Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee....kwa upande wng naona kisasi kinaweza kisababisha na aina ya mwanaume unaeishi nae,unakaa na mwanamme anakudharau jmn mpk anaongea na michepuko yake na wewe upo hapohapo kitandan,ukikaa nae unaona kabosa jinsi unavomkosesha Uhuru wa kuongea na mahawara zake ili hali na wewe unatongozwa Kila siku na wanaume wa maana unaweza ukaamua na wewe kujipa furaha unayoikosa kwake, na wanawake sisi ni wavumilivu sana ila uvumilovu wetu una kikomo aiseee....ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!Wanawake, mko nyuma ya keyboard.
Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa. Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?
Wanaume, Leo vungeni tusikilizie tunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook [emoji871][emoji871]
Wadada uwanja wenu huu.
Fungukeni
Wanawake, mko nyuma ya keyboard.
Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa. Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo?
Wanaume, Leo vungeni tusikilizie tunavyochanwa live na hawa wake/ watarijiwa wetu. Chukueni kabisa notebook [emoji871][emoji871]
Wadada uwanja wenu huu.
Fungukeni
1.Kutokuridhishwa/kutokuridhika kimapenzi na SO wake.Paula Paul nimekuona usipite kimya hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa na sisi hatubaki nyuma. Tunatafuta kijana tunaenda tunapokelewa na mabusu hatari na show ya kutosha. Tukimaliza tunaoga tunarudi nyumbani tunasumbiri "ng'ombe" ije ile chakula tukalale kimya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuachane na mambo ya makabila ila sababu kuu ya "ninampa hela ,kila kitu akitaka nampa na mapenzi nampa lakini anachepuka" ni kwamba mnakuwa ni kagoli kamoja DKK 3, mtu unapata jeuri ya kusema unampa mtu kila kitu?😂😂😂.
wanaume chukueni hiiAiseee....kwa upande wng naona kisasi kinaweza kisababisha na aina ya mwanaume unaeishi nae,unakaa na mwanamme anakudharau jmn mpk anaongea na michepuko yake na wewe upo hapohapo kitandan,ukikaa nae unaona kabosa jinsi unavomkosesha Uhuru wa kuongea na mahawara zake ili hali na wewe unatongozwa Kila siku na wanaume wa maana unaweza ukaamua na wewe kujipa furaha unayoikosa kwake, na wanawake sisi ni wavumilivu sana ila uvumilovu wetu una kikomo aiseee....ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!
aisee1.Kutokuridhishwa/kutokuridhika kimapenzi na SO wake.
2.Kuwa na hisia za kimapenzi na mtu mwingine. Mfano, ameolewa na John lakini hisia zake za kimapenzi zipo kwa Ally.
Yapo mengi yameshasemwa.
Sitasema Fedha, kwasababu swali limehusisha kwanini "wanachepuka" na sio kwanini "wanajiuza".
usiwasemee chief acha waongee wenyeweSababu kubwa ni tamaa na shetani
wanaume tuchukue hiiKubwa kuliko yote ni Mtu kukusaliti wkt we umetulia
Mengine ni;
Mtu kukuchukulia poa
Mtu hakujali
Kuonekana kama mlalamishi wkt unajaribu 'kuwasiliana' ili mpate suluhu ya changamoto zenu
Afu inbox yako ina msururu wa raia wanakutafuta kila leo..........
Kuna point inafika Unachoka kumvumilia asiethamini upendo/uvumilivu wako
Siku moja moja inakuwa just to make yourself happy.....either na mtu mtu mpya ama wa zamani
Hivyo tu
Nakubali kabisa kua ukomo wa mapenzi kwenu 'ke' kwetu waume zenu huwa upo karibu mno ndyo maana kwa sasa wanaume ndyo wanalia na mapenzi zaidi ya wanawakeAiseee....kwa upande wng naona kisasi kinaweza kisababisha na aina ya mwanaume unaeishi nae,unakaa na mwanamme anakudharau jmn mpk anaongea na michepuko yake na wewe upo hapohapo kitandan,ukikaa nae unaona kabosa jinsi unavomkosesha Uhuru wa kuongea na mahawara zake ili hali na wewe unatongozwa Kila siku na wanaume wa maana unaweza ukaamua na wewe kujipa furaha unayoikosa kwake, na wanawake sisi ni wavumilivu sana ila uvumilovu wetu una kikomo aiseee....ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!
mzee huo utafiti umeufanyia wapiNakubali kabisa kua ukomo wa mapenzi kwenu 'ke' kwetu waume zenu huwa upo karibu mno ndyo maana kwa sasa wanaume ndyo wanalia na mapenzi zaidi ya wanawake
Mume au mpenzi kukuchukulia poa (Yani anakuona wa kawaida tu hajali tena, hakusifii, hadi unajiona ovyo wakati deep down unajua wewe kisu. Then unapata mtu anakuangalia kwa macho flani hivi)
Kukosekana kwa plan ya future(uko na mwanamke 1 year, 2 years haijajulikana uko naye umuoe, mnafurahishana tu au vipi)
Tabia tu (mtu hawezi kuwa na mpenzi mmoja)
Dushelele (kutafta raha za dunia kama hazipati ndani)
Kwan huezi mwambia mmeo kua hufikishwi ?Mkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
Endelea kufunguka Hannah show wewe unaridhika kwa muda gani?Kwahiyo mpo busy kuandaa mafao ya uzeeni.
Sasa msiulize tena kwanini tunachepuka.
Wikiend yenyewe mnagusa gusa hamna mnachofanya. Kichekesho kimoja cha wanaume ni kwamba anaweza kujiona amesimamia show sijui ukucha kumbe hamna kitu kakupaka paka tuu.
Halafu ukichepuka mtu anakujliza "umekosa nini"? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamii inayonizungukamzee huo utafiti umeufanyia wapi