Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Papuch imezoeleka
 
Mme wangu hawezi kuwa humu ila umeongelea maisha yangu HALISI YA NDOA namshukuru Mungu Mme wangu unanipenda saaaana kwa hiyo ananivumilia na kwa kuwa mimba inakaa siku moja tu nina four kids, kuna wakati nilimruhusu aoe Mke wa Pili kiroho safi tu maana dini inaruhusu. NOTE Nimejifunza watu wa tabia hizi tunakuwaga watamu sana na tuna akili sana.
usije kuwa ni wewe hahaha, nambie tatizo lako huwa ni nini mpaka unaninyima papuchi?

Hannah njoo uone hii halafu useme tena, tatizo ni wanaume?
 
Hata muda wa kuwapikia vyakula vitamu tunakosa.
Mle vyakula vitamu kwa kazi gani? Ila mkitugegeda vizuri, hata mapishi yatakuwa matamu.
Tofauti na hapo mtakula michemsho mpaka mchanganyikiwe.
Hahahaha
Nyokoloooooo
 
umejifunzia wapi hili? kwamba mnakuwa watamu na akili nyingi
 
Bitter truth
 
Kubwa kuliko yote ni Mtu kukusaliti wkt we umetulia
Mengine ni;
Mtu kukuchukulia poa
Mtu hakujali
Kuonekana kama mlalamishi wkt unajaribu 'kuwasiliana' ili mpate suluhu ya changamoto zenu

Afu inbox yako ina msururu wa raia wanakutafuta kila leo..........

Kuna point inafika Unachoka kumvumilia asiethamini upendo/uvumilivu wako

Siku moja moja inakuwa just to make yourself happy.....either na mtu mtu mpya ama wa zamani
Hivyo tu
 
Huu uzi mleta mada kasema ni wa wanawake wachangie, sisi wanaume tutulie tusome comment sasa "me" mnaocomment na nyie mmebadili jinsia mmekuwa "ke"?
Kwani wewe sio me?
 
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.😂😂😂😂

Sasa ikishafikia stage ya kuita mtu "ng'ombe" si uhamie tu kabisa kwa kijana wako?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…