Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Kumbe mchezo!!!! Ndiyo maana nimesema upumbavu

Mchezo kwenye mambo ya msingi ?
Mambo ya msingi ni ya kwako na mke wako...kama unaona ni upumbavu kaa pembeni na upishe njia...
 
Unachokidai ni vigumu kukipata kwa sasa, Tume huru haipo na wala Raisi hana mpango nayo nahsi hata hajawah kufikiria
 
Hata kama hatagombea tena lakini Lowasa target yake ni 2025. Amerudi lakini ataishikisha adabu muda ukifika. Anaweza asisamehe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lolote laweza kutokea..kuna clip moja ilisambaa sana 2015 nimeitafuta siioni, ilionyesha Lowasa akimnadi maghuful chato mwaka 1995 , Mazingira yalionyesha kabisa kuwa Lowasa alikuwa mtu mkubwa kinyazifa na Maghuful alikuwa ni underdog, Inavyoonekana Lowasa kaplay part kubwa sana kwenye nyazifa za uwaziri za Maghuful, na hata kuteuliwa kugombea 2015 bado Lowasa indirect aliplay part kubwa sana....Possibly kuna siri kubwa sana kati ya hawa watu...let us wait and see
 
Kama yafuatayo yatafanyika!
1.NEC itakuwa huru na Haki.
2.Vyombo vya ulinzi na usalama vitakaa pembeni visiingilie uchaguzi.
Zaidi ya hapo hata Vyama vya Upinzani vingekuja na mikakati gani,lazima CCM itabaki madarakani tu.
Asikudanganye mtu!
Sawa mkuu, nafkri unajua kabisa hyo ni ndoto za alinacha kutokea..NEC+Dola+JPM=The same thing..haviwez kwenda separately na bado vikawa pamoja..hata raisi analijua...kiufup tu tusahau tume huru...labda after 2030
 
Cha kushangaza upinzani unahubiri uhuru wa kuongea ambao wao hawautaki ndan ya vyama vyao.

Je watamwondoa nduli chukua chako mapema?



 
Unachokidai ni vigumu kukipata kwa sasa, Tume huru haipo na wala Raisi hana mpango nayo nahsi hata hajawah kufikiria
Basi kama ni hivyo huo hautakuwa uchaguzi make hautakawa na maana kwani kuna mgombea anaingia kwenye uchaguzi tayari yeye akiwa na matokeo mfukoni. This is very foolish.
 
Hanna lolote hapo propaganda za Lumumba tu hizo umeandika pumba tupu.
 
Hanna lolote hapo propaganda za Lumumba tu hizo umeandika pumba tupu.
Huoni kwamba tangu ujiunge jf March 9, 2017 una sms 384 Lakini likes zpo 359....Hilo tuu linaonesha kuwa comment zako nyingi ni poor minded
 
Endelea kujiliwaza ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya msingi ni ya kwako na mke wako...kama unaona ni upumbavu kaa pembeni na upishe njia...

Nikupishe kwa hizi pumba!
Aliyekwambia nikuache uanike upumbavu kakosea

Taifa hili sio lako wala bibi yako

Shika David zako kijinga wewe
 
Nikupishe kwa hizi pumba!
Aliyekwambia nikuache uanike upumbavu kakosea

Taifa hili sio lako wala bibi yako

Shika David zako kijinga wewe
Tangu ujiunge Jf December 8, 2011 umeandika jumbe 8508 na umepata likes 5570 (sms exceeds likes). hii tu inaonyesha we ni mtu wa mihemko, mtukanaji hata pasipostahili, low thinking capacity na comment zako nying ni useless...na usiniquote tena kwani ni ibu kujibizana na popoma kama wewe..na watoto wako wana hasara sana
 

Tena ulivo mpuuzi unadhani wote tunakesha Jf

Highly level of stupidity
 
Crap za kitengo kwa consumption ya wajinga wajinga. Jiwe lenu ni bua na galasha nyuma ya dola tu. Anajijua ni empty sema nyie mmepata platform ya kujipendekeza kwake.
 
Mku nimeuona uchambuzi wako lakini ungejifirisha kwanza je hivi vyama vitashiki huo uchaguzi na kama watashiki watasimamia nini kama msimamo wao kwani Western wataufuatilia uchaguzi kwa karibu.
Na mambo yakienda kinyume na msimo wao ni nini kitafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…