idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Mkuu nilitegemea ungejielekeza kwenye hoja kuliko kumshambulia Dr Slaa binafsi na maisha yake.Mzee Mwanakijiji Gulwa na Laface77 wanadai Dr. Slaa ni mzinzi toka akiwa Padri na baada ya kuacha Upadri, ni kweli? Na je kwenye hicho kitabu chake kaelezea ilikuwaje aliacha Upadri. Jee Suala la Uzinzi ni sababu mojawapo ya kuacha Upadri?
Sidhani kama maisha yako hayana doa kabisa.!