Nyota wa Serengeti boys apimwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli

Tatizo la wabongo wanazusha sana na uongo kibaoooo. ....kawaida ya sheria za mpira ni kuwa, kila baada ya mchezo basi jina moja la mchezaji linachaguliwa kutoka kwenye kapu (kama bahati nasibu) na kufanyiwa vipimo kama hatumii dawa za kuongeza nguvu...hawamlengi mchezaji bali ni yeyote inaweza muangukia hata aliyekuwa bench siku hiyo. ....hivyo hili suala ni la kawaida sana kwenye michezo ya kimataifa na kwenye ligi zilizoendelea.
 
Kwa hiyo hao CUF wanaona watanzania hawastahili kucheza vizuri? Mbona Ghana huko hawawapimi?
 
Figisu zao zimeanza dah! Hawaamini kama na sisi tunaweza, taarifa nilizonazo mpaka sasa ni kwamba alifanyiwa vipimo lakini hawakugundua aina yeyote ya dawa katika mwili wake! Ni wakati wa kocha mkuu Bakari Shime kuwajenga vijana kisaikolojia ili kuwaondoa hofu, wacheze mpira kwa kujiamini!
 
Tatizo la wabongo wanazusha sana na uongo kibaoooo. ....kawaida ya sheria za mpira ni kuwa, kila baada ya mchezo basi jina moja la mchezaji linachaguliwa kutoka kwenye kapu (kama bahati nasibu) na kufanyiwa vipimo kama hatumii dawa za kuongeza nguvu...hawamlengi mchezaji bali ni yeyote inaweza muangukia hata aliyekuwa bench siku hiyo. ....hivyo hili suala ni la kawaida sana kwenye michezo ya kimataifa na kwenye ligi zilizoendelea.
Mkuu huu utaratibu ndio kwanza nausikia kutoka kwako, sidhani kama umesoma taarifa ya CAN kabla na baada ya kuchukua vipimo, usiwe mvivu wa kutafuta habari aisee dah
 
Jiulize. ...kama wanaangalia performance basi Ronaldo na Messi wangekuwa wanapimwa kila baada ya mchezo. .....Tatizo wabongo haya mambo ni mageni
 
Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
 
Ni suala la kawaida kuwapima wachezaji wa timu mbalimbali.

Kifupi ni kwamba kakutwa salama na anaendelea na kazi
 
Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
Hili suala huwa alitangazwi kwenu mashabiki. ...anachukuliwa mchezaji na daktari wa timu then wanamfanyia vipimo, sasa kama wewe unalazimisha kama hicho sio kitu cha kawaida basi endelea kukariri. .....kanuni za mpira ni zile zile duniani kote hivyo kama Tanzania hawafanyi basi haina maana tukishiriki mashindano makubwa tusifanyiwe
 
Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
Na kwa kukusaidia tu, utakuta hizo picha zimepigwa na daktari wa timu ambae aliingia nae kwenye vipimo. ....wachezaji wa timu nyingine huwezi kuwajua sababu hawaweki wazi vipimo, wanachoweka wazi ni majibu tena yakija Positive.
 
Wanataka kuwavunja nguvu wachezaji wetu tu hamna lolote hapo.
Wameshawaona kuwa ni tishio ndo mana.
 
Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
100%100%
 
Huyu dogo ni hatari sana...anakipiga wapi hapa bongo?wasiwasi wangu wasije kudanganywa na timu za makomandoo wavaa ndala na mikia
Dogo bado anasoma, kwa mara ya kwanza alionekana kwenye mashindano ya Copa Coca Cola!
 
Back
Top Bottom