Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

Nyuki wavamia wana Jubilee na polisi supreme court

Yaani mtu una bunduki unatukimbia tu nyuki tu je akitokea mbwa mwitu
 
Hiyo nimeipenda ....! ikiwezekana mtuazime hata siku moja tu...!
 
Dawa ya nyuki moshi wakipiga mabomu ya machozi nyuki wote chaliii
 
[emoji41][emoji41][emoji41]watu wasiojulikana dawa yao[emoji219][emoji219]nyuki tuu
 
Mkuu kila kitu kina nguvu sehemu yake unajua kwanini Tembo kabla ya kunywa maji mtoni anayavuruga kwanza ?Sababu anamuogopa chura akiingia kwenye mkonga wake anaziba anamuua Tembo Simba haogopi mnyama yeyote ila siafu anamuogopa sana
 
<iframe width="640" height="360" src=""frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
dunia haiwezi kwisha ndugu kwa jambo dogo hivi.
ni sayansi kwa mujibu wa mshana jr.
mshana ebu fanya watuletee na sisi kuna mtu atumiwe anasema eti haongezi mshaara, tuone kama wale walinzi wanyaruanda watawapiga nyuki virungu.
big up wakenya mmepiga hatua aljazira na BBC watutangaze afrika mashariki kwa bomu letu jipya na tupo tayari kumn'goa Trup
haha aaahaaa
 
Endelea kuamini kila kitu ni uchawi uone ka hautakufa masikini. Kasome acha ujinga
 
<iframe width="640" height="360" src=""frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
[QUOTE="Doxael, post: 23790299, member: 455642"[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom