Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #21
Katika huu msemo wa uongo wa "nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" mwanamke anaemaanishwa hapa ni mpenzi ambae amepitia nyakati ngumu na uyo mwanaumeSio lazima umtongoze mwanamke ndo akusaidie,
Hata ukipewa kazi na mwanamke umesaidiwa, ukikopeshwa nk.
Sikuwezi kwa u-simp, nothing else.We huniwezi kwa lolote kuanzia maisha, akili,.. We ni mdhaifu sana na ukitaka kuliamini kasome post zangu za nyuma zote halafu utajipima mwenyewe nani ana akili
Ungesema.Katika huu msemo wa uongo wa "nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" mwanamke anaemaanishwa hapa ni mpenzi ambae amepitia nyakati ngumu na uyo mwanaume
Sikumaanisha about wao kutoa pesa mkuu, binafsi huwa sina shida na inshu za pesa zao wala wao kutafuta pesa. Nilichomaaisha kule juu kwa jamaa ni kule kujali, upendo, na kujitoa kwa mwanamke wake, kiufupi mwanamke responsible, mwenye kujua majukumu yake na kuyaishi.Mwanamke anaetoa hela yake kumsaidia mwanaume kuna uwezekano mkubwa sana anafanya ivyo kwa kumganda uyo mwanaume sababu mwanamke uyo hana chaguo jingine yaani kimuonekano hauziki sokoni
Yupo simp mmoja uko juu anaangaika sana kutetea ujinga wake.Kuna watu wabishi ila yakishawakuta huko huwa wanakuja kuludi kusoma hizi nyuzi kimya kimya huku wanadondosha chozi zito kwenye screen za simu zao.
Jadili hoja usimjadili mtoa hoja.Nafsi yako inaishi na maumivu.....
Let it go bro, enjoy kuishi
Hoja ni kwamba tujifunze kuachilia maumivu, hayana ishu zaidi ya kuumiza zaidi na zaidiJadili hoja usimjadili mtoa hoja.
Tunarudi pale pale kwenye masilahi. Mwanamke mpaka anakua na wewe maana yake ashafanya analysis ya masilahi yake. Mishangazi inawapaisha kwa sababu mna pumzi ya kuwakuna tofauti na watu wazima wenzao ambao stamina ishaisha na sex sio kipaumbele chao.Ungesema.
Lakini hata mpenzi inawezekana mfano ni jinsi mishangazi inavyotupaisha vijana.
Women "responsibility" is not unconditional, is transactional exchange.Sikumaanisha about wao kutoa pesa mkuu, binafsi huwa sina shida na inshu za pesa zao wala wao kutafuta pesa. Nilichomaaisha kule juu kwa jamaa ni kule kujali, upendo, na kujitoa kwa mwanamke wake, kiufupi mwanamke responsible, mwenye kujua majukumu yake na kuyaishi.
Basi haujaelewa kinachojadiliwa hapa. Rudia tena kusoma post.Hoja ni kwamba tujifunze kuachilia maumivu, hayana ishu zaidi ya kuumiza zaidi na zaidi
Kwahiyo ambao hatuna hela inakuweje sasa Evelyn SaltWomen "responsibility" is not unconditional, is transactional exchange.
Tutafute 😹Kwahiyo ambao hatuna hela inakuweje sasa Evelyn Salt
Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.
Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.
The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.
Women only come later and not before. They appear when the deal is done.
Focus my brothers