Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Akitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa

Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.

Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.

Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Ndio zenu hizo, tushawazowea.
 
Akitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa

Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.

Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.

Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
Sijakuelewa nigga
 
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa.

Tukirudi kwenye mada, Mavoko ndani ya WCB alikuwa anapata tabu sana na suala la udini walikuwa wanamtemga sana

Ricardo alivo na roho mbaya alikuwa anamlazimsha kipindi cha mwezi mtukufu na yeye kufunga ama kutoonekana na chakula akiwa pale WCB.

Diamond alipoanza ujenzi wake wa msikiti alilazimisha na yeye aupost na siku ya kuuzindua aende.

Account za WCB wasanii karibia zote insta zina blue tick ila yeye hawakumuhangaikia kuipata kila akiuliza wanadai insta hawarespond

Ile nyimbo ya rudi Diamond aliitaka iwe yake jamaa akakaza mondi alimind sana maana huwa pia anapenda nyimbo nzuri either apewe au ashirikishwe kumbuka hata Kwangwaru alilazimisha ashirikishwe yeye sio Davido.

Rayvann anajijua kuwa anayefuata ni yeye ni jambo la wakati tu maana kuna kipindi alijaribu kuhoji kwanini hamna usawa akaambiwa kama vipi arudi tip top hata yeye kakatazwa kuoa kikirsto anaambiwa sababu mpenzi wake ni muislam basi abadirishe dini na ndio maana rayvan ameanza kujijenga nje ya WCB kaanza kujenga studio yake.

Sallam Salam kumlazimisha kuwa kwenye mapato yote Mavoko kupata 50% wakati wengine wanapata 70 nakila alipouliza anaambiwa mkataba ulisainiwa kimakosa so asubiri ukiisha ndio wauboreshe tena kuna kipindi yeye wanampangia kuingia studio j2 asubuhi ili aisende kanisani

Jamaa ameshangaa kutopewa share kwenye WCB wakati yeye ni mmoja wa watoa wazo na pia alihakikishiwa matokeo yake waliopata hisa ni
Mzee tyson 50
Diamond 20
Sallam 5
Fella 2
Tale 3
Harmonize 2
Paulo kupitia mke wake 15
Janson 3
Wee nyoko! Usituletee udini wako hapa! Huyo Mavokko wako hayawezi, muonyeshe uzaifu wake, sio kumtafutia visingizio atapotea zaidi. Akiondoka hapo ndio hata wewe utamsahau kabisaaa, maana hata pale anabebwa tu hana uwezo. Game sio rahisi kihivyo kwamba kilamtu anaweza ktoboa.
 
Akitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa

Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.

Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.

Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
Zee ndiyo kuku gani?
 
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa.

Tukirudi kwenye mada, Mavoko ndani ya WCB alikuwa anapata tabu sana na suala la udini walikuwa wanamtemga sana

Ricardo alivo na roho mbaya alikuwa anamlazimsha kipindi cha mwezi mtukufu na yeye kufunga ama kutoonekana na chakula akiwa pale WCB.

Diamond alipoanza ujenzi wake wa msikiti alilazimisha na yeye aupost na siku ya kuuzindua aende.

Account za WCB wasanii karibia zote insta zina blue tick ila yeye hawakumuhangaikia kuipata kila akiuliza wanadai insta hawarespond

Ile nyimbo ya rudi Diamond aliitaka iwe yake jamaa akakaza mondi alimind sana maana huwa pia anapenda nyimbo nzuri either apewe au ashirikishwe kumbuka hata Kwangwaru alilazimisha ashirikishwe yeye sio Davido.

Rayvann anajijua kuwa anayefuata ni yeye ni jambo la wakati tu maana kuna kipindi alijaribu kuhoji kwanini hamna usawa akaambiwa kama vipi arudi tip top hata yeye kakatazwa kuoa kikirsto anaambiwa sababu mpenzi wake ni muislam basi abadirishe dini na ndio maana rayvan ameanza kujijenga nje ya WCB kaanza kujenga studio yake.

Sallam Salam kumlazimisha kuwa kwenye mapato yote Mavoko kupata 50% wakati wengine wanapata 70 nakila alipouliza anaambiwa mkataba ulisainiwa kimakosa so asubiri ukiisha ndio wauboreshe tena kuna kipindi yeye wanampangia kuingia studio j2 asubuhi ili aisende kanisani

Jamaa ameshangaa kutopewa share kwenye WCB wakati yeye ni mmoja wa watoa wazo na pia alihakikishiwa matokeo yake waliopata hisa ni
Mzee tyson 50
Diamond 20
Sallam 5
Fella 2
Tale 3
Harmonize 2
Paulo kupitia mke wake 15
Janson 3
Naona Mami Bebi umefurahi kuwalisha wenzako matango pori
 
Kwanini mwanaume na jinsia zako za kiume unatoka hadharani kumlalamikia mwanaume mwenzako eti hajakusaidia ili ufanikiwe.
Mavoko ni msanii mzuri, kumlaumu Diamond ni uzezeta wa hali ya juu sana hivyo kama Diamond kaweza kuwasaini kina yeye kwanini na yeye asikomae amsaini Diamond ili ajipangie cha kufanya?
Alichokifata pale amekipata, kama alitarajia mteremko kwenye mafanikio ya mwanaume mwenzake basi alikosea, ukishakubali kuingia kwenye himaya ya mtu basi tarajia kuwekewa mipaka. Huyu mtu akitambua umuhimu wake basi anaweza na yeye kuanzisha kikubwa zaid ya WCB ila kama ataendelea kuamini WCB ndio kila kitu basi asubirie kampeni za CCM atawika.
 
Kama hz story za udini zina ukweli..nitawachukia sana wcb pamoja na kuwa nimekuwa supporter wao kwa muda mrefu,huwezi kumlazimisha mtu afunge
 
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa.

Tukirudi kwenye mada, Mavoko ndani ya WCB alikuwa anapata tabu sana na suala la udini walikuwa wanamtemga sana

Ricardo alivo na roho mbaya alikuwa anamlazimsha kipindi cha mwezi mtukufu na yeye kufunga ama kutoonekana na chakula akiwa pale WCB.

Diamond alipoanza ujenzi wake wa msikiti alilazimisha na yeye aupost na siku ya kuuzindua aende.

Account za WCB wasanii karibia zote insta zina blue tick ila yeye hawakumuhangaikia kuipata kila akiuliza wanadai insta hawarespond

Ile nyimbo ya rudi Diamond aliitaka iwe yake jamaa akakaza mondi alimind sana maana huwa pia anapenda nyimbo nzuri either apewe au ashirikishwe kumbuka hata Kwangwaru alilazimisha ashirikishwe yeye sio Davido.

Rayvann anajijua kuwa anayefuata ni yeye ni jambo la wakati tu maana kuna kipindi alijaribu kuhoji kwanini hamna usawa akaambiwa kama vipi arudi tip top hata yeye kakatazwa kuoa kikirsto anaambiwa sababu mpenzi wake ni muislam basi abadirishe dini na ndio maana rayvan ameanza kujijenga nje ya WCB kaanza kujenga studio yake.

Sallam Salam kumlazimisha kuwa kwenye mapato yote Mavoko kupata 50% wakati wengine wanapata 70 nakila alipouliza anaambiwa mkataba ulisainiwa kimakosa so asubiri ukiisha ndio wauboreshe tena kuna kipindi yeye wanampangia kuingia studio j2 asubuhi ili aisende kanisani

Jamaa ameshangaa kutopewa share kwenye WCB wakati yeye ni mmoja wa watoa wazo na pia alihakikishiwa matokeo yake waliopata hisa ni
Mzee tyson 50
Diamond 20
Sallam 5
Fella 2
Tale 3
Harmonize 2
Paulo kupitia mke wake 15
Janson 3
acha udini mkuu
 
Kwa hiyo alikuwa anaambiwa sasa hivi achia ngoma anakataa?
Kwa kifupi hilo la kukata kutoa, nyimbo silijui, ila kama unamfuatilia mavoko tokea asainiwe WCB, ameachia nyimbo chache kulinganisha na wenzake na WCB pale wanauwezo wa ku handle multiple projects, diamond ameachia African beauty baada ya wiki harmonize akaachia nyimbo mbili, January Rayvany aliachia nyimbo mbili siri na makulusa na ndani ya mwezi huo huo Lava lava akaachia nyimbo tatu. Hivi karibu Diamond kaachia Baila ndani ya wiki hiyo Rayvany akaachia Chombo, sasa yy sijajua utaratibu wake kama ukisema WCB wanamzuia utakuwa uongo kwani WCB wanategemea msanii atoe nyimbo ili waingize hela na utakavyotoa nyimbo nyingi hata hela na shoo zinaingia nyingi. Hata Diamond wakati akiwa anahojia anasema msanii yyt yupo free kuachia nyimbo muda wowote ambao anaona yy unafaa, haijalishi ataachia nyimbo ngapi kwani WCB wanauwezo wa kuhandle multiple projects, at the same time. Kwangu mm naona tatizo lipo kwake labda, wenzake ambao wana njaa ya mafanikio wanaachia nyimbo mfululizo, yy labda anaona haitaji hilo labda sababu yupo ktk game long time.
 
Naomba kueleweshwa tofauti kati ya ni umbea na ushangingi tafadhali.
 
First to reply
Kwa sasa hapa Bongo naamini WCB ni platform bora kwa msanii kuitumia ili kutengeneza soko la nje na ndani na mtu kama Mavoko alikua na fan base ya kutosha hapa nyumbani naamini aliangalia soko la nje ndio maana akaenda WCB.
Atakua mwehu kama ataondoka kabla lengo lake halijatimia maana toka aende WCB naona hata nje hajapata nafasi ya kutoboa mpaka wadogo zake kama Harmonize na Vanny Boi wanamuacha hatua nyingi na mbaya zaidi hata nyumbani pia ameyumba sana kuna sehemu anakosea ila nadhani bora akomae hapo WCB mpaka lengo litimie ndio kanuni ya mafanikio ilivyo bila kujali kama kuna hizo changamoto (kama ni kweli) ambayo umeyasema narudia tena bora akomae WCB kuliko kuondoka kwa sasa,ingawa hizi tetesi za kuondoka zinaweza kua ni kiki tu kama kawaida ya WCB maana sio wa kuwaamini kwenye matukio kama haya.
Hiyo mistari yako mitano ya mwisho nahisi hii inaweza ikawa kiki, sababu ya kufuta ktk instagram ule mstari ya kuwa signed under WCB, hauwezi ukakufanya ukacomfirm kwamba kafukuzwa, sababu nikiangalia kwenye YouTube acc yake sijaona mabadiliko yoyote yale, labda hii ni come back nyingine inatengenezwa kupitia hii kiki.
 
Niliwahi kuandika hapa uzi ukilezea kwa kina hilo suala ila wenye huu mtandao kwa sababu zao za kuamua tu wenyewe wakaifuta tena niliweka zaidi ya mara 2 anyway uhuru sasa si mkubwa tumeelewa.

Tukirudi kwenye mada, Mavoko ndani ya WCB alikuwa anapata tabu sana na suala la udini walikuwa wanamtemga sana

Ricardo alivo na roho mbaya alikuwa anamlazimsha kipindi cha mwezi mtukufu na yeye kufunga ama kutoonekana na chakula akiwa pale WCB.

Diamond alipoanza ujenzi wake wa msikiti alilazimisha na yeye aupost na siku ya kuuzindua aende.

Account za WCB wasanii karibia zote insta zina blue tick ila yeye hawakumuhangaikia kuipata kila akiuliza wanadai insta hawarespond

Ile nyimbo ya rudi Diamond aliitaka iwe yake jamaa akakaza mondi alimind sana maana huwa pia anapenda nyimbo nzuri either apewe au ashirikishwe kumbuka hata Kwangwaru alilazimisha ashirikishwe yeye sio Davido.

Rayvann anajijua kuwa anayefuata ni yeye ni jambo la wakati tu maana kuna kipindi alijaribu kuhoji kwanini hamna usawa akaambiwa kama vipi arudi tip top hata yeye kakatazwa kuoa kikirsto anaambiwa sababu mpenzi wake ni muislam basi abadirishe dini na ndio maana rayvan ameanza kujijenga nje ya WCB kaanza kujenga studio yake.

Sallam Salam kumlazimisha kuwa kwenye mapato yote Mavoko kupata 50% wakati wengine wanapata 70 nakila alipouliza anaambiwa mkataba ulisainiwa kimakosa so asubiri ukiisha ndio wauboreshe tena kuna kipindi yeye wanampangia kuingia studio j2 asubuhi ili aisende kanisani

Jamaa ameshangaa kutopewa share kwenye WCB wakati yeye ni mmoja wa watoa wazo na pia alihakikishiwa matokeo yake waliopata hisa ni
Mzee tyson 50
Diamond 20
Sallam 5
Fella 2
Tale 3
Harmonize 2
Paulo kupitia mke wake 15
Janson 3
Jamaa mkataba umeisha si ali sign wa miaka miwili toka June 2 2016 hadi leo mkataba umeisha
 
Back
Top Bottom