brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Tambua kuwa Chanzo cha Tatizo ni wachezaji wa Azam iweje wao na mwamuzi waachwe pasipo kuwa na Adhabu? Pia kwa nini wachezaji wa mbeya city hawakupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati?
Hata jambazi alieua huwa anapewa nafasi ya kujitetea pia, mfano mzuri ni suarez pamoja na kung'ata mara ya 3 bado aliitwa kule uswizi fifa kwenda kujitetea na adhabu ikatoka.