Tambua kuwa Chanzo cha Tatizo ni wachezaji wa Azam iweje wao na mwamuzi waachwe pasipo kuwa na Adhabu? Pia kwa nini wachezaji wa mbeya city hawakupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati?
Azam ni mabosi wa tff lazima wapendelewd na hata jamal malinzi analijua hili , asipowaridhisha watalala na njaa pale karume. uliona wapi hakimu anahukumu kesi inayomuhusu. tff ni kichaka cha kuwaonea wasiokuwa na maslahi kwao
Hata jambazi alieua huwa anapewa nafasi ya kujitetea pia, mfano mzuri ni suarez pamoja na kung'ata mara ya 3 bado aliitwa kule uswizi fifa kwenda kujitetea na adhabu ikatoka.
...wacha majungu ya kike..
Kwenye mpira retaliation au kulipa kisasi haikubaliwi. Kosa la Nyosso na adhabu vinabaki pale pale kama alikuwa analipa kisasi.
Kama ushahidi wa Bocco kumshika korodoni Nyosso upo, haya ni mashtaka mengine yafanyiwe kazi.
Hivi kwa nini kamati ziongozwe na viongozi wa vilabu? Kwa nini wasiwe watu huru? Mtu wa Azam kuongoza hukumu kwenye kesi inayohusu Azam si sawa.
Majungu yako wapi? yaani kiongozi wa azam fc ndo mwenyekiti wa kamati inayotoa adhabu, ina maana wewe huoni kuna mgongano wa kimaslahi hapo? iyo akili uliopewa mbona haitumii?
..hao mbeya city wapuuzi sana.wanapotezea tu watu muda na utetezi wakijinga.Mara ya kwanza.alifanya kosa hili na kocha wake Mwambusi akamlaani na kumkemea.Karudia tena kosa lile lile then kuna viazi huku vinatetea,ujinga gani huu,yani wachezaji wa azam ndio walimtuma akamshike mwenzao kule?!.
Kama wewe unapenda kushikwa kamtafute, ukamkaribishe kwako, umvalie kanga moja tena uiloweshe kabisa, then akutumbukizie madole yote matano uridhike.
Sio kila utetezi una maana,amemshika mwenzie,kila mtu kaona,na ni kitendo haramu then aambiwe eti ajitetee,ajitetee nini hapo..akisema sikufanya tumuache wakati kila mtu ameona??
Acheni kutetea upuuzi,km mna hamu na madole yake nimeshawapa ushauri hapo juu.
#welldone TFF!

Mwenye nacho ndio mwenye haki, mnyonge hana haki ! Kama hali hii ya maisha ya mtaani sasa imepenya kwenye soka tujue kuwa soka la Tanzania sasa litabakia kucheza ligi ligi za hapa hapa tu hatuwezi kupiga hatua kamwe kwa style hizi za upendeleo pasipo kutoa Adhabu kwa pande zote yaani wale walioanzisha tatizo pia mwamuzi aliyeyafumbia macho matatizo na wale waliolipa kisasi hapo wangebalance ingekuwa Haki, lakini hilo la kuwaacha waliosababisha tatizo na kumhukumu yule aliyejihami tu kwa kweni ni uonevu na inadhihilisha kuwa viongozi wa TFF hawapo makini na wajibu wao.
..wewe huna akili ya kunifundisha mimi chochote;nyosso karudia hilo tukio mara ya pili,na alishawahi kufanya tena akiwa ashanti...na alipo fanya tena mara ya mwisho kocha wake alimkea but karudia tena, unatetea ujinga halafu unajidai una akili ya kunifundisha mimi?! my foot!
Kama una mmisi nyosso mfate mbeya,umemvalie kanga moja,uiloweshe akutie madol. vizuri urizike.
#choko!

Nyoso kufanya kosa mara 2 au 4 ni kigezo cha wachezaji wa Azam kuwafanyia Mbeya city madhambi kisha mwamuzi awabebe Azam , inawezekana walijua kuwa Juma nyoso huwa hapendi na havumilii hujuma kama hizo wakafanya maksudi wakitarajia kuwa lazima angelipa kisasi wapate sababu au kadi nyekundu, Aina ya soka hizi za kuwatetea Upande mmoja pasipo kusikiliza pande zote haijengi soka la Tanzania zaidi ya kuzidi kulididimiza zaidi.
...watu mmejaa mawazo ya kimasikini sana,acheni upuuzi na kutafuta vijisababu visivyokua na maana.Acheni mtu aadhibiwe kulingana na kosa alilofanya,na ndivyo TFF walivyofanya,na hawajakosea kwa sababu ndio tabia ya kishenzi ya huyo mtu.
Kama kuna lingine hiyo ni separate case,waambieni hao mbeya city wapeleke ushahidi TFF kama wanao,lakini sio mnakaa kulia lia tu huku.Naamini,pia km TFF wasingechukua hatua kwa hilo tukio mngekua huku pia mnalialia tu km kawaida ya wabongo,kuanzia ikulu mpk sitimbi ni kulialia tu...
Mkuu huyo jamaa hata kujenga hoja hajui yeye ni kutukana tu, nchi ina hasara sana kwa watu wa dizain hii
Ndugu yangu sisi hatumtetei nyoso wala nani, hapa kinachoangaliwa ni kwa nini wale walioanzisha Tatizo wameachwa? Pia kwa nini mwamuzi aliyevurunda sheria za soka kaachwa? Sheria ilipaswa iwapitie wote waliohusika kusababisha Tatizo si kuegemea upande mmoja tu.