are you what....stupid?!
Acha kujitoa akili Suarez aling'ata na kurudia mara lakin alifungiwa miezi 4, mchezaji wa chili alifanya kosa kama la nyoso akafungiwa mechi 5. kwanza mbeya city hawajakataa adhabu wanachotaka haki itendeke
Huko Mbeya City hamna mtu anayejua kusoma na kuelewa, inaonekana wanajua kusoma tu. AU/NA haieleweki nini hapo?
Je, hizi picha hazithibitishi pasipo shaka? Ni mara ya kwanza Nyoso kufanya hivyo? Upuuzi mtupu, badala ya kukazia hukumu, yapo yanalalamika. Kweli ni mijitu ya hovyo hovyo, kuanzia uongozi hadi wachezaji. Rafu ndio wanajua kucheza na mipira ya kusukumana kama rugby
Kwani lazima tuwaige wao?
Nenda akakupige finger tumchekee. Mimi ningekuwa ndio mtoa adhabu, Nyoso asingeonekana tena uwanjani. Nisingemfungia maisha, NO. Ningemfungia miaka 90 ili kwamba asije akathubutu hata kucheza kaburini maana kifungo cha maisha huisha mtu akifa, lkn miaka 90 hata mifupa yake itakuwa imeshasagika kaburini.
Hii ni mara ya pili anafanya upuuzi huo huo halafu unasema kaonewa?! Are you what....stupid?!
Huu ni uonevu mkubwa kwa klabu changa kama Mbeya city kwa sisi mashabiki tunahisi kama hiyo adhabu imekuja ili kuifanya Mbeya city ishindwe kuleta ushindani au wanaidhoofisha klabu kwa makusudi .
Kila jambo huwa na chanzo chake na siku zote yule aliyeanza kutenda kosa pia hupewa Adhabu sasa iweje wachezaji wa Azam ambao Ndiyo chanzo cha tatizo waachwe hata bila barua ya Onyo tu? Tambua kuwa juma nyoso aliamua kulipa kisasi baada ya kuona mwamuzi hafuati sheria za soka kaamua kuwaacha Azam wawafanyie watakavyo.
Mkuu upo sahihi kabisa ndo maana hata FA ilimfungia diego costa mara baada ya kumsababishia gabriel kadi nyekundu, japo mwanzo hakupewa adhabu, sasa tff wanatetea ugali wao kutoka azam campany ndo maana hawajawagusa wachezaji wa azam fc
37(24) Mchezaji yeyote atakayepatikana na hatia ya kufanya makosa makubwa ya kimaadili au kinidhamu, au ya kibaguzi au yakidhalilishaji au yatakayotafsiriwa kuwa ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za mchezo na ubinaadamu atatozwa faini kati ya shilingi milioni moja mpaka milioni tatu au/na kusimamishwa kushiriki michezo mitatu mpaka kumi ya klabu yake yoyote atakayoitumikia katika Ligi Kuu na mashindano mengine rasmi ya TFF au kufungiwa kipindi cha kati ya mwaka mmoja na miwili.
Huko Mbeya City hamna mtu anayejua kusoma na kuelewa, inaonekana wanajua kusoma tu. AU/NA haieleweki nini hapo?
Je, hizi picha hazithibitishi pasipo shaka? Ni mara ya kwanza Nyoso kufanya hivyo? Upuuzi mtupu, badala ya kukazia hukumu, yapo yanalalamika. Kweli ni mijitu ya hovyo hovyo, kuanzia uongozi hadi wachezaji. Rafu ndio wanajua kucheza na mipira ya kusukumana kama rugby
Wewe ndio hujui hata kusoma, acha kuwatusi wenzio. Hapo kuna au za aina mbili, kuna nyekundu na ya bluu. Hiyo nekundu inatenganisha adhabu mbili ambazo ni "atatozwa faini kati ya shilingi milioni moja mpaka milioni tatu" au/na "kusimamishwa kushiriki michezo mitatu mpaka kumi". Kwa tafsiri hii mchezaji anaweza kupewa adhabu mojawapo ama zote mbili, kutegemea maamuzi ya kamati husika itakayotoa adhabu hiyo (hizo). Lakini "au" ya bluu inatenganisha zile adhabu mbili za mwanzo na hii ya mwisho ambayo ndiyo ya kufungiwa kucheza soka kwa kipindi cha kati ya mwaka mmoja au miaka miwili.
Kwa tafsiri sahihi ya sheria/kanuni hii, Juma Nyoso alitakiwa aidha alipe faini ya milioni mbili (ama kiwango chochote ambacho wangeamua, ndani ya sheria) AU afungiwe michezo mitatu hadi kumi (wangeamua wenyewe), AU angelipa faini hiyo PAMOJA na kufungiwa michezo mitatu hadi kumi. Endapo wangeona anapaswa kufungiwa kucheza kwa kipindi cha mwaka mmoja au miwili, ina maana adhabu ya faini isingekuwepo tena maana hazihusiani hata kidogo.
Kama utashindwa kuelewa kwa ufafanuzi huu, basi kaa tu pembeni uache kutukana watu.
Kuhusu kosa la Nyoso, hakuna anayekataa kuwa siyo kosa. Hata hivyo katika sheria, ukitoa maamuzi kwa kutumia sheria ambayo si sahihi maamuzi yako yanabatilishwa. Mfano wa kwanza ni hiyo tafsiri niliyotoa hapo juu. Kosa la pili ni hilo la kamati ya adhabu kuwa chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa timu inayolalamika, uliona wapi suala hili likawa sahihi kisheria? Tatu, ni malalamiko ya Mbeya City kuhusiana na vitendo vilivyofanywa na wachezaji wa Azam mbele ya mwamuzi, ambavyo vimefumbiwa macho (hili watajua namna ya kulalamika wenyewe)
Kwa kifupi, kosa lilitendeka na adhabu inastahili kutolewa. Hata hivyo adhabu stahiki ndiyo inastahili kutolewa tena kwa kufuata principles sahihi za utoaji adhabu, na hakuna excuse ya kufumbia macho offenders wengine hata kama wanatoka kwenye timu ambayo ndiyo inaonekana kama wanaifadhili TFF
Wapi nimesema tuwaige? hivi wewe unaona ni sawa hakimu kuhukumu kesi inayomuhusu yeye mwenyewe? hata hili dogo unashindwa kuliona mkuu?
chilongeHao Mbeya city hawajielewi kabisa,huyo anastahili ban ya maisha kabisa!kuna yule mchezaji wa chile aliemfanyie kitendo kama hicho cavani,klabu yake ilianza kumtimua kabla ya maamuzi mengine,nashangaa huku kwetu timu inashabikia adhabu ipunguzwe eti kaonewa!alieturoga watanzania amekufa,poor mbeya city
Tambua kuwa Chanzo cha Tatizo ni wachezaji wa Azam iweje wao na mwamuzi waachwe pasipo kuwa na Adhabu? Pia kwa nini wachezaji wa mbeya city hawakupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati?
Kenge wewe magomeni ndipo ulipotiwa madole au sio