Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna huo mudaSoma kitabu halafu uje na maswali.. duh
Mkumbushe Dr Willibrod Slaa alisema hawezi kukaa na Kinyesi (ENL) CHADEMA(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
Na. M. M. Mwanakijiji
Umpende au umchukie, umkatae au umkubali, umpinge au umuunge mkono Dkt. Wilbrod Slaa Dr Willibrod Slaa anabakia kuwa miongoni mwa wanasiasa wachache Tanzania ambao alama zao katika zama na nyakati za kisiasa ni vigumu kufutika. Unaweza kumuita majina mengi na ya rangi mbalimbali ya kejeli lakini ni vigumu kupuuzia, kudharau au kutupilia mbali mchango wake katika siasa za Tanzania kwa karibu miaka ishirini na mitano. Mchango wake katika kuimarisha siasa za Tanzania akiwa miongoni mwa wabunge wa kwanza kabisa wa upinzani umeacha historia kubwa kuanzia Karatu hadi Dar, toka Tunduru hadi Tarime.
Hata hivyo, matukio ya kisiasa ya mwaka 2015 yanabakia katika historia yetu kama mafundisho makubwa kabisa ya siasa zinavyoweza kuwafanya ndugu wawe maadui, marafiki wake mahasimu, na kutengeneza kile ambacho wenzetu Wamarekani wanasema ni “strange bed fellows” yaani kuwaona watu usiowadhania wamelala kitanda kimoja. Matukio haya yalitokea taifa likiwa katika mwamko mkubwa wa uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge.
Dkt. Slaa akiwa Katibu Mkuu wa chama Kikuu cha upinzani cha CHADEMA, alitarajiwa na alipitishwa na chama chake kuwa mgombea wa Urais huku mtifuano mkubwa ukitarajiwa na hatimaye ulitokea ndani ya Chama cha Mapinduzi. Kwa baadhi ya wachunguzi wa siasa mtifuano au mnyukano uliokuwa unatokea CCM ulifanya kazi ya mgombea wa upinzani uliounganika kuwa ya afueni zaidi.
Hata hivyo, kinyume na matarajio ya watu wengi na kinyume na mantiki zilizozoeleka za kisiasa Edward Lowassa aliyekatwa jina lake ndani ya CCM ambako alikuwa anaongoza kwa mashabiki na kura za maoni alikimbilia CHADEMA na kusababisha chama hicho cha upinzani kulala kitanda kimoja na mtu ambaye walitumia muda mwingi kumhusisha na ufisadi nchini. Ilisemwa “yeyote” isipokuwa CCM. Dkt. Slaa akafyekelewa mbali na chama chake na kusababisha mpasuko wa aina yake ndani ya CCM na CHADEMA.
Dkt. Slaa akaamua kuachana na siasa za vyama na yeye na familia yake wakahamia Canada. Miezi michache baadaye Rais John Magufuli alimteua Dkt. Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden kitu ambacho kilitafsiriwa na baadhi ya watu kwa namna mbalimbali.
Katika kitabu cha NYUMA YA PAZIA Dkt. Slaa anaelezea kwa kina matukio mbalimbali ambayo yalitokea hadi kufikia Lowassa kukaribishwa CHADEMA na kwa nini hakuwa tayari kusimama jukwaani kumnadi Lowassa na akabakia na utimamu wa kimaadili na akili. Hata hivyo, kitabu hiki kinaenda zaidi ya nyuma ya pazia la siasa za 2015. Inatufunulia kumuelewa Dkt. Slaa kwani kwa kiasi chake kitabu hiki pia ni bibliografia (historia ya maisha) ya mwanasiasa huyu nguli, mcheshi, na msomi.
Ndani ya kitabu hiki tunaweza kukutana na mtu ambaye anatufundisha mambo mbalimbali kuhusiana na uongozi. Mojawapo ya mambo ambayo msomaji atayafurahia atakapokutana nayo ni jinsi gani Dkt. Slaa ni mtunzaji mzuri sana wa kumbukumbu. Siyo tu katika akili lakini katika nyaraka na vielelezo mbalimbali. Anataja tarehe, mahali na siku kama shahidi katika kesi nzito. Bila utata anataja pia majina mbalimbali ya wahusika mbalimbali katika ujasiri ambao utawakumbusha watu wengi ile hotuba yake ya “Orodha ya Mafisadi” ya pale Mwembe Yanga.
Kitabu hakigusi siasa tu za 2015 lakini pia kinatudokeza safari ya Dkt. Slaa kutoka upadre hadi kuwa mwanasiasa mbobezi. Wengi watashtushwa, kushangazwa na kuburudishwa na masimulizi yake ya mikutano yake na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere wakati huo Dkt. Slaa akiwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu. Pia watakutana na jinsi gani Dkt. Slaa alisimamia kupinga ufisadi ndani ya Kanisa Katoliki kiasi cha kumgonganisha yeye na mmojawapo wa maaskofu waandamizi wa wakati huo. Msomaji pia ataburudishwa na masimulizi yake ya kujaribu kuinua hali na maisha ya watu wa Karatu katika kile ambacho kilimsababishia kuwa mbunge mpendwa sana wa wana Karatu na kuthubutu kufanya kitu ambacho hakikuwahi kufanywa Tanzania – Karatu kuwa Halmashauri ya kwanza ya mji kuongozwa na upinzani.
Kubwa hata hivyo, ni sakata zima la siasa za 2015 na matokeo yake katika upinzani na siasa za Tanzania. Kitabu hiki kinatoa maonyo, mwongozo, na elimu kwa wanasiasa wanaofuatia katika upinzani na chama tawala na wapinzani watarajiwa na watawala watarajia. Mwanasiasa yeyote ni lazima apate nakala ya kitabu hiki, mwanahistoria yeyote ni lazima anunue nakala yake wakati wanafunzi wa shule na vyuo watapata elimu muhimu juu ya uongozi kutoka katika kitabu hiki kilichoandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
Nyuma ya pazia ni kitabu kinachomfunua mbele yetu na kutujulisha kwa undani juu ya mtu, maisha, zama na nyakati za Dkt. Wilbrod Slaa, Balozi, Baba, Mume na miongoni mwa viongozi maridadi ambao Tanzania imepata nafasi ya kuwa nao na wameacha alama zisizofutika. Umpende au umchukie, umkatae au umkubali, umpinge au umuunge mkono Dkt. Wilbrod Slaa ametupatia hazina ya maarifa ambayo wenye hekima watawahi kuipata katika nakala chache ambazo zimeshaingia nchini.
UNAWEZA KUPATA NAKALA YAKO WAPI?
Unaweza kupata nakala yako kwa bei ya jumla au rejareja. Bei ya reja reja ni shilingi 20,000/- TU na kwa bei ya jumla unaweza kupata punguzo kubwa kufuatana na mahitaji yako.
Maeneo ya posta, mkabala na Jengo la Benjamin Mkapa karibu na Mahali yanapoegeshwa magari yaendayo Sinza yenye michoro ya Rangi Nyekundu.
Mhudumu Genoveva - 0753 059 144
Au wasiliana na Erasto Tumbo kuweza kuagiza nakala zako:
0713 474707/0688 211683
Nunua kitabu usomeVipi ameelezea pia uhusika wa Josephine Mushumbuzi kwenye harakati zake na uhusika wake pale 2015??
Ameelezea aliendaje Canada na aliishije.
Vipi Ile press ya pale Movenpick zamani ameelezea nani aliyeilipia?
Ana sababu zipi za msingi zinazomfanya awe ni mtu mwenye msimamo na kusimamia anachokiamini?
Kwanini anaiunga mkono awamu ya tano? Na kwa tafsiri yake je upinzani usiwepo Tanzania??
Kama hayo kaelezea nanunua kitabu..
Ngosha Tumbo hapokei simu.(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)

Au wasiliana na Erasto Tumbo kuweza kuagiza nakala zako:T
0713 474707/0688 211683
Mkuu, umemaliza, ningekuwa mod ningeweka hii quote ktk thread.Mimi nilidhani kwenye hicho kitabu chake cha nyuma ya pazia atatuambia kile alichofanyiwa na anachofanyiwa sasa na mkewe (Josephine Mshumbuzi), kumbe ni zile zile blah blah zake za kiCCM.
Afahamu tu kuwa kisiasa, watanzania walishamchoka na kumdharau sana toka awasaliti mwaka 2015. Hana jipya tena la kuwasemea. Kama Yuda alivyomsalitia Yesu Kristo dakika za mwisho kwa kupewa pesa, ndiyo hivyo hivyo Dr.Slaa alivyofanya 2015 kwa maslahi ya CCM, maana aliahidiwa pesa nyingi na kazi nzuri, akapewa ulinzi maalum kutoka ikulu huku akilindwa masaa 24, akahamia hoteli ya kifahari katikati ya jiji la Dar, akapewa hifadhi maalum ya kimaisha nchini Canada, kisha akazawadiwa ubalozi nchini Sweden na sasa anakaribia kurejeshwa nchini ili kupewa kazi maalum ya kisiasa (hili nina uhakika nalo kwa 100% soon linakuja kufanywa).
Yote kwa yote, msalimie sana Dr.Slaa, na mwambie watanzania tulio wengi bado tuko timamu, hatuipenda na hatuitaki CCM, huku bado tunashindia mihogo.
Mwisho kabisa mwambie Edward Lowassa alisharudi zake CCM, kama kile kisa cha yeye Slaa kuikacha Chadema na kuikumbatia CCM ilikuwa ni Edward Lowassa kuhamia CHADEMA, sasa Lowassa wapo naye CCM, atunge hadithi mpya.
Poor Slaa!
Soma kitabu halafu uje na maswali.. duh
Mwanakijiji ni Mnyakyusa wakati Dr. Slaa ni Muiraq!! Hawa ni watu wawili tofauti.Tokea siku nyingi sana hua naamini kwamba MM ndio Dr. Slaa, pamoja na utetezi mwingi wa kuwatofautisha but still akili yangu bado hua inaamini kwamba Dr. Slaa=Mwanakijiji
Japo sijakisoma hicho kitabu ila kuna vitu Dr. Slaa hawezi kusema, kwa vile mimi nilibahatika kukaa nae mahali akiwa na mkewe Josephine, just the three of us, Josephine ndio kila kitu kwa Dr. Slaa, kule kujidai kususa kwa sababu ya kugombea urais it's all just lies kwa sababu msimamo naujua from horses mouth, kwa vile yalikuwa maongezi ya off the record, sio ustaarabu kusema walisema nini ila mimi humu nilisema haya kuhusu Chadema, hakuna akiyeamini ila ukweli ni huu.Vipi ameelezea pia uhusika wa Josephine Mushumbuzi kwenye harakati zake na uhusika wake pale 2015??
Ameelezea aliendaje Canada na aliishije.
Vipi Ile press ya pale Movenpick zamani ameelezea nani aliyeilipia?
Ana sababu zipi za msingi zinazomfanya awe ni mtu mwenye msimamo na kusimamia anachokiamini?
Kwanini anaiunga mkono awamu ya tano? Na kwa tafsiri yake je upinzani usiwepo Tanzania??
Kama hayo kaelezea nanunua kitabu..
Wewe jamaa mbona unachomoa Betri wakati Mzee Mwanakijiji ndiyo kwanza kaja na vidumu vyake kuja kuchota mafuta??Japo sijakisoma hicho kitabu ila kuna vitu Dr. Slaa hawezi kusema... Josephine ndio kila kitu kwa Dr. Slaa...
Mtu wenu huyo someni kitabu chake!!Mmmh kumbe business hii, Dr. Slaa nachojua aliacha upadre akaoa, mengine ya kawaida hana jipya.. Ingekuwa kitabu cha Historia ya Mh Magufuli ndani ya muda mfupi kufanya maendeleo makubwa ningekuelewa. Dr. Slaa, noooo
Alikwambi, Kinyesi kikiwa chooni ni nafuu kuliko kukichota chooni ukatia kwenye ndoo na kukiweka sebleni, kinanuka zaidi.Mimi nilidhani kwenye hicho kitabu chake cha nyuma ya pazia atatuambia kile alichofanyiwa na anachofanyiwa sasa na mkewe (Josephine Mshumbuzi), kumbe ni zile zile blah blah zake za kiCCM.
Afahamu tu kuwa kisiasa, watanzania walishamchoka na kumdharau sana toka awasaliti mwaka 2015. Hana jipya tena la kuwasemea. Kama Yuda alivyomsalitia Yesu Kristo dakika za mwisho kwa kupewa pesa, ndiyo hivyo hivyo Dr.Slaa alivyofanya 2015 kwa maslahi ya CCM, maana aliahidiwa pesa nyingi na kazi nzuri, akapewa ulinzi maalum kutoka ikulu huku akilindwa masaa 24, akahamia hoteli ya kifahari katikati ya jiji la Dar, akapewa hifadhi maalum ya kimaisha nchini Canada, kisha akazawadiwa ubalozi nchini Sweden na sasa anakaribia kurejeshwa nchini ili kupewa kazi maalum ya kisiasa (hili nina uhakika nalo kwa 100% soon linakuja kufanywa).
Yote kwa yote, msalimie sana Dr.Slaa, na mwambie watanzania tulio wengi bado tuko timamu, hatuipenda na hatuitaki CCM, huku bado tunashindia mihogo.
Mwisho kabisa mwambie Edward Lowassa alisharudi zake CCM, kama kile kisa cha yeye Slaa kuikacha Chadema na kuikumbatia CCM ilikuwa ni Edward Lowassa kuhamia CHADEMA, sasa Lowassa wapo naye CCM, atunge hadithi mpya.
Poor Slaa!
Ndiyo kinyesi kimerudi chooni ambako na yeye yuko. Kumbe alisema ivyo kwa kuwa alijua mwisho wa siku atarudi chooni?Alikwambi, Kinyesi kikiwa chooni ni nafuu kuliko kukichota chooni ukatia kwenye ndoo na kukiweka sebleni, kinanuka zaidi.
Kuna ufisadi wa uuzwaji wa nyumba za serikali umo? Kama upo ndani ya hicho kitabu nikakinunue tafadhali!(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
Na. M. M. Mwanakijiji
Umpende au umchukie, umkatae au umkubali, umpinge au umuunge mkono Dkt. Wilbrod Slaa Dr Willibrod Slaa anabakia kuwa miongoni mwa wanasiasa wachache Tanzania ambao alama zao katika zama na nyakati za kisiasa ni vigumu kufutika. Unaweza kumuita majina mengi na ya rangi mbalimbali ya kejeli lakini ni vigumu kupuuzia, kudharau au kutupilia mbali mchango wake katika siasa za Tanzania kwa karibu miaka ishirini na mitano. Mchango wake katika kuimarisha siasa za Tanzania akiwa miongoni mwa wabunge wa kwanza kabisa wa upinzani umeacha historia kubwa kuanzia Karatu hadi Dar, toka Tunduru hadi Tarime.
Hata hivyo, matukio ya kisiasa ya mwaka 2015 yanabakia katika historia yetu kama mafundisho makubwa kabisa ya siasa zinavyoweza kuwafanya ndugu wawe maadui, marafiki wake mahasimu, na kutengeneza kile ambacho wenzetu Wamarekani wanasema ni “strange bed fellows” yaani kuwaona watu usiowadhania wamelala kitanda kimoja. Matukio haya yalitokea taifa likiwa katika mwamko mkubwa wa uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge.
Dkt. Slaa akiwa Katibu Mkuu wa chama Kikuu cha upinzani cha CHADEMA, alitarajiwa na alipitishwa na chama chake kuwa mgombea wa Urais huku mtifuano mkubwa ukitarajiwa na hatimaye ulitokea ndani ya Chama cha Mapinduzi. Kwa baadhi ya wachunguzi wa siasa mtifuano au mnyukano uliokuwa unatokea CCM ulifanya kazi ya mgombea wa upinzani uliounganika kuwa ya afueni zaidi.
Hata hivyo, kinyume na matarajio ya watu wengi na kinyume na mantiki zilizozoeleka za kisiasa Edward Lowassa aliyekatwa jina lake ndani ya CCM ambako alikuwa anaongoza kwa mashabiki na kura za maoni alikimbilia CHADEMA na kusababisha chama hicho cha upinzani kulala kitanda kimoja na mtu ambaye walitumia muda mwingi kumhusisha na ufisadi nchini. Ilisemwa “yeyote” isipokuwa CCM. Dkt. Slaa akafyekelewa mbali na chama chake na kusababisha mpasuko wa aina yake ndani ya CCM na CHADEMA.
Dkt. Slaa akaamua kuachana na siasa za vyama na yeye na familia yake wakahamia Canada. Miezi michache baadaye Rais John Magufuli alimteua Dkt. Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden kitu ambacho kilitafsiriwa na baadhi ya watu kwa namna mbalimbali.
Katika kitabu cha NYUMA YA PAZIA Dkt. Slaa anaelezea kwa kina matukio mbalimbali ambayo yalitokea hadi kufikia Lowassa kukaribishwa CHADEMA na kwa nini hakuwa tayari kusimama jukwaani kumnadi Lowassa na akabakia na utimamu wa kimaadili na akili. Hata hivyo, kitabu hiki kinaenda zaidi ya nyuma ya pazia la siasa za 2015. Inatufunulia kumuelewa Dkt. Slaa kwani kwa kiasi chake kitabu hiki pia ni bibliografia (historia ya maisha) ya mwanasiasa huyu nguli, mcheshi, na msomi.
Ndani ya kitabu hiki tunaweza kukutana na mtu ambaye anatufundisha mambo mbalimbali kuhusiana na uongozi. Mojawapo ya mambo ambayo msomaji atayafurahia atakapokutana nayo ni jinsi gani Dkt. Slaa ni mtunzaji mzuri sana wa kumbukumbu. Siyo tu katika akili lakini katika nyaraka na vielelezo mbalimbali. Anataja tarehe, mahali na siku kama shahidi katika kesi nzito. Bila utata anataja pia majina mbalimbali ya wahusika mbalimbali katika ujasiri ambao utawakumbusha watu wengi ile hotuba yake ya “Orodha ya Mafisadi” ya pale Mwembe Yanga.
Kitabu hakigusi siasa tu za 2015 lakini pia kinatudokeza safari ya Dkt. Slaa kutoka upadre hadi kuwa mwanasiasa mbobezi. Wengi watashtushwa, kushangazwa na kuburudishwa na masimulizi yake ya mikutano yake na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere wakati huo Dkt. Slaa akiwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu. Pia watakutana na jinsi gani Dkt. Slaa alisimamia kupinga ufisadi ndani ya Kanisa Katoliki kiasi cha kumgonganisha yeye na mmojawapo wa maaskofu waandamizi wa wakati huo. Msomaji pia ataburudishwa na masimulizi yake ya kujaribu kuinua hali na maisha ya watu wa Karatu katika kile ambacho kilimsababishia kuwa mbunge mpendwa sana wa wana Karatu na kuthubutu kufanya kitu ambacho hakikuwahi kufanywa Tanzania – Karatu kuwa Halmashauri ya kwanza ya mji kuongozwa na upinzani.
Kubwa hata hivyo, ni sakata zima la siasa za 2015 na matokeo yake katika upinzani na siasa za Tanzania. Kitabu hiki kinatoa maonyo, mwongozo, na elimu kwa wanasiasa wanaofuatia katika upinzani na chama tawala na wapinzani watarajiwa na watawala watarajia. Mwanasiasa yeyote ni lazima apate nakala ya kitabu hiki, mwanahistoria yeyote ni lazima anunue nakala yake wakati wanafunzi wa shule na vyuo watapata elimu muhimu juu ya uongozi kutoka katika kitabu hiki kilichoandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
Nyuma ya pazia ni kitabu kinachomfunua mbele yetu na kutujulisha kwa undani juu ya mtu, maisha, zama na nyakati za Dkt. Wilbrod Slaa, Balozi, Baba, Mume na miongoni mwa viongozi maridadi ambao Tanzania imepata nafasi ya kuwa nao na wameacha alama zisizofutika. Umpende au umchukie, umkatae au umkubali, umpinge au umuunge mkono Dkt. Wilbrod Slaa ametupatia hazina ya maarifa ambayo wenye hekima watawahi kuipata katika nakala chache ambazo zimeshaingia nchini.
UNAWEZA KUPATA NAKALA YAKO WAPI?
Unaweza kupata nakala yako kwa bei ya jumla au rejareja. Bei ya reja reja ni shilingi 20,000/- TU na kwa bei ya jumla unaweza kupata punguzo kubwa kufuatana na mahitaji yako.
Maeneo ya posta, mkabala na Jengo la Benjamin Mkapa karibu na Mahali yanapoegeshwa magari yaendayo Sinza yenye michoro ya Rangi Nyekundu.
Mhudumu Genoveva - 0753 059 144
Au wasiliana na Erasto Tumbo kuweza kuagiza nakala zako:
0713 474707/0688 211683
acha chuki na wivuHata kwa bure sisomi tuendelee kumuunga mkono raisi wetu Dr. John Joseph Pombe Magufuli.