Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Hapa tutabwabwajaa wee ukweli wanao wenyewe ila Voko moto ya mbali kama kweli akakazane tu.
 
Kubaki WCB ni kulazimisha kuwa kama underground. Ingawa wengi wanaona ni kinyume chake. Iwe ametoka au hajatoka bado,Mavoko pale panamrudisha nyuma. Hata uwe na kipaji vipi,ni lazima kisionekane kuzidi level za aidha fulani au fulani na wenzake.

WCB naamini ni sehemu nzuri kwa vijana ambao hawajawa na mafanikio makubwa kimziki. Ingawa kiuhalisia Mavoko naye sasa ni kama analazimisha gari lisonge huku mafuta yanaelekea kukata. Akijua wapi amekosea ataenda sawa.
 
Kwa kifupi hilo la kukata kutoa, nyimbo silijui, ila kama unamfuatilia mavoko tokea asainiwe WCB, ameachia nyimbo chache kulinganisha na wenzake na WCB pale wanauwezo wa ku handle multiple projects, diamond ameachia African beauty baada ya wiki harmonize akaachia nyimbo mbili, January Rayvany aliachia nyimbo mbili siri na makulusa na ndani ya mwezi huo huo Lava lava akaachia nyimbo tatu. Hivi karibu Diamond kaachia Baila ndani ya wiki hiyo Rayvany akaachia Chombo, sasa yy sijajua utaratibu wake kama ukisema WCB wanamzuia utakuwa uongo kwani WCB wanategemea msanii atoe nyimbo ili waingize hela na utakavyotoa nyimbo nyingi hata hela na shoo zinaingia nyingi. Hata Diamond wakati akiwa anahojia anasema msanii yyt yupo free kuachia nyimbo muda wowote ambao anaona yy unafaa, haijalishi ataachia nyimbo ngapi kwani WCB wanauwezo wa kuhandle multiple projects, at the same time. Kwangu mm naona tatizo lipo kwake labda, wenzake ambao wana njaa ya mafanikio wanaachia nyimbo mfululizo, yy labda anaona haitaji hilo labda sababu yupo ktk game long time.
Huko ni kumtajirisha mtu hata angetoa nyimbo nyingi vip mwisho wa siku anayepata mkwanja ni huyo mkuu wa kikosi chao its better amyuti....
 
Huko ni kumtajirisha mtu hata angetoa nyimbo nyingi vip mwisho wa siku anayepata mkwanja ni huyo mkuu wa kikosi chao its better amyuti....
Sasa wewe umesainiwa manake umekubali kuwa chini ya Lebo ya mtu na lazima iwe hivyo na duniani kote ipo hivyo,
Kwa hiyo unaumia sababu Diamond anapiga hela kupitia mavoko, ila kumbuka WCB wamewekeza kupitia Mavoko na ni lazima hela yao irudi na ni haki yao, sababu ww upo ndani ya mkataba. Tena naona lebo za Tanzania zipo fair wenzetu kule ulaya mnaingia mkataba kwa album, wanakumbia tuna kusimamia lkn album tano ni zitakuwa zinamilikiwa na lebo, kwa hiyo ww mkataba wako utaisha pindi umalizapo album tano.
 
Ndio mkataba wa kinyonyaji huo....
nadhani mavoko aliingia kichwa kichwa....
 
DAMN STINCKY PUSSIESS THINKING.....

....
 
Tunamshinda hadi bwana mudi
Bwana mudi ndo nani mamdogo?

Au ni bwana ako mpya uliye nae sasa baada ya yule aliyetundikwa juu ya msalaba

Maana nyie wagalatia kwa kuwa na mabwana tu hamjambo.
 
Bwana mudi ndo nani mamdogo?

Au ni bwana ako mpya uliye nae sasa baada ya yule aliyetundikwa juu ya msalaba

Maana nyie wagalatia kwa kuwa na mabwana tu hamjambo.
Umekua mtu wa pili kuingia kwenye ignore list yang baada ya HR666
 
Movoco anapenda kujitengatenga, alionekana tu hayupo pamoja na wenzie
 
Nia ya diamond kumleta mavoko WCB ilikuwa kumshusha tu chini kimziki
Hata mm huwa najua hivyo asee mana enzi zile mavoko alikuwa mpinzani mkuu wa diamond, dogo rich angekaza peke yake angefika mbal
 
Hata mm huwa najua hivyo asee mana enzi zile mavoko alikuwa mpinzani mkuu wa diamond, dogo rich angekaza peke yake angefika mbal
Mavoko hajawahi kushindana na Diamond, yeye mwenyewe alijiona hawezi ndio akakimbilia mbeleko, hata hiyo mbeleko imemshinda. Mwembieni ukweli vyenginevyo ndio ndio anapotea kwenye game.
 
Mavoko hajawahi kushindana na Diamond, yeye mwenyewe alijiona hawezi ndio akakimbilia mbeleko, hata hiyo mbeleko imemshinda. Mwembieni ukweli vyenginevyo ndio ndio anapotea kwenye game.
kipindi dai anatamba na mbagala na mawazo walikuwa level 1 na mavoko so walikuwa wapinzani
 
Kwanini mwanaume na jinsia zako za kiume unatoka hadharani kumlalamikia mwanaume mwenzako eti hajakusaidia ili ufanikiwe.
Mavoko ni msanii mzuri, kumlaumu Diamond ni uzezeta wa hali ya juu sana hivyo kama Diamond kaweza kuwasaini kina yeye kwanini na yeye asikomae amsaini Diamond ili ajipangie cha kufanya?
Alichokifata pale amekipata, kama alitarajia mteremko kwenye mafanikio ya mwanaume mwenzake basi alikosea, ukishakubali kuingia kwenye himaya ya mtu basi tarajia kuwekewa mipaka. Huyu mtu akitambua umuhimu wake basi anaweza na yeye kuanzisha kikubwa zaid ya WCB ila kama ataendelea kuamini WCB ndio kila kitu basi asubirie kampeni za CCM atawika.
Lakini tunasahau kuwa tunawalalamikia Clouds kuwa wanawabania wasanii kupata mafanikio...
 
Back
Top Bottom