Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Kwahiyo sisi tunajiandaaje? Tuangalie porn ili tupate hisia? Mkija mchomeke tuu?
Wazembe sana nyie wanaume. Ndio maana mkilala tunawaona kama ng'ombe imelala kitandani. Na mwanamke usipomridhisha hata heshima inapungua.
😳✍✍
 
Hiyo siku anayoamua kukupa ni siku anayoona "hizi nyeg zitaniua" acha nimpe hivo hivo. Au zile siku za hatari. Hamu huwa zipo hata bila kuandaliwa.

Hizo siku nyingine fuatilia tu kuna mahali unafeli. Pengine andaa yako ni ile ya kupapasa papuchi. Na ameshakujua.
 
Nimejaribu kumuuliza, jibu lake ni kunilaumu mimi kwamba napenda ngono... najua yuko humu nae bora afunguke tu nijue maana ananinyima utamu walai.

kuna mda nahisi nagongewa...

Mshukuru mkeo, huenda anakuimarisha kisaikolojia.

Wanaume tunapenda ubingwa, hivyo mkeo kukusifu kuwa wewe unagegeda sana inakupa faraja na kujiona mshindi.

Ila fikiria kinyume chake, ingekuwa anakuhitaji kila siku na kuonesha kuwa β€˜hatosheki’ nawe.... huenda ingekuumiza kinyama na kushusha morale.
 
πŸ˜€πŸ˜€mwalimu ...mwalimu ..amini ninachokuambia nakijua..
 
Come on!
Nguvu zinaisha vipi mbona huko nje ni 4G, ni ile tu kuichoka papuchi ambayo unajua ipo tu... cha thamani ni kile cha kukisotea mbali huko ukipate au ukose!
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkuu isije kuwa napotezewa maboya... jamaa wanapigaπŸ˜•
 
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ng’ombe [emoji23][emoji23][emoji23]

Kakijana kanasimamia kucha, hakika hutoisumbua ng’ombe... iache tu ikorome.
 
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

😳😳 ng'ombe?
 
Unawaza mbali sana.
Ngoja nithibitishe hilo mimi pia.

Hata mkitupa kimoja dkk 3 mkakojoa unadhani ni wote huwa tunaonesha kutokuridhika? Hapana.
Tunajidai "Beb wewe mtundu, ooh nipe maji ya kunywa, ungeniua" hapo najua hata tukisema turudie huo uwezo hauna , kwanza haitasimama na ikisimama inalegea, basi hapo ili usijisikie vibaya nasema "beib hiki kimoja kimetosha tulale jamani utaniua" uonaona mtu mbichwa huooooo. Kumbe kimoyo moyo nasema "ndama wewe"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msweet nimekuona nimekuona umeusoma kimyakimya...rudi hapa utupe za uso.. nini kinawapelekea mchepuke?
 
hahahahahah yani wewe pimbi kabisa
 
hahahahahah yani wewe pimbi kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ukileta mada nyingine unite.
Nije niwachane ukweli. Hannah hamumunyi maneno.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Cc:
binti kiziwi na katoto kazuri
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ukileta mada nyingine unite.
Nije niwachane ukweli. Hannah hamumunyi maneno.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
umenishinda tabia kabisa hahahaha...mpaka mnatuona ng'ombe hakyanani
 
Kuna mmoja alisema " mumewe Hana time nae yaan ile kampani ya ukaribu Hana tofauti na zamani... Yaan anaenjoy Sana Kuchat Na watu wa nje wanampa faraja Sana mwishowe anaishi kutoka nje ya ndoa
 
Kuna mmoja alisema " mumewe Hana time nae yaan ile kampani ya ukaribu Hana tofauti na zamani... Yaan anaenjoy Sana Kuchat Na watu wa nje wanampa faraja Sana mwishowe anaishi kutoka nje ya ndoa

Cc; Hannah aione kwenye faili hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…