Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Kuna mtu mmoja alituma clip ikionesha Mrema analalamikia uchaguzi wa jafo ulikuwa siyo fair, eti leo na yeye yumo kwenye tamko la vyama 12 vilivyotoa tamko kuhusu kuukubali uchaguzi wa NEC na kwamba wanaamini utakuwa fair.Another Wema Sepetu, akiona haandikiwi wala kusemwa lazima atafute kituko tu.
Mkubwa Silaa, upepo umeshapita huo. Huna nyimbo sasa hivi, shukuru Mungu uliambulia ubalozi bora ujikite huko. Achana na chadema kwa sasa wewe ni CCM sheikh! Tunga vitabu kuhusu CCM na u focus kwenye kazi za ubalozi. Tumia u phd wako kuboresha mahusiano ya Tanzania na Scandnavian countries mkuu, ya Chadema waachie kina Mbowe na Lissu. Kama una hamu sana kutunga vitabu tunga kuhusu CCM na dola
Sent using Jamii Forums mobile app