Nyosso Alishikwa Korodani-Mbeya City


..hilo kosa la wachezaji wa azam ni lipi?!
...mbeya city walipeleka ushahidi wao TFF jamaa wakagoma kuwasikiliza.?!
Elewa ndugu;nyosso kapewa adhabu km nyosso kwa muendelezo wa matendo yake yakishenzi anayowafanyia wenzake.Usichanganye makosa mawili(km yapo afterall coz mimi ninaliona moja lililotolewa uamuzi tayari) yaliyofanyika kwa wakati mmoja,halafu useme TFF wana upendeleo kwa kutolea uamuzi kosa moja.
Kumbuka,kabla ya ule uamuzi kutoka,wadau walishaanza kulalamika na malinzi akatoa taarifa twitter kwamba kile kitendo wao km TFF wamekiona na watakitolea maamuzi,na ndivyo walivyofanya.
Hilo la kushikwa korodani babu ni separate case,mbeya city wapeleke ushahidi km wanao nao watasikilizwa.Ila unavyo conclude na baadhi ya wenzako humu eti TFF wana upendeleo mna kosea sana tena sana,punguzeni kulialia,mnafundisha na wengine kua watu wa kulialia tu bila sababu.
 

..hahaaa ni sheria ipi iliyovunjwa kwa upande wa wachezaji wa azam? na km ipo walipeleka ushahidi wao TFF ukakataliwa.?
Elewa; TFF walitolea uamuzi wa kosa moja la nyoso kufanya alichofanya na ni tabia yake,hivyo ni lazima ikomeshwe.Nyie mnakuja hapa mnaanza kulialia wee TFF kuna upendeleo,upendeleo gani?! mnauelewa mdogo halafu mnakazana kubisha tuu..
grow up some balls pipo.!!
 
Hivi unaelewa point inazungumzwa hapa? mbona una kichwa kigumu hivyo? unachojua ni matusi tu, hakuna aliemtetea nyoso hapa kuwa muelewa, uko shule ulienda kusindikiza wenzio?

...unajiona una akili labda huko kwenu ndio unawaongoza sio hapa; kumbuka ushahidi unaotumika kwenye lile tukio ni wa still picture that'z all.Nyie mnavyolilia hapa km wanawake TFF wameonea ujue ule ushahidi sio wa video useme TFF au wadau watakua na uwezo waku review matukio ya kabla ya pale.Hope unanielewa na wenzio wenye akili fupi km yako unaowawakilisha humu.
Kilichopo;mbeya city na wao wapeleke ushahidi wao km wanao,TFF wauangalie,then wautolee maamuzi yanayostahili.Nyie mnachofanya kulialia humu sio sawa,sababu hizo ni separate cases na zimekua treated separately, na TFF walitolea maamuzi tukio la kishenzi la nyosso accordingly.
Kama kuna jingine,wakiona kuna umuhimu wa kukaa,watakaa pia wasikilize why not.?!!!
TFF hakuna upendeleo wowote acheni kupotosha.
Kama hujaelewa na hapa basi,sijichoshi tena kujaza server ya watu humu kuelekeza viazi.
 
point ni kwamba mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ni kiongozi wa azam fc,uliona wapi hakimu anaukumu kesi yake? hata hili hulioni?
 

i wish hicho kidole ungekuwa umechopekwa wewe
 

Kule kwenu wewe ndo unaye heshimika kwa busara hongera
 
Picha mbili ulizoweka sio za Mechi moja kwa kuwa Nyosso anaonekana katika jezi mbili tofauti
 
Unatetea uwozo.yani ata asicheze kabisa aenfe ndondo cup

hapana ndugu hapa faini ingekuwa ndo adhabu kubwa kuliko kumsimamisha
yaani binafsi alipashwa kulipa tsh 10,000,000/= ili aumie aumie aumie
 

hapana ndugu hapa faini ingekuwa ndo adhabu kubwa kuliko kumsimamisha
yaani binafsi alipashwa kulipa tsh 10,000,000/= ili aumie aumie aumie

Kanuni haisemi hivyo
 

Acha kumtetea mpuuzi yule, alitakiwa afungiwe miaka 5 kabisa mbwa yule..
 
Hapa kuna makosa kadhaa yamefanyika.
1.malinzi alhukumu mapema kupitia mitandao...kwa cheo chake hakutakiwa kufanya hivyo na asirudie tena kwa makosa mengine..
2.mchezaji hakusikilizwa ,hii ingesaidia kujua tatizo lake.
Hata hivyo nyoso alistahili adhabu kali,still picha na video zote zimeonesha akitenda kosa .....
 
Huu ni uonevu mkubwa kwa klabu changa kama Mbeya city kwa sisi mashabiki tunahisi kama hiyo adhabu imekuja ili kuifanya Mbeya city ishindwe kuleta ushindani au wanaidhoofisha klabu kwa makusudi .

Yani mumtume kudhalilisha watu mkijua atapewa adhabu ndogo.. Mbwa yule angefungiwa miaka 5 kabisa
 

jifunze sheria kabla hujapost, unadhani kumtimua mchezaji ni kama kumtimua beki 3, kuna mikataba kule. Gonzalo Jara bado yupo Mainz 05 japokua wamemuweka kwenye transfer list,kila ijumaa anakula mshahara. na alifungiwa mechi mbili tu. habari za kutimuliwa na club ulizipata kijiweni
 
Kutukana ndio jadi yako , watu wanaua na wanapata msamaha sembuse ndole

Kwenu huko, sisi tunaotoka bara mkono ukikaribia makalio tu ntamalizia nguvu zangu zilizobaki mwilini mwako. Mimi sijakukatalia, ila nimeshangaa kutujumuisha wakati kila watu wana utamaduni wao.

Sitashangaa ukiniambia kwenu ndivyo mnavyosalimiana
 

Sheikh wamemfungiya mwajuma nyoko na si kilabu ami!
 
point ni kwamba mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ni kiongozi wa azam fc,uliona wapi hakimu anaukumu kesi yake? hata hili hulioni?

Ulitaka awe babaako? Kifungu cha sheria kilichomhukumu kimewekwa sasa sijui mlitaka ahukumiwe na nani. Mtovu wa nidhamu kama huyo alipaswa kufungiwa maisha.

Mimi ningeelewa km lingekuwa suala la rafu uwanjani, maana ni sehemu ya mchezo. Lakini hili la mtu kuleta makonkofigjo halafu waliberali wenzake mje kumtetea hapa......mbapaf!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…