Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Mwanamke anaetoa hela yake kumsaidia mwanaume kuna uwezekano mkubwa sana anafanya ivyo kwa kumganda uyo mwanaume sababu mwanamke uyo hana chaguo jingine yaani kimuonekano hauziki sokoni
Sikumaanisha about wao kutoa pesa mkuu, binafsi huwa sina shida na inshu za pesa zao wala wao kutafuta pesa. Nilichomaaisha kule juu kwa jamaa ni kule kujali, upendo, na kujitoa kwa mwanamke wake, kiufupi mwanamke responsible, mwenye kujua majukumu yake na kuyaishi.
 
Ungesema.

Lakini hata mpenzi inawezekana mfano ni jinsi mishangazi inavyotupaisha vijana.
Tunarudi pale pale kwenye masilahi. Mwanamke mpaka anakua na wewe maana yake ashafanya analysis ya masilahi yake. Mishangazi inawapaisha kwa sababu mna pumzi ya kuwakuna tofauti na watu wazima wenzao ambao stamina ishaisha na sex sio kipaumbele chao.
 
Sikumaanisha about wao kutoa pesa mkuu, binafsi huwa sina shida na inshu za pesa zao wala wao kutafuta pesa. Nilichomaaisha kule juu kwa jamaa ni kule kujali, upendo, na kujitoa kwa mwanamke wake, kiufupi mwanamke responsible, mwenye kujua majukumu yake na kuyaishi.
Women "responsibility" is not unconditional, is transactional exchange.
 
Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.

Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.

The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.

Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.

Women only come later and not before. They appear when the deal is done.

Focus my brothers

The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.
 
Kuna mambo sio general na kuyalazimisha yawe general ni kujipotezea muda.

Dunia kuna watu wamefanikiwa sababu ya mwanamke, kuna watu wamefilisika sababu ya mwanamke, kuna watu hawaendelei sababu ya mwanamke, kuna watu wanaendelea sababu ya mwanamke.

Sasa kama wewe mwanamke anakuumiza jitenge nae, kaa na mama mzazi na kama mwanamke ni baraka kwako furahia uwepo wake.

HAKUNA HITIMISHO MOJA KWA KILA MTU, KILA MTU NA HITIMISHO LAKE.
 
Back
Top Bottom