jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,847
Nyoso kufanya kosa mara 2 au 4 ni kigezo cha wachezaji wa Azam kuwafanyia Mbeya city madhambi kisha mwamuzi awabebe Azam , inawezekana walijua kuwa Juma nyoso huwa hapendi na havumilii hujuma kama hizo wakafanya maksudi wakitarajia kuwa lazima angelipa kisasi wapate sababu au kadi nyekundu, Aina ya soka hizi za kuwatetea Upande mmoja pasipo kusikiliza pande zote haijengi soka la Tanzania zaidi ya kuzidi kulididimiza zaidi.
..hilo kosa la wachezaji wa azam ni lipi?!
...mbeya city walipeleka ushahidi wao TFF jamaa wakagoma kuwasikiliza.?!
Elewa ndugu;nyosso kapewa adhabu km nyosso kwa muendelezo wa matendo yake yakishenzi anayowafanyia wenzake.Usichanganye makosa mawili(km yapo afterall coz mimi ninaliona moja lililotolewa uamuzi tayari) yaliyofanyika kwa wakati mmoja,halafu useme TFF wana upendeleo kwa kutolea uamuzi kosa moja.
Kumbuka,kabla ya ule uamuzi kutoka,wadau walishaanza kulalamika na malinzi akatoa taarifa twitter kwamba kile kitendo wao km TFF wamekiona na watakitolea maamuzi,na ndivyo walivyofanya.
Hilo la kushikwa korodani babu ni separate case,mbeya city wapeleke ushahidi km wanao nao watasikilizwa.Ila unavyo conclude na baadhi ya wenzako humu eti TFF wana upendeleo mna kosea sana tena sana,punguzeni kulialia,mnafundisha na wengine kua watu wa kulialia tu bila sababu.