kamwene vanyalukolo
Member
- Sep 10, 2019
- 72
- 74
Nmekuelewa cctaMume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)
Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)
Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)
Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)