Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Halafu uzuri ni kwamba huko wanakochepukia ndiko siri zao zinakotoka zaidi maana michepuko haina cha kupoteza. Angalau mke anamsitiri mumewe ili aibu zao zibakie ndani.
Yaani mule mule, unakuta mdada anaongea yule mchepuko nilienda tu, maana nishakula pesa zake zakutosha mtu mwenyewe nikama kakidole ka mwisho nikuzama tu wa zamani, sasa unajiuliza kama yupo hivyo kwanini asitulie kwa mkewe?
 
Yes, huko masaloon kuna mambo acha tu. Unakuta bar maid kaingia anamwaga sifa za bwana fulani alivyo mchovu kamoja hoiii ila anahonga balaa. Halafu unawaza "yule si ni mume wa fulani" unaishia tu kumsikitikia mkewe.
Halafu Baba anavyomnyanyasa mkewe mie usinipangie ninauwezo hata wakuoa wake 2 na zaidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ng'ombe wa kisasa au wale wakulishwa majani ndani maana hawezi hata hata kutembea mita 1 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haaaa haaaa uwiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] asubuhi asubuhi ulisha amka kumwandalia ili awahi kazini huku umasonya kimoyo moyo haaaa haaaa
 
Ndio kama haumridhishi mke wako ukiwa umelala akikuangalia anaona kama ni ng'ombe imelela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utazani kuku wa mdondo anavyojidondokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu Baba anavyomnyanyasa mkewe mie usinipangie ninauwezo hata wakuoa wake 2 na zaidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani mule mule, unakuta mdada anaongea yule mchepuko nilienda tu, maana nishakula pesa zake zakutosha mtu mwenyewe nikama kakidole ka mwisho nikuzama tu wa zamani, sasa unajiuliza kama yupo hivyo kwanini asitulie kwa mkewe?
Kutafuta tu aibu zisizo za lazima.
 
Na ukiona mwanamke alikuwa mwaminifu akawa mzinzi tambua hapo yamemfika shingoni. Sasa mtu anaongea na hawala yake mbele ya mkewe kifuatacho ni nini hapo!
 
Yani hom ipo tu,ila vitambi vyenu na operation za uzazi zinaleta shida,ukikunjwa sana unalalamika mshono unauma[emoji16][emoji16].mechi hainogi...za ugenini unapewa style zote mpka plus uzazi wa mpango unapewa
Visingizio na sababu tu hizo zakuogopa kujituma
 
Kutafuta tu aibu zisizo za lazima.
Yaani kwa masikio yangu, utasikia atafute tu pesa starehe awaachie wengine, hivi walivyo ambiwa waishi na wake zao kwa akili sijui wanajua ni akili gani wanazani!
 
Asilimia 99 ya wanawake kwenye ndoa hutumika kuwaridhisha waume zao na wala huwa hawafikishwi kileleni. Mbali na hayo huwa wanaingiliwa bila maandalizi. Mwanamke ili afaidi gem lazima ajengwe kisaikolojia angalau siku moja kabla ya tukio. Tofauti na hapo wanandoa hadi mnaenda kulala mwanamke hajui kama siku hiyo kuna mech.
 
Wapo.
Hauoni kila siku wanaanzisha mada humu kwamba "mke wangu ataniua anataka kila Siku" huwa najiuliza kwanini wanaume mnaogopa papuchi kiasi hicho. Zina meno? Zina ng'ata?
Hannah oyeee !! Binafsi sijawahi choka hiyo issue
 
Wanawake wengi kwenye ndoa ni kuvumilia stress basi, kwanza akiongea utasikia mwanamke mlalamishi sasa chakujiuliza hayo malalamishi kwanini yasifanyiwe kazi ili amani itawale? Lakini wanaume wakileo wananuna hao wakiambiwa ukweli!
 
Wanawake wengi kwenye ndoa ni kuvumilia stress basi, kwanza akiongea utasikia mwanamke mlalamishi sasa chakujiuliza hayo malalamishi kwanini yasifanyiwe kazi ili amani itawale? Lakini wanaume wakileo wananuna hao wakiambiwa ukweli!
Ni kweli wanawake wengi kwenye ndoa wanavumilia sana.Mtu akiwa anakuonyesha upendo na kukujali hata kama angekuwa inasimama dk moja ungeridhika.Ila mtu hakuonyeshi upendo wala kukujali unaona bora uishi maisha mengjne.mimi binafsi siwalaumu wanawake wanaochepuka maana na wao wanafuata walivyovikosa ndani kwao kama wanaume wanavyofanya
 
Kwahiyo ni wanawake wote wanachepuka?
Achana na mambo ya utafiti nimeufanya vipi ni mambo yaliyo wazi.
Au unadhani mashosti hatusimuliani?

Hiyo kweli mnasimuliana sana hata kushawishiana kuchepuka hata kama mtu achepuki[emoji16]
 

Point sana[emoji106]
 
Kinachosikitisha ndoa huonekana kama mzigo wa mwanamke, badala ya mme na mke wote wanatakiwa kuibeba kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…