DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Truth is not indicator of hatred. Be alerted 24/7.
Ukiona kanichagua mimi basi jua mimi ni bora kuliko wewe na hao wengine.Kupitia iyo iyo akili ya kufikiri kwamba mwanamke yupo nyuma ya mafanikio yako ndio unamuwezesha indirectly hapo.
Unafikiri unaonewa huruma kumbe mwenzako yupo na wewe kwa sababu hana chaguo bora zaidi
Nafikiri hatuelewani. Asante kwa ku-commentUkiona kanichagua mimi basi jua mimi ni bora kuliko wewe na hao wengine.
Kama alikufanya ufanikiwe, basi post yako imekosa hoja. Haijalishi atafaidika au lah ila issue ni wewe mwanaume umefanikiwa sababu ya support yake
Nice guys and simps can't understand.Mtu anayetegemea mwanamke aliyekutana nae bar au facebook ili afanikiwe ni mpuuzi asiyejitambua pekee. Kiuhalisia kila mafanikio ya mwanaume ni juhudi zake mwenyewe, au na wazazi wake au familia yake.
Zaidi ya hapo ni fix za malaya kuwakamata maboya. Mwanamke hana faida yoyote ya mwanaume financially au kimaendeleo zaidi ya kuvua chupi na kutanua miguu ili kumaliza haja za kimwili. Na kutotoresha vifaranga watu kama muda umefika ili kujenga familia.
Baada ya hapo ni big liability itakayokuchelewesha kufikia maendeleo binafsi kutokana na kupoteza nguvu na muda mwingi kwake, drama za kipuuzi na kumuhudimia.
When it comes to love relatiinship women are selfish and opportunistics, you can't change the fact.UPENDO ni uwezo
Hivi kweli unategemea MTU mliekutana ukubwani ambaye hana bond na wewe aje awe MTU mwema kwa % kwako!
Ili kupata strong woman unabidi na wewe kuwa strong man because you Attract what you relate .
Mambo yakusema wanawake wanatabia za ubinafsi mara nyingi ukiona unakutana na mambo Kama hizo fahamu wewe ndo unashida.
We need to respect each other in this Entity (universe)
You attract what you reflect.
Kuna mambo sio general na kuyalazimisha yawe general ni kujipotezea muda.
Dunia kuna watu wamefanikiwa sababu ya mwanamke, kuna watu wamefilisika sababu ya mwanamke, kuna watu hawaendelei sababu ya mwanamke, kuna watu wanaendelea sababu ya mwanamke.
Sasa kama wewe mwanamke anakuumiza jitenge nae, kaa na mama mzazi na kama mwanamke ni baraka kwako furahia uwepo wake.
HAKUNA HITIMISHO MOJA KWA KILA MTU, KILA MTU NA HITIMISHO LAKE.
Bolded: Typical a narcissistic phrase.Dada angu upo too much emotionaly kiasi kwamba unashindwa kusoma between the lines.
Kila upande wa kijinsia una madhaifu yake. Ninachoongelea ni kwamba mwanaume asiingie kwenye mahusiano na fikra kwamba ameonewa huruma kukubaliwa na uyo mwanamke.
Mwanamke anaangalia masilahi yake in short terms and in long terms kwaiyo na mwanaume weka standard.
Usifikirie kwamba mwanamke yupo na wewe kwa sababu ameikubali elfu 10 yako wakati wapo wanaume wenye uwezo wa kumpa milioni, ukweli ni kwamba ameikubali elfu 10 yako kwa sababu hajajitokeza mwanaume mwenye uwezo wa kumpa milioni
HayaBolded: Typical a narcissistic phrase.
Kitu gani unadhani haujaeleweka zaidi ya kuchekecha maneno for gaslighting? Lengo la thread yako limeeleweka.
sikatai mchango wa mama kwa mwanae ila jitahidi utafute mwanamke wa maana kama unawaza hivyo nasikitika kwamba mali zako zitaliwa na wajinga wajinga wasio na msimamo.Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.
Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.
The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.
Women only come later and not before. They appear when the deal is done.
Focus my brothers
mkuu badili mawazo uzuri wa mwanamke ni akili hayo ya kuuzika sokoni labda uwe unatafta malaya ila mwanamke anaejielewa hawezi kuwa kama unavyowaza....Mwanamke anaetoa hela yake kumsaidia mwanaume kuna uwezekano mkubwa sana anafanya ivyo kwa kumganda uyo mwanaume sababu mwanamke uyo hana chaguo jingine yaani kimuonekano hauziki sokoni
Umemaliza kila kitu ππππNyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.
mkuu cha kwanza ni mtazamo wako usitarajie ukiwa na mawazo kama ya mleta mada utapata mwanamke imara kamwe..... mwanamke unamjenga ww kwanza akilini mwako unakua na misimamo yako hatusemi ukachague pisi mbovu ila chagua mwanamke ambaye hata ukizaa naye watoto wako watayajua maisha na kuishi nawatu mbali na hapo bora ubaki singoMnawatoaga wapi hawa wa hivyo dahh. Tunavyokutana navyo Mwisho unaona bora uishi kisingle single tuu.
Sijaelewa ushauri wako unaambatana vipi na mada maana hakuna sehemu ambapo nimepinga kuwa katika mahusiano na mwanamke wa maana.sikatai mchango wa mama kwa mwanae ila jitahidi utafute mwanamke wa maana kama unawaza hivyo nasikitika kwamba mali zako zitaliwa na wajinga wajinga wasio na msimamo.
pole sana bro..
sawaSijaelewa ushauri wako unaambatana vipi na mada maana hakuna sehemu ambapo nimepinga kuwa katika mahusiano na mwanamke wa maana.
Kama unafatilia posts zangu between the lines moja ya vitu ninavyowakumbusha vijana ni kuwa katika mahusiano na mwanamke wa maana na kuepuka wanawake wanawaongezea liabilities for sake of kupewa mbususu.
Hata nikibadili mawazo haitaondoa ukweli.mkuu badili mawazo uzuri wa mwanamke ni akili hayo ya kuuzika sokoni labda uwe unatafta malaya ila mwanamke anaejielewa hawezi kuwa kama unavyowaza....
na unanifikirisha kama mama yako kakukuza unauelewa huo inamaana hii ni picha halisi ya mwanamke aliekukuza wewe.
no hard feelings ila ndio ukweli huo kaka badili mawazo badili watu unaojihusisha nao uwe huru kwenye hii dunia
In everything there is exception but exceptionality don't count when we make rules.Kila kanuni ina exceptions, kuna wanawake wana moyo mzuri sana, wapo bega kwa bega na waume/bf zao kwenye maendeleo ya familia zao, so yeah mafanikio ya wanaume yanaweza kuchagizwa sana na wake zao.
sawaHata nikibadili mawazo haitaondoa ukweli.