NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

Slaa ni mpumbavu akae kimya.Alisaliti jeshi ya ukombozi 2015 sasa ameungana na wanyonyaji wamempa vyeo.Ataandika nini mnafiki huyu hata tumkubalie?Atuache na CDM yetu yeye aendelee kula bata ughaibuni kwa hisani ya mafisadi ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kweli ni PHD holder, amejitahiidi kutumia 'tafsida'. Ukweli ni kua kuna watu walilamba pesa kwenye ujio wa Lowasa pale CDM. Ile kibadili gia angani ulikua ni mchezo wa kuwatoa makamanda uchwara mawenge.
Mbowe kweli ni mfanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato,
CHADEMA CHADEMA CHADEMA, bado mnajivunia mlivyosalitiwa yaani mnaona Lowassa bado ni wenu! Kweli mapenzi ni upofu!
 
CHADEMA CHADEMA CHADEMA, bado mnajivunia mlivyosalitiwa yaani mnaona Lowassa bado ni wenu! Kweli mapenzi ni upofu!
Kuna ujumbe wako hapo chini.
tapatalk_1577999380187.jpeg


dodge
 
Duh! naona mass panic tu humu. Kitabu ndio kishaandikwa, watakaotaka kusoma watasoma mtu hawezi kuzuia sababu ana Keyboard. Kama una hasira sana kameze tambara la deki.
 
Hicho kitabu ni mwiba
Hakiwezi kuwa mwiba kwa wenye akili. Ni sawa na mke aliyeishi na mumewe miaka 20 kwa upendo wote kisha mumewe akaongeza mke wa pili na huyu wa kwanza akaamua kutoa talaka.

Baada ya talaka akaolewa na jirani lakini yeye kila siku ni kutafuta chokochoko na mumewe wa zamani na anapuuzwa.

Kisha anaona isiwe tabu, anakuja na fungakazi ya kumvua chupi mumewe wa zamani na kitabu NYUMA YA PAZIA akidhani hapo atammaliza mtalaka wake. Ndio Dr Slaa huyo!

Badala ya kumshukuru Mungu na kuwatumikia watu katika ubalozi wake yeye bado anapambana na Chadema.

Naanza kuamini kuna laana Fulani ya kukimbia Upadre inamuandama maishani mwake. Hajapata kufanikiwa malengo yake sio familia wala sio siasa.

Hana mahusiano mazuri mpaka kwa wanae wa kuzaa mwenyewe, ni MTU wa aina gani huyo? Tujiulize!
 
Hiyo hela ya kununulia hicho kitabu iko wapi?

Btw kama hayo uliyoandika ndiyo yako humo hakuna cha maana kitakachomshawishi mtu anunue hicho kitabu maana ni mambo mepesi, story za kawaida kabisa. Dr alipaswa aandike vitu muhimu kwa ajili ya ustawi wa nchi azungumzie fursa kwa vijana wanazoweza kuzipata huko anapotuwakilisha ili kujikwamua kiuchumi na mambo mengine ya msingi siyo kutuletea siasa za vyama ambazo alidai ameachana nazo.
Dah..umesoma jina la kitabu lakini? [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Vipi ameelezea pia uhusika wa Josephine Mushumbuzi kwenye harakati zake na uhusika wake pale 2015?
Hivi kati ya Slaa na CHADEMA alie mkosea mwenzako Nan na Nan Kati yao apo alistail kumlaum mwenzako hiv Ile sentes ya ukimwaga mboga namwaga ugali ni yakishujaa au kijinga kama ni mjinga naomba usijibu ili mana utajibu matango tu ili linaitaji IQ.
 
Hiv Kat ya slaa na chadema alie mkosea mwenzako Nan na Nan Kati yao apo alistail kumlaum mwenzako hiv Ile sentes ya ukimwaga mboga namwaga ugali ni yakishujaa au kijinga kama ni mjinga naomba usijibu ili mana utajibu matango tu ili linaitaji iq

CDM ni taasisi na Dkt. Slaa alikuwa ni mtu ndani ya taasisi, kama IQ yako pia iko sawa utaelewa.
 
Tokea siku nyingi sana hua naamini kwamba MM ndio Dr. Slaa, pamoja na utetezi mwingi wa kuwatofautisha but still akili yangu bado hua inaamini kwamba Dr. Slaa=Mwanakijiji

Hapana mkuu MM yupo na ndio mshahuri mkuu wa Dr. Kwenye siasa.

Na MM ndio akiyemshawishi slaa amkatae lowasa na kikubwa ni chuki za MM kwa lowassa.

Chunguza hata umaarufu wa MM ni kutokana na kumchukia lowasaa.
 
Back
Top Bottom