Mkuu nilitegemea ungejielekeza kwenye hoja kuliko kumshambulia Dr Slaa binafsi na maisha yake.Mzee Mwanakijiji Gulwa na Laface77 wanadai Dr. Slaa ni mzinzi toka akiwa Padri na baada ya kuacha Upadri, ni kweli? Na je kwenye hicho kitabu chake kaelezea ilikuwaje aliacha Upadri. Jee Suala la Uzinzi ni sababu mojawapo ya kuacha Upadri?
Ni kijana bado yuko emotional and idealistic.. muda tu utaamua.Mkuu nilitegemea ungejielekeza kwenye hoja kuliko kumshambulia Dr Slaa binafsi na maisha yake.
Sidhani kama maisha yako hayana doa kabisa.!
Mkuu. Wale CHADEMA original lazima tukinunue tukumbushie enzi zetu kabla akina Tundu Lisu na mwenyekiti hawajakiuza chama chetu kwa CCM.
Hawajui kuwa vitu vingi wanavyovifuata leo ndani ya Chadema mawazo ya Mwanakijiji yamehusika kwa asilimia kubwa.Nyie vijana acheni dharau. Laiti kama ungejua upambanaji wa dhati wa Mzee Mwanakijiji na Mh. Dr. Slaa usineliufungua huo mlango wako wa mbele kuyanena yasiyofaa dhidi ya watu hawa.
Hawa vijana wa mihemko achana nao, hawajui kwenye mitandao kuna sauti zako kibao.Yaani, hujawahi hata kutusikiliza?
Who was paying his bills akiwa huko Canada kabla ya kuwa mtumishi wa Super Market?kwenye kitabu amesema hayo?
Kwa jinsi nilivyoelewa hicho kitabu hakipo kwa ajili ya biashara bali kuweka rekodi sawa kilichotokea 2015.Bila shaka hichi kitabu kitafanya vibaya sana katika mauzo yake. Naamini hata endapo bashite angekuwa kaandika kijitabu chake, hapana shaka kingefanya vizuri zaidi sokoni kushinda hiki cha Dr.Mihogo.
Alafu yeye ndie mwandiahi was hiko kitabu kitabu slaa amemleta kama mnogeshaji simulizi nendeni mkakiuze huko chimwaga na Lumumba.Wewe na huyo slaa wote vigeugeu, sisi vijana tumewapuuza
Mbona mnarudia maneno kama mmekariri; Dkt. Slaa yuko CCM?
Hapana in watu tofauti sema marafiki sana. Ukichunguza kama ww in mkongwe hapa masjala Dr slaa alikuwa anamatatizo ya sarufi kwenye kuandika tofauti na M.MTokea siku nyingi sana hua naamini kwamba MM ndio Dr. Slaa, pamoja na utetezi mwingi wa kuwatofautisha but still akili yangu bado hua inaamini kwamba Dr. Slaa=Mwanakijiji
VP ameandika kuhusu wanae Linus na dadaake jinsi alivyowazaa angali akiwa padri.. !??Sijui nikujibuje? mweeh...
Lazima uvae joho. Sio ?Yaani, kuna kisa humo ukikisoma utajua kuwa vita hii ya ufisadi haipiganwi kwa suti...
Hili ndilo lengo lake kuu zaidi. Lakini kubwa ni kuwa anatufungulia vikao, simu, maneno, na mikutano ambayo ilikuwa inatokea. Lakini kubwa zaidi ni kufunuliwa kwamba.... wakati watu wanajifanya wanajaribu kumualika Lowassa ndani ya CHADEMA....Kwa jinsi nilivyoelewa hicho kitabu hakipo kwa ajili ya biashara bali kuweka rekodi sawa kilichotokea 2015.
Dr Slaa angeondoka duniani bila kuandika kitabu nini kilitokea 2015, historia ingemhukumu sana.
Nadhani na yeye kwa sasa ametua mzigo, historia ndio itachambua iwe leo ama kesho.
Sijui tuwawekee mikono tuwaombee... mweeh.. msaidieni na huyu tafadhali.VP ameandika kuhusu wanae Linus na dadaake jinsi alivyowazaa angali akiwa padri.. !??
Kama ungetaka maombi ungepeleka hili bandiko lako kwenye mitandao inayotumiwa na wanamaombi. Hebu wasiliana na Askofu Gwajima!!Sijui tuwawekee mikono tuwaombee... mweeh.. msaidieni na huyu tafadhali.
Sio mapoyoyo,cha nini sasa?asante kwa dibaji nzuri,nitachukua nakala yangu leo
Chadema hawawezi kununua hata uwape bure,kuna ukweli mchungu humo
Naona ni biashara!Kumbe ni tangazo la
BiashaRa
!!!