Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
usije kuwa ni wewe hahaha, nambie tatizo lako huwa ni nini mpaka unaninyima papuchi?
Hannah njoo uone hii halafu useme tena, tatizo ni wanaume?
HahahahaHata muda wa kuwapikia vyakula vitamu tunakosa.
Mle vyakula vitamu kwa kazi gani? Ila mkitugegeda vizuri, hata mapishi yatakuwa matamu.
Tofauti na hapo mtakula michemsho mpaka mchanganyikiwe.
umejifunzia wapi hili? kwamba mnakuwa watamu na akili nyingiMme wangu hawezi kuwa humu ila umeongelea maisha yangu HALISI YA NDOA namshukuru Mungu Mme wangu unanipenda saaaana kwa hiyo ananivumilia na kwa kuwa mimba inakaa siku moja tu nina four kids, kuna wakati nilimruhusu aoe Mke wa Pili kiroho safi tu maana dini inaruhusu. NOTE Nimejifunza watu wa tabia hizi tunakuwaga watamu sana na tuna akili sana.
umejifunzia wapi hili? kwamba mnakuwa watamu na akili nyingi
ngoja nikutafute pembeni nijue utamu wako hahaNakuachia wewe ujifunze
ngoja nikutafute pembeni nijue utamu wako haha
Bitter truth1. Wanaume wengi mna shida ya nguvu za kiume and yet badala ya hizo chache mlizonazo mzitumie kuwaridhisha wake/wapenzi wenu bado unaona sifa kuwa na michepuko. Hence problems.
2. Mkishaoa mnajisahau sana, vile vionjo vya kumvutia mkeo huna tena, kumbukeni hisia zetu sio kama zenu.
3. Mikwaruzano ndani ya ndoa inayokosa utatuzi wa muda mrefu, mtu anaamua kuitafuta faraja nje.
4. Curiocity tu ya penzi jipya (wote mnafahamu penzi jipya lilivyo na mbwembwe)
6. Makundi/mashost, wapo wanawake wanaochepuka sababu ya kuwasikiliza mashost, kamweleza shost tatizo lake suluhisho alopewa na shost ni kuchepuka(maybe shost nae anachepuka na akamweleza anavyofaidi)
7. Upweke, wanawake wengi ni wapweke ndani ya ndoa zao. Its like wamejioa, hivyo anaamua atafute companionship nje.
8. Single mother, kama mnadhani single mothers ni wale ambao hawajaolewa tu basi tambueni kuna single mothers wengi tu ndani ya ndoa. Anajihudumia almost everthing yeye na wanawe, mume yupo tu kama pambo hata watoto hawafaidi uwepo wa baba yao.
9. Financial support, kuna wanaochepuka kutafuta financial support, let say anataka kujiongeza afanye jambo fulani na hana uwezo wa kifedha na mume kagoma au hawezi kumwezesha, anatokea kibopa anamwezesha ndio basi tena na papa linaliwa.
10. Tamaa, wengine wanachepuka tu sababu ya tamaa maana kuwa na mwanaume mmoja hawezi.
11. Kutafuta mtoto, una shida ya mtoto na mumeo hana uwezo wa kuzalisha, basi unaamua umtafutie mtoto huko nje ili angalau nae aitwe baba(mnaona tunavyowajali sasa!!)
11. Magonjwa, japo hii inataka kufanana na ile ya 1. Magonjwa kama kisukari na pressure inapelekea wanaume kuwa na performance mbovu sana, hivyo mkeo/mpenzio anabakia na maugwadu yake kila siku mwisho anaamua akutafutie msaidizi.
11. Yote tisa, huyu bwana shetani huyuuuu mbaya sanaaaaa.
Ongeza na maandazi mkuuSijawahi
HahahahahhaNina uhakika wewe sio mme wangu sasa mbona sofa unazozitaja zote ni zangu?
Kwani wewe sio me?Huu uzi mleta mada kasema ni wa wanawake wachangie, sisi wanaume tutulie tusome comment sasa "me" mnaocomment na nyie mmebadili jinsia mmekuwa "ke"?
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.😂😂😂😂
Ongeza na maandazi mkuu
Hata mimi naamini katika hili ndugu yangu
[emoji13][emoji23][emoji1787]