Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Heee...figisu² zimeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu utaratibu ndio kwanza nausikia kutoka kwako, sidhani kama umesoma taarifa ya CAN kabla na baada ya kuchukua vipimo, usiwe mvivu wa kutafuta habari aisee dahTatizo la wabongo wanazusha sana na uongo kibaoooo. ....kawaida ya sheria za mpira ni kuwa, kila baada ya mchezo basi jina moja la mchezaji linachaguliwa kutoka kwenye kapu (kama bahati nasibu) na kufanyiwa vipimo kama hatumii dawa za kuongeza nguvu...hawamlengi mchezaji bali ni yeyote inaweza muangukia hata aliyekuwa bench siku hiyo. ....hivyo hili suala ni la kawaida sana kwenye michezo ya kimataifa na kwenye ligi zilizoendelea.
Kwa hiyo hao CUF wanaona watanzania hawastahili kucheza vizuri? Mbona Ghana huko hawawapimi?
CUF ipi sasa!?
Ya Lipumba au ya Seif?
Jiulize. ...kama wanaangalia performance basi Ronaldo na Messi wangekuwa wanapimwa kila baada ya mchezo. .....Tatizo wabongo haya mambo ni mageniMkuu huu utaratibu ndio kwanza nausikia kutoka kwako, sidhani kama umesoma taarifa ya CAN kabla na baada ya kuchukua vipimo, usiwe mvivu wa kutafuta habari aisee dah
Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!Jiulize. ...kama wanaangalia performance basi Ronaldo na Messi wangekuwa wanapimwa kila baada ya mchezo. .....Tatizo wabongo haya mambo ni mageni
Hili suala huwa alitangazwi kwenu mashabiki. ...anachukuliwa mchezaji na daktari wa timu then wanamfanyia vipimo, sasa kama wewe unalazimisha kama hicho sio kitu cha kawaida basi endelea kukariri. .....kanuni za mpira ni zile zile duniani kote hivyo kama Tanzania hawafanyi basi haina maana tukishiriki mashindano makubwa tusifanyiweDah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
Na kwa kukusaidia tu, utakuta hizo picha zimepigwa na daktari wa timu ambae aliingia nae kwenye vipimo. ....wachezaji wa timu nyingine huwezi kuwajua sababu hawaweki wazi vipimo, wanachoweka wazi ni majibu tena yakija Positive.Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
Caf c cufKwa hiyo hao CUF wanaona watanzania hawastahili kucheza vizuri? Mbona Ghana huko hawawapimi?
100%100%Dah mkuu, yaani mpaka sasa unadiriki kuzungumzia technology ya Ulaya kwa kuwafananisha/kuwalinganisha Ronaldo na Messi na wadogo zetu U17? duh, hebu fanya tafiti ya lile tukio la jana kisha linganisha na kile ulichokiandika hapo juu, halafu uje na mrejesho hapa! Tusiwe wavivu wa kutafuta habari! Hebu jiulize tangu kuanza kwa mashindano haya ni wachezaji wangapi wamefanyiwa vipimo kama alivyofanyiwa Abdul Seleman!
Dogo bado anasoma, kwa mara ya kwanza alionekana kwenye mashindano ya Copa Coca Cola!Huyu dogo ni hatari sana...anakipiga wapi hapa bongo?wasiwasi wangu wasije kudanganywa na timu za makomandoo wavaa ndala na mikia