- Thread starter
- #221
wewe unanitafutia balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unanitafutia balaa
😳🤔🤔Yani hom ipo tu,ila vitambi vyenu na operation za uzazi zinaleta shida,ukikunjwa sana unalalamika mshono unauma[emoji16][emoji16].mechi hainogi...za ugenini unapewa style zote mpka plus uzazi wa mpango unapewa
hapana,mimi ni mtumishi wa bwana??,wewe ni "ke"
hapana,mimi ni mtumishi wa bwana??,wewe ni "ke"
Mie nadhani mahusiano ya namna yoyote yanatakiwa yawe two way traffic. Kuna sababu ambazo zinamfanya mwanaume akuchukulie poa. Anakuwa hajali tena maana hakuna jipya analolipata. Tangu mmeoana kitanda kiko kona ileile ya chumba, mashuka yaleyale, ulivojifungua ukajiachia litumbo hilooo, ukiambiwa fanya diet ugomvi, hubinuki sarakasi kitandani tena. Kwa kifupi wanawake wanajiachia kwanza halafu wanaume wanachukulia poa... tatizo uwa linaanza na wewe, suluhu ya tatizo uwa huipati nje unaipata kwa kujiangalia na kugundua umekwama wapi.Mkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
Wapo.
Hauoni kila siku wanaanzisha mada humu kwamba "mke wangu ataniua anataka kila Siku" huwa najiuliza kwanini wanaume mnaogopa papuchi kiasi hicho. Zina meno? Zina ng'ata?
sema ukweli bhana? na yule😎 wa kule.........Mm sijawahi chepuka
Hii nimeipenda sana, wewe Dada umeutendea umeutendea haki uzi huuMume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)
Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)
Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)
Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
Mtaje wewe maana naona unanijua kuliko ninavyojijua.sema ukweli bhana? na yule😎 wa kule.........
utani bhana hahaMtaje wewe maana naona unanijua kuliko ninavyojijua.
Wewe ndo umeelewa swali asante sana tutakujibu.Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Siyo wote. Huyo ni wako. Maana hata sisi tunashangaa hao wanawake wakata viuno wanaishi sayari gani. Wengi wenu kwa hilo huwa ni nguvu ya soda, mwanamke akijitahidi ni dakika 2 kachoka tayari. Hata wale wa kuvumilia mchezo nusu saa ni nadra pamoja tunaona malalamiko ya wanaume kumaliza ndani ya dakika 3.Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Kwahiyo mpo busy kuandaa mafao ya uzeeni.
Sasa msiulize tena kwanini tunachepuka.
Wikiend yenyewe mnagusa gusa hamna mnachofanya. Kichekesho kimoja cha wanaume ni kwamba anaweza kujiona amesimamia show sijui ukucha kumbe hamna kitu kakupaka paka tuu.
Halafu ukichepuka mtu anakujliza "umekosa nini"? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume akiku value tuu wala huwez kusaliti hata akiwa hana show nzur unavumilia ila ni ngumu sana kupata mwanaume akakufanya malkia wake wengi hawajielewi unakua nae ila huelewi ananipendaaaa au ana mtu mwingine muhimu zaid yako...hii inaumiza sana unajitahidi vizawad surprise kama zote mimi sivumiliagi kabisa nikishanusa upendo ni 20% nakuacha haraka sana.Wanawake, mko nyuma ya keyboard.
Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?
Wanaume, Leo vungeni tusikilizietunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook ✍✍
Wadada uwanja wenu huu.
Fungukeni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unawaza mbali sana.
Ngoja nithibitishe hilo mimi pia.
Hata mkitupa kimoja dkk 3 mkakojoa unadhani ni wote huwa tunaonesha kutokuridhika? Hapana.
Tunajidai "Beb wewe mtundu, ooh nipe maji ya kunywa, ungeniua" hapo najua hata tukisema turudie huo uwezo hauna , kwanza haitasimama na ikisimama inalegea, basi hapo ili usijisikie vibaya nasema "beib hiki kimoja kimetosha tulale jamani utaniua" uonaona mtu mbichwa huooooo. Kumbe kimoyo moyo nasema "ndama wewe"[emoji23][emoji23][emoji23]
haaaaMwanaume akiku value tuu wala huwez kusaliti hata akiwa hana show nzur unavumilia ila ni ngumu sana kupata mwanaume akakufanya malkia wake wengi hawajielewi unakua nae ila huelewi ananipendaaaa au ana mtu mwingine muhimu zaid yako...hii inaumiza sana unajitahidi vizawad surprise kama zote mimi sivumiliagi kabisa nikishanusa upendo ni 20% nakuacha haraka sana.