Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Yani hom ipo tu,ila vitambi vyenu na operation za uzazi zinaleta shida,ukikunjwa sana unalalamika mshono unauma[emoji16][emoji16].mechi hainogi...za ugenini unapewa style zote mpka plus uzazi wa mpango unapewa
😳🤔🤔
 
Nkisoma comments za watu nacheka sana.jaman kuchepuka ni tabia ya mtu.Ila kuna wanaochepuka kutafuta faraja baada ya kuikosa ndani ya ndoa.
 
Mkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
Mie nadhani mahusiano ya namna yoyote yanatakiwa yawe two way traffic. Kuna sababu ambazo zinamfanya mwanaume akuchukulie poa. Anakuwa hajali tena maana hakuna jipya analolipata. Tangu mmeoana kitanda kiko kona ileile ya chumba, mashuka yaleyale, ulivojifungua ukajiachia litumbo hilooo, ukiambiwa fanya diet ugomvi, hubinuki sarakasi kitandani tena. Kwa kifupi wanawake wanajiachia kwanza halafu wanaume wanachukulia poa... tatizo uwa linaanza na wewe, suluhu ya tatizo uwa huipati nje unaipata kwa kujiangalia na kugundua umekwama wapi.
 
Sisi tunaotaka kila siku Kwa wake zetu tunawekwa kundi gani hapo.
Wapo.
Hauoni kila siku wanaanzisha mada humu kwamba "mke wangu ataniua anataka kila Siku" huwa najiuliza kwanini wanaume mnaogopa papuchi kiasi hicho. Zina meno? Zina ng'ata?
 
Hii nimeipenda sana, wewe Dada umeutendea umeutendea haki uzi huu
 
Wewe ndo umeelewa swali asante sana tutakujibu.
 
Siyo wote. Huyo ni wako. Maana hata sisi tunashangaa hao wanawake wakata viuno wanaishi sayari gani. Wengi wenu kwa hilo huwa ni nguvu ya soda, mwanamke akijitahidi ni dakika 2 kachoka tayari. Hata wale wa kuvumilia mchezo nusu saa ni nadra pamoja tunaona malalamiko ya wanaume kumaliza ndani ya dakika 3.
 
Kwani ukichepuka unakutana na nani wanaokuoa raha? Siyo wanaume unaowalaumu hapa?
 
Mwanaume akiku value tuu wala huwez kusaliti hata akiwa hana show nzur unavumilia ila ni ngumu sana kupata mwanaume akakufanya malkia wake wengi hawajielewi unakua nae ila huelewi ananipendaaaa au ana mtu mwingine muhimu zaid yako...hii inaumiza sana unajitahidi vizawad surprise kama zote mimi sivumiliagi kabisa nikishanusa upendo ni 20% nakuacha haraka sana.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee
 
haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…