Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City

Unatetea uwozo.yani ata asicheze kabisa aenfe ndondo cup

Kwa maelezo hayo ya klabu ya Mbeya City, ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yamejaa uonevu na kila dalili za rushwa. Nashauri Mbeya City wakate rufaa na wawasilishe ushahidi wa matukio hayo yaliyotangulia tukio husika.
 
Nenda akakupige finger tumchekee. Mimi ningekuwa ndio mtoa adhabu, Nyoso asingeonekana tena uwanjani. Nisingemfungia maisha, NO. Ningemfungia miaka 90 ili kwamba asije akathubutu hata kucheza kaburini maana kifungo cha maisha huisha mtu akifa, lkn miaka 90 hata mifupa yake itakuwa imeshasagika kaburini.

Hii ni mara ya pili anafanya upuuzi huo huo halafu unasema kaonewa?! Are you what....stupid?!

Acha kujitoa akili Suarez aling'ata na kurudia mara lakin alifungiwa miezi 4, mchezaji wa chili alifanya kosa kama la nyoso akafungiwa mechi 5. kwanza mbeya city hawajakataa adhabu wanachotaka haki itendeke
 
Kwani lazima tuwaige wao?
 
Huu ni uonevu mkubwa kwa klabu changa kama Mbeya city kwa sisi mashabiki tunahisi kama hiyo adhabu imekuja ili kuifanya Mbeya city ishindwe kuleta ushindani au wanaidhoofisha klabu kwa makusudi .
 
Huko Mbeya City hamna mtu anayejua kusoma na kuelewa, inaonekana wanajua kusoma tu. AU/NA haieleweki nini hapo?

Je, hizi picha hazithibitishi pasipo shaka? Ni mara ya kwanza Nyoso kufanya hivyo? Upuuzi mtupu, badala ya kukazia hukumu, yapo yanalalamika. Kweli ni mijitu ya hovyo hovyo, kuanzia uongozi hadi wachezaji. Rafu ndio wanajua kucheza na mipira ya kusukumana kama rugby

Akili imekuwa mzigo kwako baada ya kuwa msaada katika kupambanua mambo, walichoeleza mbeya city kama unatumia akili kinaeleweka vizuri kabisa
 
Nenda akakupige finger tumchekee. Mimi ningekuwa ndio mtoa adhabu, Nyoso asingeonekana tena uwanjani. Nisingemfungia maisha, NO. Ningemfungia miaka 90 ili kwamba asije akathubutu hata kucheza kaburini maana kifungo cha maisha huisha mtu akifa, lkn miaka 90 hata mifupa yake itakuwa imeshasagika kaburini.

Hii ni mara ya pili anafanya upuuzi huo huo halafu unasema kaonewa?! Are you what....stupid?!

Kila jambo huwa na chanzo chake na siku zote yule aliyeanza kutenda kosa pia hupewa Adhabu sasa iweje wachezaji wa Azam ambao Ndiyo chanzo cha tatizo waachwe hata bila barua ya Onyo tu? Tambua kuwa juma nyoso aliamua kulipa kisasi baada ya kuona mwamuzi hafuati sheria za soka kaamua kuwaacha Azam wawafanyie watakavyo.
 
hivi kwa kile kitendo alichofanyiwa Bocco atamuacha Nyoso kweli? lazima amshughulikie kwa miujiza.
 
Huu ni uonevu mkubwa kwa klabu changa kama Mbeya city kwa sisi mashabiki tunahisi kama hiyo adhabu imekuja ili kuifanya Mbeya city ishindwe kuleta ushindani au wanaidhoofisha klabu kwa makusudi .

Juma nyoso aliamua kujibu mapigo baada ya kuona Azam wanawafanyia Uovu lakini mwamuzi anawabeba Azam pasipo kujua athari za kulea uovu mda mrefu.
 
Kila jambo huwa na chanzo chake na siku zote yule aliyeanza kutenda kosa pia hupewa Adhabu sasa iweje wachezaji wa Azam ambao Ndiyo chanzo cha tatizo waachwe hata bila barua ya Onyo tu? Tambua kuwa juma nyoso aliamua kulipa kisasi baada ya kuona mwamuzi hafuati sheria za soka kaamua kuwaacha Azam wawafanyie watakavyo.

Mkuu upo sahihi kabisa ndo maana hata FA ilimfungia diego costa mara baada ya kumsababishia gabriel kadi nyekundu, japo mwanzo hakupewa adhabu, sasa tff wanatetea ugali wao kutoka azam campany ndo maana hawajawagusa wachezaji wa azam fc
 
Kwa stye hii soka la Tanzania halitakaa likue kucheza kombe la Dunia au fainali za Africa itakuwa ndoto kubwa.
 
“37(24) Mchezaji yeyote atakayepatikana na hatia ya kufanya makosa makubwa ya kimaadili au kinidhamu, au ya kibaguzi au yakidhalilishaji au yatakayotafsiriwa kuwa ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za mchezo na ubinaadamu atatozwa faini kati ya shilingi milioni moja mpaka milioni tatu au/na kusimamishwa kushiriki michezo mitatu mpaka kumi ya klabu yake yoyote atakayoitumikia katika Ligi Kuu na mashindano mengine rasmi ya TFF au kufungiwa kipindi cha kati ya mwaka mmoja na miwili.”

Huko Mbeya City hamna mtu anayejua kusoma na kuelewa, inaonekana wanajua kusoma tu. AU/NA haieleweki nini hapo?

Je, hizi picha hazithibitishi pasipo shaka? Ni mara ya kwanza Nyoso kufanya hivyo? Upuuzi mtupu, badala ya kukazia hukumu, yapo yanalalamika. Kweli ni mijitu ya hovyo hovyo, kuanzia uongozi hadi wachezaji. Rafu ndio wanajua kucheza na mipira ya kusukumana kama rugby

Wewe ndio hujui hata kusoma, acha kuwatusi wenzio. Hapo kuna au za aina mbili, kuna nyekundu na ya bluu. Hiyo nekundu inatenganisha adhabu mbili ambazo ni "atatozwa faini kati ya shilingi milioni moja mpaka milioni tatu" au/na "kusimamishwa kushiriki michezo mitatu mpaka kumi". Kwa tafsiri hii mchezaji anaweza kupewa adhabu mojawapo ama zote mbili, kutegemea maamuzi ya kamati husika itakayotoa adhabu hiyo (hizo). Lakini "au" ya bluu inatenganisha zile adhabu mbili za mwanzo na hii ya mwisho ambayo ndiyo ya kufungiwa kucheza soka kwa kipindi cha kati ya mwaka mmoja au miaka miwili.

Kwa tafsiri sahihi ya sheria/kanuni hii, Juma Nyoso alitakiwa aidha alipe faini ya milioni mbili (ama kiwango chochote ambacho wangeamua, ndani ya sheria) AU afungiwe michezo mitatu hadi kumi (wangeamua wenyewe), AU angelipa faini hiyo PAMOJA na kufungiwa michezo mitatu hadi kumi. Endapo wangeona anapaswa kufungiwa kucheza kwa kipindi cha mwaka mmoja au miwili, ina maana adhabu ya faini isingekuwepo tena maana kipande cha faini hakihusiani kabisa na kipande cha kufungiwa miaka miwili maana vimetengenganishwa na
AU na pale hakuna NA...kwa maana hiyo unachagua adhabu mojawapo.

Kama utashindwa kuelewa kwa ufafanuzi huu, basi kaa tu pembeni uache kutukana watu.

Kuhusu kosa la Nyoso, hakuna anayekataa kuwa siyo kosa. Hata hivyo katika sheria, ukitoa maamuzi kwa kutumia sheria ambayo si sahihi maamuzi yako yanabatilishwa. Mfano wa kwanza ni hiyo tafsiri niliyotoa hapo juu. Kosa la pili ni hilo la kamati ya adhabu kuwa chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa timu inayolalamika, uliona wapi suala hili likawa sahihi kisheria? Tatu, ni malalamiko ya Mbeya City kuhusiana na vitendo vilivyofanywa na wachezaji wa Azam mbele ya mwamuzi, ambavyo vimefumbiwa macho (hili watajua namna ya kulalamika wenyewe)

Kwa kifupi, kosa lilitendeka na adhabu inastahili kutolewa. Hata hivyo adhabu stahiki ndiyo inastahili kutolewa tena kwa kufuata principles sahihi za utoaji adhabu, na hakuna excuse ya kufumbia macho offenders wengine hata kama wanatoka kwenye timu ambayo ndiyo inaonekana kama wanaifadhili TFF
 
Hata huyo mwamuzi pia anastahili Adhabu kali pia iwejee ashindwe kutafasiri sheria za soka mapema hadi akawapelekea Mbeya city kishikwa na jaziba.
 
Wewe ndio hujui hata kusoma, acha kuwatusi wenzio. Hapo kuna au za aina mbili, kuna nyekundu na ya bluu. Hiyo nekundu inatenganisha adhabu mbili ambazo ni "atatozwa faini kati ya shilingi milioni moja mpaka milioni tatu" au/na "kusimamishwa kushiriki michezo mitatu mpaka kumi". Kwa tafsiri hii mchezaji anaweza kupewa adhabu mojawapo ama zote mbili, kutegemea maamuzi ya kamati husika itakayotoa adhabu hiyo (hizo). Lakini "au" ya bluu inatenganisha zile adhabu mbili za mwanzo na hii ya mwisho ambayo ndiyo ya kufungiwa kucheza soka kwa kipindi cha kati ya mwaka mmoja au miaka miwili.

Kwa tafsiri sahihi ya sheria/kanuni hii, Juma Nyoso alitakiwa aidha alipe faini ya milioni mbili (ama kiwango chochote ambacho wangeamua, ndani ya sheria) AU afungiwe michezo mitatu hadi kumi (wangeamua wenyewe), AU angelipa faini hiyo PAMOJA na kufungiwa michezo mitatu hadi kumi. Endapo wangeona anapaswa kufungiwa kucheza kwa kipindi cha mwaka mmoja au miwili, ina maana adhabu ya faini isingekuwepo tena maana hazihusiani hata kidogo.

Kama utashindwa kuelewa kwa ufafanuzi huu, basi kaa tu pembeni uache kutukana watu.

Kuhusu kosa la Nyoso, hakuna anayekataa kuwa siyo kosa. Hata hivyo katika sheria, ukitoa maamuzi kwa kutumia sheria ambayo si sahihi maamuzi yako yanabatilishwa. Mfano wa kwanza ni hiyo tafsiri niliyotoa hapo juu. Kosa la pili ni hilo la kamati ya adhabu kuwa chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa timu inayolalamika, uliona wapi suala hili likawa sahihi kisheria? Tatu, ni malalamiko ya Mbeya City kuhusiana na vitendo vilivyofanywa na wachezaji wa Azam mbele ya mwamuzi, ambavyo vimefumbiwa macho (hili watajua namna ya kulalamika wenyewe)

Kwa kifupi, kosa lilitendeka na adhabu inastahili kutolewa. Hata hivyo adhabu stahiki ndiyo inastahili kutolewa tena kwa kufuata principles sahihi za utoaji adhabu, na hakuna excuse ya kufumbia macho offenders wengine hata kama wanatoka kwenye timu ambayo ndiyo inaonekana kama wanaifadhili TFF

Tambua kuwa Chanzo cha Tatizo ni wachezaji wa Azam iweje wao na mwamuzi waachwe pasipo kuwa na Adhabu? Pia kwa nini wachezaji wa mbeya city hawakupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati?
 
Wapi nimesema tuwaige? hivi wewe unaona ni sawa hakimu kuhukumu kesi inayomuhusu yeye mwenyewe? hata hili dogo unashindwa kuliona mkuu?

Achana na watu dizaini hiyo ndugu, wengine wana mihemko ya kiushabiki tu wala hawachambui mazingira ya kiuhalisia au ya kisheria.
 
Hao Mbeya city hawajielewi kabisa,huyo anastahili ban ya maisha kabisa!kuna yule mchezaji wa chile aliemfanyie kitendo kama hicho cavani,klabu yake ilianza kumtimua kabla ya maamuzi mengine,nashangaa huku kwetu timu inashabikia adhabu ipunguzwe eti kaonewa!alieturoga watanzania amekufa,poor mbeya city
chilonge
 
Attachments

  • 1443857844830.jpg
    1443857844830.jpg
    22 KB · Views: 118
Last edited by a moderator:
Tambua kuwa Chanzo cha Tatizo ni wachezaji wa Azam iweje wao na mwamuzi waachwe pasipo kuwa na Adhabu? Pia kwa nini wachezaji wa mbeya city hawakupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati?

Kama umenisoma vizuri, hayo ndiyo nimeyaeleza kwa mapana. Kesi ya nyani aamue nyani, na mlalamikiwa asipewe nafasi hata ya kujieleza? Kisha apewe adhabu kwa kufuata tafsiri mbovu ya sheria...

TFF kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom