Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Hiv Kat ya slaa na chadema alie mkosea mwenzako Nan na Nan Kati yao apo alistail kumlaum mwenzako hiv Ile sentes ya ukimwaga mboga namwaga ugali ni yakishujaa au kijinga kama ni mjinga naomba usijibu ili mana utajibu matango tu ili linaitaji iq
Wacha mikwara.
Kwenye siasa hakuna kumwaga mboga na kumwaga ugali.
Kila ufantalo ni kifo au uhai wako.
Dr. Amekufa kisiasa mazima kwa matendo yake ya kusaliti watanzania na sio wanachadema tu.
Tupo tusio chadema na tulimpenda na kumkuza ila akaja kutusaliti kama lipumba.