Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Hiv Kat ya slaa na chadema alie mkosea mwenzako Nan na Nan Kati yao apo alistail kumlaum mwenzako hiv Ile sentes ya ukimwaga mboga namwaga ugali ni yakishujaa au kijinga kama ni mjinga naomba usijibu ili mana utajibu matango tu ili linaitaji iq
Chadema ni chamajinai.Nilikuwa sijasoma kitabu hicho.Niliposoma nilisikitika sana kwa sababu nilikuwa naipenda na kuwakubali sana akina Mbowe.
Kumbe hawa jamaa ndiyo waliowamwagia tindikali wanachama wao,walimuua na kumtekeleza maeneo ya Ununio mwanachama na kiongozi wao kupitia Red Brigade.
Pia wamefanya hujuma nyingi na kuwasingizia CCM.
Mimi sitaki hata kuwaona akina Mbowe.
Ebu sema vizuri na weweNilikuwa sijasoma kitabu hicho.Niliposoma nilisikitika sana kwa sababu nilikuwa naipenda na kuwakubali sana akina Mbowe....
Ili uelewe vizuri soma hicho kitabu.Ebu sema vizuri na www
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni tangazo la
BiashaRa
!!!
Nabado Serikali imeogopa kuwakamata inaonekana wananguvu mpaka Serikali inawaogopaNilikuwa sijasoma kitabu hicho.Niliposoma nilisikitika sana kwa sababu nilikuwa naipenda na kuwakubali sana akina Mbowe...
Watoto mko wengi sana huku jf.Nilikuwa sijasoma kitabu hicho.Niliposoma nilisikitika sana kwa sababu nilikuwa naipenda na kuwakubali sana akina Mbowe....
Jin lakeIli uelewe vizuri soma hicho kitabu.
Mie najua dk slaa alivyorubuniwa na najua baadhi ya watu walioshiriki moja kwa moja...sina haja ya kusoma kitabu(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)....
Nakuunga mkono...kama atataja mwigulu alihusikaje hapo rose kamili alihusikaje hapo canada aliendaje kitabu nanunua...Vipi ameelezea pia uhusika wa Josephine Mushumbuzi kwenye harakati zake na uhusika wake pale 2015??...
Kwa hiyo Serikali bado haijasoma hicho kitabu na kuanza uchunguzi ili hao waliohusika wachukuliwe hatua?Nilikuwa sijasoma kitabu hicho.Niliposoma nilisikitika sana kwa sababu nilikuwa naipenda na kuwakubali sana akina Mbowe...
Sisi tuna hela nyingi sana na tupo uchumi wa kati, hata wauze laki 2 tutanunua tu.Ushauri kwa Dr. Slaa:
Atafute mdhamini alipie gharama za utunzi na uchapaji, halafu kitabu hicho kigawiwe bure kwa wasomaji.
Watanzaia wengi hawawezi hata kununua gazeti la buku siku hizi.
Ni shida.