Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Nilikuwa nae kama uyo kila kitu ulichoandika kanifanyia dada yule ananisupport kweli vipesa vidogovidogo hana shida lakin nilipokuja kugundua kanipanga kwa wenye pesa nilimwambia sitaki unihurumie niache na ubroke wangu, Hizo dharau nilikataa bora nijue sina changu kuliko kujitafuta nimejipata analeta pua eti nilikuvumilia bladifaken
 
Tafuta pesa upunguze makasiriko wewe
Pesa natafuta. Muulize mama ako anahongwa na nani atakupa habari zangu. Vijana wa siku hizi hamna adabu mnaona mama zenu wanapendeza, nyumbani zinapikwa mboga 7 hamjui nani anagharamia nyie mnatukana tu watu mitandaoni
 
Pesa natafuta. Muulize mama ako anahongwa na nani atakupa habari zangu. Vijana wa siku hizi hamna adabu mnaona mama zenu wanapendeza, nyumbani zinapikwa mboga 7 hamjui nani anagharamia nyie mnatukana tu watu mitandaoni
Wewe mdangaji wa mijimama una lipi la kuniambia mimi, kwanza unajua hata kuhonga kunafananaje wewe, hapo ulipo si ajabu ushaanza kudanga hadi kwa wanaume wenzio
 
Sema tu wewe ni lele mama hauwezi jisimamia. Vingine umeongea hapo havina hata mashiko.
 
Ulimuoa? [emoji848]
 
Nafsi yako inaishi na maumivu.....
Let it go bro, enjoy kuishi
Why umeassume ana maumivu? Why mwanaume akizungumza negative side ya mwanamke inaonekana au kuchukuliwa ni attack na sio aina ya elimu ambayo wanaume especially watoto wa kiume wanatakiwa kumezeshwa mapema?

Why? [emoji848]
 
Mbona vijana wengi miaka hii wanatoboa kimaisha na hawana mwanamke yule mwandani wa kupanga nae maisha, anakuwa na demu tu wa kutafuna ila sio wa kumpa Siri sirini.
 
Sasa hapo wewe ndie umefanya generalization ya mada. Umefanya jumla au kutafuta wastani. But in reality mleta uzi haja assume facts, ameongea uhalisia.

Kuna vitu ambavyo kwasasa huwezi sema ni vya wastani wakati vimepitiliza hadi ile kawaida.
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
Tatizo wao wanachotazama ni kuchangia mada kwa kuzima moto badala ys kudeal na uhalisia.
 
Ukweli halisi ni kwamba mwanamke uliye naye akipata best option anakukimbia. Huo ndio ukweli halisi
Hawazi mara mbili. Na anajitetea kabisa. Na jamii wanasema achana nae move on. Ila sasa mwanaume ufanikiwe upite na demu pisi kali uachane na mkeo uone vidole utavyonyooshewa na lawama utapewa na wanajamii.
 
Hivi vitu unavyosema mwanamke anafanya kwenye mahusiano ya sasa utakuwa unadanganya. Umeongea kinadharia sana. Mabinti wa sasa wapo kimkakati sana. Ukiona anamfulia mwanaume anamfanyia hayo yote basi jua mwanaume kuna mzigo wa bili analipa kwa huyo mwanamke ambao kwa mwezi haupungui laki 3. Kuanzia saloon, chakula, bodaboda, vocha, mitoko, mavazi, madeni, kusapoti familia yake indirectly, na kadhalika. Hivi tayari vinafanya idea kuwa huyu mwanamke ni yupo hapo kujitoa kimapenzi kuwa ni ys uongo na utapeli. Hapo huyo mwanamke kaja sababu anatafuta unafuu wa maisha hali si nzuri, ila sio kwasababu ana mapenzi ys dhati.
 
Point.
 
Kabisa.
 
Kitu ambacho wanawake hampendi na huwa mnachukia kuona ni wanaume wakiwa wanapeana elimu na kufumbuana macho maana hiyo inamaanisha awareness inaanza kusambaa kwa wanaume na wanaanza kuwashitukia kwa udhalimu wenu mnaofanya kwa chini chini.

Sasa mleta uzi hakuandika uzi ili wanawake msome kisha mkasilike au mjali, aliandikia wanaume wenzake ili kutengeneza awareness. Ninyi kujali au kutojali haibadilishi yale aliyoyasema ndani ya uzi sababu hakuwalengi ninyi bali sisi wanaume.
 
Specifically hapa kwenye huu mjadala mwanamke anaezungumziwa si mama, shangazi, mamamdogo, mama mkubwa wala bibi. Ni mke, mpenzi, mchumba au mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…