Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

hebu pitieni waraka wa kifesi upya kwa makini muunganishe dots
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Halali ni halali hata afanye harmorapa pekee na haram ni haram hata ifanywe na wcb
 
umemaliza kila ktu boss.
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Sasa kama hao wcb wanautumikia ukafiri nyie makafiri mnalalamika nini? Si muwaache wajiingize mazima ktk ukafiri wenu?? Asiye kafiri anapomtenga kafiri katika ukafiri ushindi ni wa kafiri, ama sio??

Kwanini mnawaza sana udini udini nyie??
 
We nawe sasa kabla ya kwenda wcb alikua na wimbo gani unaotamba?
we jamaa hasa unafurahisha...kwa hiyo unataka kusema baada ya pacha wangu mavoko hakutoa tena ngoma mpk alipojiunga wcb!
 
we jamaa hasa unafurahisha...kwa hiyo unataka kusema baada ya pacha wangu mavoko hakutoa tena ngoma mpk alipojiunga wcb!
Hebu niache kwanza ndugu yangu maisha yananichanganya na wewe unanichanganya kung'ang'ania vitu havieleweki
 
Hivi huyo Diamond ana dini gani? Kwa Yale maisha ya laana anayoishi ndo wanashikilia dini?
 
waislam huwa mnajiona mpo perfect hata eneo lenye waislam wengi ukijenga kanisa wanachoma moto,
Au mchungaji akakosa sehemu ya kukaa

But yote ni kwamba SOTE TUNAMTAFUTA MUNGU HAKUNA MWENYE UHAKIKA KWAMBA DINI YAKE ITAMFANYA AMUONE MUNGU(MBINGU)
 
Nilipewa notisi ya kuondoka baada wanajumuiya kuja kusali kwangu. Mwenye nyumba muislam,ila kitimoto,larger,mademu na waganga ndo zake. Hataki Msalaba ufike kwake,ni kikwazo kwa biashara zake
 
Mimi mshabiki sana wa diamond,ila nakuunga mkono 100% jamaa anamtumia ili kumnyonya na kumshusha kimuziki.
Okay!! Ni karibu mwaka sasa tangu Mavoko aondoke kwa "aliyekuwa anamtumia". Kwa sasa Mavoko amepaa kwa maili elfu ngapi?!
 
Ogopa sana watu wanao zuka wanao kwambia TUKO NYUMA YAKO,mambo yakiwa mabaya ukigeuka huwaoni unajikuta upo peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…