aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa.
Tukirudi kwenye mada, Mavoko ndani ya WCB alikuwa anapata tabu sana na suala la udini walikuwa wanamtemga sana
Ricardo alivo na roho mbaya alikuwa anamlazimsha kipindi cha mwezi mtukufu na yeye kufunga ama kutoonekana na chakula akiwa pale WCB.
Diamond alipoanza ujenzi wake wa msikiti alilazimisha na yeye aupost na siku ya kuuzindua aende.
Account za WCB wasanii karibia zote insta zina blue tick ila yeye hawakumuhangaikia kuipata kila akiuliza wanadai insta hawarespond
Ile nyimbo ya rudi Diamond aliitaka iwe yake jamaa akakaza mondi alimind sana maana huwa pia anapenda nyimbo nzuri either apewe au ashirikishwe kumbuka hata Kwangwaru alilazimisha ashirikishwe yeye sio Davido.
Rayvann anajijua kuwa anayefuata ni yeye ni jambo la wakati tu maana kuna kipindi alijaribu kuhoji kwanini hamna usawa akaambiwa kama vipi arudi tip top hata yeye kakatazwa kuoa kikirsto anaambiwa sababu mpenzi wake ni muislam basi abadirishe dini na ndio maana rayvan ameanza kujijenga nje ya WCB kaanza kujenga studio yake.
Sallam Salam kumlazimisha kuwa kwenye mapato yote Mavoko kupata 50% wakati wengine wanapata 70 nakila alipouliza anaambiwa mkataba ulisainiwa kimakosa so asubiri ukiisha ndio wauboreshe tena kuna kipindi yeye wanampangia kuingia studio j2 asubuhi ili aisende kanisani
Jamaa ameshangaa kutopewa share kwenye WCB wakati yeye ni mmoja wa watoa wazo na pia alihakikishiwa