Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hapana kaka...nisamehe kaka...Iyo ndio point uliyoiona kwenye andiko zima?
Point nyingine ni hii...."mwanamke mzuri ni mama yako wengine ni manyang'au"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kaka...nisamehe kaka...Iyo ndio point uliyoiona kwenye andiko zima?
Tafuta pesa upunguze makasiriko weweBichwa lako gumu kuelewa
Nilikuwa nae kama uyo kila kitu ulichoandika kanifanyia dada yule ananisupport kweli vipesa vidogovidogo hana shida lakin nilipokuja kugundua kanipanga kwa wenye pesa nilimwambia sitaki unihurumie niache na ubroke wangu, Hizo dharau nilikataa bora nijue sina changu kuliko kujitafuta nimejipata analeta pua eti nilikuvumilia bladifakenUongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Pesa natafuta. Muulize mama ako anahongwa na nani atakupa habari zangu. Vijana wa siku hizi hamna adabu mnaona mama zenu wanapendeza, nyumbani zinapikwa mboga 7 hamjui nani anagharamia nyie mnatukana tu watu mitandaoniTafuta pesa upunguze makasiriko wewe
Wewe mdangaji wa mijimama una lipi la kuniambia mimi, kwanza unajua hata kuhonga kunafananaje wewe, hapo ulipo si ajabu ushaanza kudanga hadi kwa wanaume wenzioPesa natafuta. Muulize mama ako anahongwa na nani atakupa habari zangu. Vijana wa siku hizi hamna adabu mnaona mama zenu wanapendeza, nyumbani zinapikwa mboga 7 hamjui nani anagharamia nyie mnatukana tu watu mitandaoni
Sema tu wewe ni lele mama hauwezi jisimamia. Vingine umeongea hapo havina hata mashiko.Aah wewe usinidanganye mimi najua kuna faida ya kuwa na mwanamke kuliko kutokuwa naye.. Bila mwanamke kufilisika rahisi ila ukimpata mwanamke wa kukupenda na kukujali anaweza kuanzisha miradi na akasimamia hasa ukiwa busy na kazi zako huko hence ana faida..
Ulimuoa? [emoji848]Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Kama ni hivyo basi msemo wa Kwenye mafanikio nyuma ya mwanaume kuna mwanamke hauna maana. Kwasababu mwanaume ndie anayetoa.Sio lazima umtongoze mwanamke ndo akusaidie,
Hata ukipewa kazi na mwanamke umesaidiwa, ukikopeshwa nk.
Why umeassume ana maumivu? Why mwanaume akizungumza negative side ya mwanamke inaonekana au kuchukuliwa ni attack na sio aina ya elimu ambayo wanaume especially watoto wa kiume wanatakiwa kumezeshwa mapema?Nafsi yako inaishi na maumivu.....
Let it go bro, enjoy kuishi
Mbona vijana wengi miaka hii wanatoboa kimaisha na hawana mwanamke yule mwandani wa kupanga nae maisha, anakuwa na demu tu wa kutafuna ila sio wa kumpa Siri sirini.Sikumaanisha about wao kutoa pesa mkuu, binafsi huwa sina shida na inshu za pesa zao wala wao kutafuta pesa. Nilichomaaisha kule juu kwa jamaa ni kule kujali, upendo, na kujitoa kwa mwanamke wake, kiufupi mwanamke responsible, mwenye kujua majukumu yake na kuyaishi.
Sasa hapo wewe ndie umefanya generalization ya mada. Umefanya jumla au kutafuta wastani. But in reality mleta uzi haja assume facts, ameongea uhalisia.Kuna mambo sio general na kuyalazimisha yawe general ni kujipotezea muda.
Dunia kuna watu wamefanikiwa sababu ya mwanamke, kuna watu wamefilisika sababu ya mwanamke, kuna watu hawaendelei sababu ya mwanamke, kuna watu wanaendelea sababu ya mwanamke.
Sasa kama wewe mwanamke anakuumiza jitenge nae, kaa na mama mzazi na kama mwanamke ni baraka kwako furahia uwepo wake.
HAKUNA HITIMISHO MOJA KWA KILA MTU, KILA MTU NA HITIMISHO LAKE.
Tatizo wao wanachotazama ni kuchangia mada kwa kuzima moto badala ys kudeal na uhalisia.Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
Hawazi mara mbili. Na anajitetea kabisa. Na jamii wanasema achana nae move on. Ila sasa mwanaume ufanikiwe upite na demu pisi kali uachane na mkeo uone vidole utavyonyooshewa na lawama utapewa na wanajamii.Ukweli halisi ni kwamba mwanamke uliye naye akipata best option anakukimbia. Huo ndio ukweli halisi
Hivi vitu unavyosema mwanamke anafanya kwenye mahusiano ya sasa utakuwa unadanganya. Umeongea kinadharia sana. Mabinti wa sasa wapo kimkakati sana. Ukiona anamfulia mwanaume anamfanyia hayo yote basi jua mwanaume kuna mzigo wa bili analipa kwa huyo mwanamke ambao kwa mwezi haupungui laki 3. Kuanzia saloon, chakula, bodaboda, vocha, mitoko, mavazi, madeni, kusapoti familia yake indirectly, na kadhalika. Hivi tayari vinafanya idea kuwa huyu mwanamke ni yupo hapo kujitoa kimapenzi kuwa ni ys uongo na utapeli. Hapo huyo mwanamke kaja sababu anatafuta unafuu wa maisha hali si nzuri, ila sio kwasababu ana mapenzi ys dhati.Ili kupata takwimu halisi ni wanaume bila kutaka sifa tuanike uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika mafanikio yetu na sio kuchukua takwimu za kesi.
Huwezi tafuta nguo safi jalalani. Mahakamani, ustawi ni jalalani linapokuja suala la mahusiano, ni sehemu ambayo mahusiano yameshaharibika sasa yanatupwa kwa utaratibu utakaozingatia sheria.
Huwezi kwenda huko kutafuta sample ya hitimisho la nafasi ya mwanamke katika mafanikio ya mwanaume sababu mwanamke hachangii directly kwenye mafanikio ya mwanaume, most of time michango yao ipo in background.
Mfano:
Una girlfriend, kaona tangazo la kazi gazetini, kalileta kwako na kukushauri uombe hiyo kazi, umefulia huna pesa, mwanamke wako akaenda kukununulia shati zuri, akakuandalia maji ukaoga, akakupa na nauli huku akikupa moyo kuwa anakuombea utapita, ukaenda ukiwa unajiamini, sura yenye bashasha na ukiwa mtanashati kisha ukapata kazi na ukawa tajiri.
Baada ya miaka 10 mmeshindwana sasa mnaachana, kesi ipo ustawi, nafasi ya huyu mwanamke katika utajiri wako unadhani inapimwaje? Na ndio kesi zilizojaa huko ustawi baina ya mke na mume walioamua kuachana.
Mnapenda kusifiwa kila saa mkiambiwa ukweli mnafyatuka.Huo ni mtazamo wako
Point.Hii ni moja ya sababu huwa nawapuuza wanawake kwenye mjadala. Mnamshambulia mtu binafsi badala ya kushambulia hoja. Mahusiano yangu ni imara kabisa kwa sababu mwanamke nilienae amekubali kuishi kwa principles zangu. Sijawahi kumpenda mwanamke katika maisha yangu kufikia hatua ya kuwa haertbroken baada ya kuachana because love is for weak people.
Kabisa.The so-called shangazis have the lowest SMV in the dating market and ain't no top-tier man drooling to them, na ndio maana kimbilio lao ni nyie vijana ambao bado mmepauka..... na ndio maana wanatumiaga nguvu nyingi sana kuboresha mahusiano yao kwa kuwahonga
Kitu ambacho wanawake hampendi na huwa mnachukia kuona ni wanaume wakiwa wanapeana elimu na kufumbuana macho maana hiyo inamaanisha awareness inaanza kusambaa kwa wanaume na wanaanza kuwashitukia kwa udhalimu wenu mnaofanya kwa chini chini.Basi mwenyewe unaona ukitupuuza tunajali…
Again, hakuna mtu mwenye mahusiano stable ambayo yuko bitter na wanawake wasiokuwa wanawake zake. Wewe wanawake za wenzio wanakuhusu nini if I may ask.
Ni sawa na Mimi niseme “wanaume wote ni mbwa” halafu nikudanganye nina mahusiano stable [emoji28] Hakuna mtoto humu ndani elewa.
HEAL and grow up, sisi Kama dada zako wa humu tunakusaidia ili kesho uje hapa “yapping” wanawake hawana msaada kwenye maisha ya mwanaume.
Ni hoja gani umeleta zaidi ya kumshambulia mwanamke? We are women, ain’t we? Tukuchekelee tu? Kisa?
Specifically hapa kwenye huu mjadala mwanamke anaezungumziwa si mama, shangazi, mamamdogo, mama mkubwa wala bibi. Ni mke, mpenzi, mchumba au mchepuko.Sawa boss umeenda kwenye ingilishi ila:
Relationship concept is never ordinary, it moves along universe with alternatives results. Each man will face his own unique destination with peculiar results subject to type of woman he designate.
Halafu:
That general rule rely on data from relationship scandals and drama from ustawi, it can never act as a fomula to clinch actual concept and reality.
KWA KISWAHILI NI KWAMBA HAKUNA FOMULA, MWANAMKE ANAWEZA KUKUMIZA MWANAMKE ANAWEZA KUWA BARAKA. MAMA YAKO NI MWANAMKE WA BABA YAKO.