Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #141
Mc pilipili kabla hajaoa alikua na mawazo kama yako, uliza kilichomkuta ni kipi?. Ofcourse everyone strive for the best but don't forget to be prepared for the worst along the way.mkuu cha kwanza ni mtazamo wako usitarajie ukiwa na mawazo kama ya mleta mada utapata mwanamke imara kamwe..... mwanamke unamjenga ww kwanza akilini mwako unakua na misimamo yako hatusemi ukachague pisi mbovu ila chagua mwanamke ambaye hata ukizaa naye watoto wako watayajua maisha na kuishi nawatu mbali na hapo bora ubaki singo
Acheni hizooooo lo
Toa muongozo sweetheart...Acheni hizooooo lo
Sio kwamba hatuelewani, tunaelewana ila ni tunatofautiana kipengele cha kugeneralize.kwa mbali tunanza kuelewana. My point is that when it comes to love relationship women are opportunistics while men strive to be hero, so that have to change both side should prioritize his/her benefits.
Nyuma ya mafanikio yenyuuu kiumeni wanawake tunahisika sanaaaa😊!Toa muongozo sweetheart...
Hongera zangu zikufikie popote ulipo mdauHakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.
Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.
The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.
Women only come later and not before. They appear when the deal is done.
Focus my brothers
Mm likinikuta ndo dunia nzima inakuwa hivyo? Na kwanini hujafikiri kuwa kuna siku nitaapriciate uwepo wa mwanamke kwenye maisha yangu? Au ndo Yale yale ya ukisema utakufa kesho unaambiwa unachokisema ndo kinakukuta ila ukisema nitanunua gari kesho unaambiwa fanya kazi maneno hayaleti gari.Kuna siku utaelewa mtoa mada anachosema
Tunarudi pale pale. Wakati unachagua mwenza, vipaumbele vilikuwa ni nini? Unamtaja Mc pilipili kama rejea, ila umepuuza vipaumbele vya mc pilipili wakati anachagua mke, nini alitazama, tabia zipi alizingatia huku ukisahau kuwa kuna mtu hapo kwenye jamii yako pengine ana miaka 20 ya ndoa ambaye ungeweza kumtazama. Pengine ni mjomba, kaka, baba mdogo, jirani etc.Mc pilipili kabla hajaoa alikua na mawazo kama yako, uliza kilichomkuta ni kipi?. Ofcourse everyone strive for the best but don't forget to be prepared for the worst along the way.
😀😀😀 uyo uliomtag nakuachia wewe mwenyewe, mimi naingia maeneo yangu kumwagilia moyo. Kama upo around na mbagara kuu tukutane getway kijichi.
Nimekuelewa vizuri kabisa ndio maana nikakubali exceptions zipo kwenye kitu lakini pale tunapoweka kanuni ya jumla hatuzingatii sana exceptions.Sio kwamba hatuelewani, tunaelewana ila ni tunatofautiana kipengele cha kugeneralize.
Aisee kumbe argument ukitoa kwa chingereza inakuwa na mashiko zaidi.Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.
Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.
The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.
Women only come later and not before. They appear when the deal is done.
Focus my brothers
VIpaumbele vyake wakati anachagua mke hatuvijui but what we are sure of is tha he hoped for the best but he met the worst bad enough he wasn't prepared for it. Stay awake fella, women are not innocents and you are not invincible.Tunarudi pale pale. Wakati unachagua mwenza, vipaumbele vilikuwa ni nini? Unamtaja Mc pilipili kama rejea, ila umepuuza vipaumbele vya mc pilipili wakati anachagua mke, nini alitazama, tabia zipi alizingatia huku ukisahau kuwa kuna mtu hapo kwenye jamii yako pengine ana miaka 20 ya ndoa ambaye ungeweza kumtazama. Pengine ni mjomba, kaka, baba mdogo, jirani etc.
Msaada wa mwanamke sio unconditional.
-inawezekana anakusaidia kwa sababu unamjulia kwenye mambo ya kitandani
-inawezekana anakusaidia kwa sababu hana chaguo jingine(sio pisi kali)
-inawezekana anafanya uwekezaji kwako akiwa na matarajio atapata faida hapo badae.
Mwanaume jua ya kwamba unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia tayari ashafanya short terms and long terms calculations na kujua atanufaika vipi na wewe.
Tuliofanikiwa kuzitoa akili zetu nje ya matrix tusichoke kuwaelekeza hawa wenzetu. Sio rahisi kuukataa uongo uliouamini na kuuishi kwa miaka mingi.Uzi ulipaswa kuishia hapa.
Mkuu huu ni ukweli ambao vichwa panzi huwa wanajitoa ufahamu na kudhani huyo alonae ni watofauti
Hua hawaelewi mpaka wapigwe nyundo ya utosi na hao wanaowaita future wife.
ushasema mc pilipili ww unamuona yupo timamu yuleMc pilipili kabla hajaoa alikua na mawazo kama yako, uliza kilichomkuta ni kipi?. Ofcourse everyone strive for the best but don't forget to be prepared for the worst along the way.
Mkuu hata unapoamua kuinvest you hope for the best. Sasa hatuwezi kuhitimisha kuwa investment ni uamuzi mbaya kwa kumuangalia mtu aliyepoteza fedha baada ya kuinvest bila kujua hatua zilizompelekea kuchagua aina ya investment aliyofanya. Huenda ilikuwa ni 100% kamari.VIpaumbele vyake wakati anachagua mke hatuvijui but what we are sure of is tha he hoped for the best but he met the worst bad enough he wasn't prepared for it. Stay awake fella, women are not innocents and you are not invincible.
Kuna kupoteza hela na kuchezea hela ku-invest kwenye biashara na usifanikiwe ni kupoteza hela maana ulikua na lengo la kufanikiwa dili likagoma ila kuinvest kwa mwanamke ni kuchezea hela.Mkuu hata unapoamua kuinvest you hope for the best. Sasa hatuwezi kuhitimisha kuwa investment ni uamuzi mbaya kwa kumuangalia mtu aliyepoteza fedha baada ya kuinvest bila kujua hatua zilizompelekea kuchagua aina ya investment aliyofanya. Huenda ilikuwa ni 100% kamari.
Mkuu nilishaacha kubishana na wavulana kuhusiana na haya masuala, kama yeye anaona hakuna wanaume wanaofanikiwa sababu ya wanawake walionao basi asubiri muda utamfundisha, na kwa kauli kama hizi sishangai ndio maana hata wanawake nao siku hizi wameacha kujitoa maana wameona hata wakijitoa mwisho wa siku wataambulia maneno kama haya tu
KUjitoa kwa ku-provide kumer? HATUDANGANYIKI.. Changia mtaji wa kuanzisha biashara ya maana mwanaume wako akiwa tajiri ndio useme umejitoa, changia ada ya chuo mwanaume wako akipata kazi nzuri ndio useme umejitoa.Mkuu nilishaacha kubishana na wavulana kuhusiana na haya masuala, kama yeye anaona hakuna wanaume wanaofanikiwa sababu ya wanawake walionao basi asubiri muda utamfundisha, na kwa kauli kama hizi sishangai ndio maana hata wanawake nao siku hizi wameacha kujitoa maana wameona hata wakijitoa mwisho wa siku wataambulia maneno kama haya tu