Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Tatizo linakuja unapopachika situation zetu kwenye ulimwengu wote.
 
Relationship concept is ordinary. The richer and more successful you are the harder its for you to find genuine love from women, no woman has ever loved a man that has no value successful, from the beginning women's love for a man has always been consistently conditional and nothing can change, few of them settled with unsuccesful man beacuse they lack options.

As a man you should be wise enough to know that a woman's love for you is highly conditional and just because you are not seeing her making it obvious now doesn't mean she's not loving you for something.

Until you can no longer be useful financially and materially to her that's when you will learn the hard way.

After knowing this truth, your greatest mistake will come when you as a man don't condition your own love for women, it will come when you don't put conditions on your commitment.

As a man be strategic about the kind of woman that you give your commitment, not every woman deserves it, any woman that deserves it must be a woman that's submissive, productive and teachable.

Don't go into relationships that you know you can't benefit anything aside sex, its toxic.
 
Ndicho nimemwambia jamaa uko juu. Ukimtongoza mwanamke kabla ya kukubalia jua kwamba ashafanya short terms and long terms analysis na kujua atanufaika vipi.

Usijdanganye eti ananipenda kwa sababu alikua na mimi wakati ambao sikua vizuri ukweli ni kwamba alikua na wewe kwa sababu hakua na chaguo bora zaidi Kwa wakati huo.
 
Wengi humu kinachowakuta ni kuutamani msiba wa wengi, kutafuta pa kupumulia baada ya kukutana na vipigo vya wanawake wa mjini. Tamanio la kiubinadamu kuwa si mimi tu, kuna yule na huyu na yule.

Ndo maana ukiingiza "mama" wanatoa exception za mama zao, utasikia ukitoa mama yangu, wanasahau kuwa huyo mama yake ni mwanamke wa baba yake si mwanamke wake, na pengine ameshawahi kuwa na mwanaume akamfilisi kabla hajakutana na baba yake na kuwa mama kwake.

Maisha hayapo fixed kuwa njia ni hii. Watu wanabadilika, Unakutana na mwanamke mhuni wa leo kwako ila ni malaika wa kesho kwa mwanaume mwingine.

Unakutana na mwanamke malaika wa leo kwako anageuka mhuni wa kesho kwa mwanaume mwingine au unakutana na malaika mwanzo mwisho au vice versa hakuna general rule.

Wapo wanaume wamefanikiwa kupitia wanawake, wapo wanaume wamefilisiwa na wanawake, wapo wanaume wamewadhulumu wanawake mali zao kwa jina la mapenzi.

Wapo wanawake wanataka fedha zako tu, na wapo wanawake wanataka uwe baba kwa familia na akakuvumilia hata ukiwa huna kitu na akanyanyuka na wewe unapokuwa na kitu.
 
Ni bora uyape kipaumbele mabaya maana hata yasipokutokea hautaathirika kuliko kuyapa kipaumbele mazuri halafu uko njiani ukutane na mabaya.

Achraf Hakimi asingekaa kitaalamu leo hii angekua ashapigwa na kitu kizito. Kuna habari nimesoma jana tayari Evra ameshayatimba uko.
 

Pray for better and expect better
 
Hata huyo mama ni mwanamke pia usisahau hilo.....labda kama ulilenga ' mwanamke' uliye naye kimahusiano.

Anyway Kila mmoja ana njia yake ya mafanikio, hata Mungu ana mchango mkubwa pia kwa wengi.
 

Blessed is your woman, kids, parents na jamii yako yote.

Umetumia dollar ngapi kufikiria hivi? Ni ngumu kiasi gani binadamu kufikiri namna hii? Anyways…

Si Muda utaitwa “a simp” wakati umeongelea pande 4 za dunia. Which is very fair, kila mmoja akisoma comment yako atatafuta fungu lake atajidumbukiza humo.
 
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😥
 
Tatizo linakuja unapopachika situation zetu kwenye ulimwengu wote.
Mkuu saikolojia ya binadamu ina kanuni zake. Insticts za mwanaume na mwanamke zinajulikana, sikatai exceptions zipo lakini usiwe unazingatia sana exceptions kwenye kutunga sheria zako sana sana kwenye kum-judge mwanamke, majuto ni mjukuu.
 
Hakuna ubaya iwapo utaamua kuwa hutaki mwanamke awe sehemu ya utaftaji katika maisha yako. Ni maamuzi sahihi kwako na ni njia sahihi ya kulinda unachovuna maishani.

Ubaya unakuja pale ambapo sababu inayokufanya uchukue hayo maamuzi ni ya kulazimishwa kisa umetendwa au umeona mtu akitendwa na sasa unahitaji wanawake wote kasoro mama waexperience matokeo ya kutendwa huko kupitia wanaume wote.

Sasa kama Evra akipigwa na kitu kizito, inafuta matukio yasiyotangazwa ya wanaume wanaofanikiwa kupitia wanawake zao?
 
"Baadhi" au "sio wote" hayo maneno yanatumika kama kundi unalotaka kuliweka pembeni ni la watu wachache sana ukilinganisha na kundi zina. Ndio maana Tanzania tunajulikana kama nchi masikini ingawa matarajiri wapo.
 
Mkuu saikolojia ya binadamu ina kanuni zake. Insticts za mwanaume na mwanamke zinajulikana, sikatai exceptions zipo lakini usiwe unazingatia sana exceptions kwenye kutunga sheria zako sana sana kwenye kum-judge mwanamke, majuto ni mjukuu.
Hakuna hichi kitu boss. Mambo yangekuwa hivi tangu kuumbwa kwa dunia haya matukio yasingeendelea. Yapo sababu kuna balance ya ubaya na wema na huenda wema upo juu ya ubaya.

Kila mwanaume anapoanza mahusiano ana mategemeo, yale mategemeo ndo yanayoleta matokeo either hasi au chanya kutegemea na aina ya mwanamke aliyeamua awe nae, anachokitegemea ndo huamua ni maamuzi yapi afanye na ndo huzalisha matokeo hasi au chanya.

Tatizo ni kuchukua matokeo hasi yaliyotokana na maamuzi yako yaliyoathiriwa na aina ya mwanamke uliyekuwa nae na kutaka yakabadili mazingira yote yaliyopo ilihali wanawake hawafanani kama ambavyo wanaume hatufanani.
 
Mwanamke anatoa sapoti kwa.mwanaume mwenye mafanikio yaliopo na sio mafanikio tarajiwa ...Mwanamke ambae yupo nyuma ya mafanikio ya mwanaume ni Mzazi pekee , huyu ndio atakusapoti ukiwa huna kitu na utakapoanza na kuwa na kitu na nusu ya majukumu yake ndio yatakuja kubebwa na huyo mwanamke.
Wengi ambao wamepata sapoti ya wanawake wao wanaingia katika kundi la wanaume wenye bahati.
 
Hoja yangu ni kuongelea upotoshaji wa huo msemo ukilinganisha na hali halisi katika jamii ili mwanaume aamke na kujilinda kwa maana akiyatimba au kupoteza uelekeo wa maisha hana mtetezi wala masia wa kuja kumuokoa.. hakuna popote ambapo nimeimiza chuki ya kijinsia sasa kama mwanaume akitendea kazi maneno yangu in brutal methods hayo ni maamuzi yake sio ambacho mimi nimekisema.
 
"Baadhi" au "sio wote" hayo maneno yanatumika kama kundi unalotaka kuliweka pembeni ni la watu wachache sana ukilinganisha na kundi zina. Ndio maana Tanzania tunajulikana kama nchi masikini ingawa matarajiri wapo.
Unapenda kujitungia mambo… ndio maana umejitungia hii mada based on your eksipiriense na beliefs.

Unaamua tu hiki kiwe hivi na kile kiwe hivi, sasa hao “wachache na baadhi” ukawafutaje? Maana sijawaona kwenye bandiko lako. Hebu kasome tena bandiko lako “Hakuna” ni neno ulilotumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…