Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

hebu pitieni waraka wa kifesi upya kwa makini muunganishe dots
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Halali ni halali hata afanye harmorapa pekee na haram ni haram hata ifanywe na wcb
 
Hivi rayvany nae muislam?,je na yy alifunga mwezi wa Ramadan?. Huyo Rich bila mond angekuwa tayari tusha msahau, mara kwanza alikuwa chini ya Papa Misifa akagombana na Papa misifa, jamaa akamfungulia kesi ya kudai 50 mil, baadaye akaamua kumkimbia Papa misifa akasainiwa na King kaka wa Kenya huko ndio akapotea kabisa . Baada kuona anapotea, akavunja mkataba na King Kaka akamfuata AY, AY akamwambia yy hameneji wasanii baada ya akina ommy dimpoz na Feza kessy kumzingua, ila AY akamwambia aende kwa Diamond. Jamaa akamkubalia ndio tukaanza kumsikia na mpaka kufanya nyimbo na Patoranking video ikashutiwa na Moe Mussa London hizo zote juhudi za Diamond, sasa mlitaka Diamond afanyeje wakati yy mwenyewe anafanya mziki kivivu, anatoa nyimbo moja moja, wenzake akina Lava Lava, Rayvany, Mbosso, Harmonize kwa mwaka huu washatoa nyimbo zaidi ya tatu. Sasa mavoko atawika vipi wakati hatoi nyimbo.Hivi Diamond angekuwa mdini leo Mose Iyobo si asingekuwa naye na Iyobo ndio kiongozi, upande wa madensa,wana miaka zaidi ya kumi.
umemaliza kila ktu boss.
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Sasa kama hao wcb wanautumikia ukafiri nyie makafiri mnalalamika nini? Si muwaache wajiingize mazima ktk ukafiri wenu?? Asiye kafiri anapomtenga kafiri katika ukafiri ushindi ni wa kafiri, ama sio??

Kwanini mnawaza sana udini udini nyie??
 
We nawe sasa kabla ya kwenda wcb alikua na wimbo gani unaotamba?
we jamaa hasa unafurahisha...kwa hiyo unataka kusema baada ya pacha wangu mavoko hakutoa tena ngoma mpk alipojiunga wcb!
 
we jamaa hasa unafurahisha...kwa hiyo unataka kusema baada ya pacha wangu mavoko hakutoa tena ngoma mpk alipojiunga wcb!
Hebu niache kwanza ndugu yangu maisha yananichanganya na wewe unanichanganya kung'ang'ania vitu havieleweki
 
Hivi huyo Diamond ana dini gani? Kwa Yale maisha ya laana anayoishi ndo wanashikilia dini?
 
waislam huwa mnajiona mpo perfect hata eneo lenye waislam wengi ukijenga kanisa wanachoma moto,
Au mchungaji akakosa sehemu ya kukaa

But yote ni kwamba SOTE TUNAMTAFUTA MUNGU HAKUNA MWENYE UHAKIKA KWAMBA DINI YAKE ITAMFANYA AMUONE MUNGU(MBINGU)
 
Nilipewa notisi ya kuondoka baada wanajumuiya kuja kusali kwangu. Mwenye nyumba muislam,ila kitimoto,larger,mademu na waganga ndo zake. Hataki Msalaba ufike kwake,ni kikwazo kwa biashara zake
 
Mimi mshabiki sana wa diamond,ila nakuunga mkono 100% jamaa anamtumia ili kumnyonya na kumshusha kimuziki.
Okay!! Ni karibu mwaka sasa tangu Mavoko aondoke kwa "aliyekuwa anamtumia". Kwa sasa Mavoko amepaa kwa maili elfu ngapi?!
 
Ogopa sana watu wanao zuka wanao kwambia TUKO NYUMA YAKO,mambo yakiwa mabaya ukigeuka huwaoni unajikuta upo peke yako.
 
Back
Top Bottom