Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

Aiseee....kwa upande wng naona kisasi kinaweza kisababisha na aina ya mwanaume unaeishi nae,unakaa na mwanamme anakudharau jmn mpk anaongea na michepuko yake na wewe upo hapohapo kitandan,ukikaa nae unaona kabosa jinsi unavomkosesha Uhuru wa kuongea na mahawara zake ili hali na wewe unatongozwa Kila siku na wanaume wa maana unaweza ukaamua na wewe kujipa furaha unayoikosa kwake, na wanawake sisi ni wavumilivu sana ila uvumilovu wetu una kikomo aiseee....ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!
 
Sababu kubwa ni tamaa na shetani
 
Paula Paul nimekuona usipite kimya hapa
1.Kutokuridhishwa/kutokuridhika kimapenzi na SO wake.

2.Kuwa na hisia za kimapenzi na mtu mwingine. Mfano, ameolewa na John lakini hisia zake za kimapenzi zipo kwa Ally.

Yapo mengi yameshasemwa.

Sitasema Fedha, kwasababu swali limehusisha kwanini "wanachepuka" na sio kwanini "wanajiuza".
 
Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuachane na mambo ya makabila ila sababu kuu ya "ninampa hela ,kila kitu akitaka nampa na mapenzi nampa lakini anachepuka" ni kwamba mnakuwa ni kagoli kamoja DKK 3, mtu unapata jeuri ya kusema unampa mtu kila kitu?😂😂😂.

Binafsi naona vyote sawa nina case studies nyingi Kama 4 ambazo zinahusu hulka, shoo kali sana ila ni kubuhu Kama loote
 
wanaume chukueni hii
 
aisee
 
wanaume tuchukue hii
 
Nakubali kabisa kua ukomo wa mapenzi kwenu 'ke' kwetu waume zenu huwa upo karibu mno ndyo maana kwa sasa wanaume ndyo wanalia na mapenzi zaidi ya wanawake
 
Nakubali kabisa kua ukomo wa mapenzi kwenu 'ke' kwetu waume zenu huwa upo karibu mno ndyo maana kwa sasa wanaume ndyo wanalia na mapenzi zaidi ya wanawake
mzee huo utafiti umeufanyia wapi
 
Umemalizaaaaa !!!akhsante sana
Cc Smart911
 
Mkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
Kwan huezi mwambia mmeo kua hufikishwi ?
Yaani ukamwambia more doze iz needed?
Kama amepata kitambi kwakua anapikiwa basi akatumia hata congo dust ufurahi?
Hitimisho ' ke ' mahusiano ya 'me' 1 yanawakinahisha mapema.
Full stop
 
Endelea kufunguka Hannah show wewe unaridhika kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…