Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Mume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)

Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)

Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)

Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
Nmekuelewa ccta
 
Hivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Nguvu za kiume na morali ya sex kwa me hutengenezwa na ke...so km utapka vitumbua,tambi na chips kila siku unategemea mmeo atakuridhisha na nguvu ztatoka ap


Ke km kpnd unaolewa mmeo alikua vzur na saiz hakufkishi Everest basi jua we mchawi ko mlishe vyakula rafk na ukitakacho uta enjoy ndoa yako
 
Siyo wote. Huyo ni wako. Maana hata sisi tunashangaa hao wanawake wakata viuno wanaishi sayari gani. Wengi wenu kwa hilo huwa ni nguvu ya soda, mwanamke akijitahidi ni dakika 2 kachoka tayari. Hata wale wa kuvumilia mchezo nusu saa ni nadra pamoja tunaona malalamiko ya wanaume kumaliza ndani ya dakika 3.
Hata hivyo hapa hatuongelei wote.
 
Haaaa haaaa uwiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] asubuhi asubuhi ulisha amka kumwandalia ili awahi kazini huku umasonya kimoyo moyo haaaa haaaa
😂😂😂😂😂😂😂
 
Nguvu za kiume na morali ya sex kwa me hutengenezwa na ke...so km utapka vitumbua,tambi na chips kila siku unategemea mmeo atakuridhisha na nguvu ztatoka ap


Ke km kpnd unaolewa mmeo alikua vzur na saiz hakufkishi Everest basi jua we mchawi ko mlishe vyakula rafk na ukitakacho uta enjoy ndoa yako
Wewe haujui tuu. Wakishakula wakishiba vizuri ni kukoroma tuu.
Tena bora asile atakupa cha dakika 3
 
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.

Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?

Wanaume, Leo vungeni tusikilizietunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook [emoji871][emoji871]

Wadada uwanja wenu huu.

Fungukeni

Kamsikilize kwa makini doctor Mwaka JJ ktk kipindi cha lilian mwasha (women talk)
Utajua nini kipo kati ya mwanamke na mwanaume
 
Wanawake wengi kwenye ndoa ni kuvumilia stress basi, kwanza akiongea utasikia mwanamke mlalamishi sasa chakujiuliza hayo malalamishi kwanini yasifanyiwe kazi ili amani itawale? Lakini wanaume wakileo wananuna hao wakiambiwa ukweli!

Kama unanisema mimi asee[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umeoa lakini? Maana huwa mnachoka baada ya kuoa.
Yaaa ila bado sijawahi kukinai . Burdani kama hii unaanzaje kuchoka kwa mfano. Ukiona hivyo jua kuna factor nyingine .mfanyie research ya kutosha
 
Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.

Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3😂😂😂😂😂.

Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Huwa tunazichoka papuchi.
 
Mwanaume akiku value tuu wala huwez kusaliti hata akiwa hana show nzur unavumilia ila ni ngumu sana kupata mwanaume akakufanya malkia wake wengi hawajielewi unakua nae ila huelewi ananipendaaaa au ana mtu mwingine muhimu zaid yako...hii inaumiza sana unajitahidi vizawad surprise kama zote mimi sivumiliagi kabisa nikishanusa upendo ni 20% nakuacha haraka sana.
Miss you Madam Tina
 
Back
Top Bottom