Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Mleta uzi nae ni mdini sana umeona picha za wahusika wote wa wcb zimeletwa wamevaa kanzu. Uongo mwengine alioungeza hapo ni mavoko kulazimisha kupost msikiti hajatuambia rayvan nae alilazimshwa
 
Mimi mshabiki sana wa diamond,ila nakuunga mkono 100% jamaa anamtumia ili kumnyonya na kumshusha kimuziki.
hivi ulikuwa unaufuatilia vzuri mziki wa Mavoko aise! Wakati mavoko anachukuliwa na WCB alikuwa tyr ashaporomoka kimuziki na wcb ndo imemrudisha kwenye ramani
 
hivi ulikuwa unaufuatilia vzuri mziki wa Mavoko aise! Wakati mavoko anachukuliwa na WCB alikuwa tyr ashaporomoka kimuziki na wcb ndo imemrudisha kwenye ramani
Ramani ipi?

Mavoko anaenda WCB alikua ana ngoma inaitwa Pacha Wangu na ngoma ilikua hit, kuliko nyimbo zote alizotoa akiwa WCB.
 
Rich mavoko ametoka wcb lini??? Mleta mada imekula ngada sio buree
 
Ramani ipi?

Mavoko anaenda WCB alikua ana ngoma inaitwa Pacha Wangu na ngoma ilikua hit, kuliko nyimbo zote alizotoa akiwa WCB.
unajua pacha wangu ilitoka mwaka gani na mavoko kasign wcb mwaka gani? ebu rudisha kumbukumbu sawa kisha urudi tena jukwaani
 
unajua pacha wangu ilitoka mwaka gani na mavoko kasign wcb mwaka gani? ebu rudisha kumbukumbu sawa kisha urudi tena jukwaani
We nawe sasa kabla ya kwenda wcb alikua na wimbo gani unaotamba?
 
Huku una akili sana ila siasani unakuwa kama mbwiga Fulani hivi

Lile jukwaaa lazima kusimamia utakachonna sio kufatwa watu wanaotaka uandike kama wao..

Ukweli mtupu na unawauma wengiiiii eeeeeeh

Na bado
 
Wee nae
Eti chozi la zee
Hata hueleweki

Utaelewaje wakati hujui kufikiria nje ya boksi..

Wasome wanaoandika kimtelemko kama mnalishana uji.. hizo mimi sio zangu kwa sana

Jiongeze na punguza kujifanya mjuaji wakati umejaa majanga..
 
hizi taarifa naweza kuziamin kias flan maana rich hawezi kusema ila watu wake wa karibu watazilikisha tu baada ya kuhadithiwa na yeye.
 
alafu ule waraka wa kifesi kuhusu wcb una mengi sana ndani yake, kuna ukweli hapa si bure
 
Back
Top Bottom