Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokidai ni vigumu kukipata kwa sasa, Tume huru haipo na wala Raisi hana mpango nayo nahsi hata hajawah kufikiriaNi kweli Magufuli hana ujanja wowote kisiasa, yeye anachotegemea ni mbeleko ya tume yake ya uchaguzi. That's all.
Acha basi tupate tume huru na hao wakurugenzi waende nyumbani wasiwe sehemu ya hiyo tume ndio tuone basi kama kweli yeye sio "Joka la Kibisa".
Huyu hana lolote ni ubabe wa bure tu. Kwa nini basi anaogopa tume huru??????????
Lolote laweza kutokea..kuna clip moja ilisambaa sana 2015 nimeitafuta siioni, ilionyesha Lowasa akimnadi maghuful chato mwaka 1995 , Mazingira yalionyesha kabisa kuwa Lowasa alikuwa mtu mkubwa kinyazifa na Maghuful alikuwa ni underdog, Inavyoonekana Lowasa kaplay part kubwa sana kwenye nyazifa za uwaziri za Maghuful, na hata kuteuliwa kugombea 2015 bado Lowasa indirect aliplay part kubwa sana....Possibly kuna siri kubwa sana kati ya hawa watu...let us wait and seeHata kama hatagombea tena lakini Lowasa target yake ni 2025. Amerudi lakini ataishikisha adabu muda ukifika. Anaweza asisamehe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, nafkri unajua kabisa hyo ni ndoto za alinacha kutokea..NEC+Dola+JPM=The same thing..haviwez kwenda separately na bado vikawa pamoja..hata raisi analijua...kiufup tu tusahau tume huru...labda after 2030Kama yafuatayo yatafanyika!
1.NEC itakuwa huru na Haki.
2.Vyombo vya ulinzi na usalama vitakaa pembeni visiingilie uchaguzi.
Zaidi ya hapo hata Vyama vya Upinzani vingekuja na mikakati gani,lazima CCM itabaki madarakani tu.
Asikudanganye mtu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nguvu ya nini,ya kulala pale Ofisini kwake Buguruni ili Maalim Seif asiingie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wapinzani wangeachwa huru wafanye siasa za kidemocracia, yaaani
Tume huru
Wafanye mikutano sawasawa na ile ya CCM
2020 CCM ingeangukia USO yaani hata ile mikoa kama Dodoma, Tabora ingechukuliwa na upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama ni hivyo huo hautakuwa uchaguzi make hautakawa na maana kwani kuna mgombea anaingia kwenye uchaguzi tayari yeye akiwa na matokeo mfukoni. This is very foolish.Unachokidai ni vigumu kukipata kwa sasa, Tume huru haipo na wala Raisi hana mpango nayo nahsi hata hajawah kufikiria
Hanna lolote hapo propaganda za Lumumba tu hizo umeandika pumba tupu.Kitendo cha Maalim Seif kujiunga na ACT wazalendo na kuikacha Chadema kama wengi tulivyodhani sio jambo la kukurupuka ila ni well calculated timing attack against a well organized super power CCM.
JPM ni mtu hatari sana kwenye siasa, ni mtu anayeona tatizo kwa haraka na kujiandaa kulikabili vyema..alishaona anaenda kuwekwa mtu kati ndani ya CCM na watu ambao ana tofauti nao lakini wnye nguvu ndani ya Chama (Membe group)
Kwa jicho la tatu alifanya juu chini kuhakikisha kundi lenye nguvu zaidi ndani ya chama tawala linakuwa upande wake by any means (Lowasa group) na hapo akafanikiwa kulivunja nguvu kundi la upande wa pili, Lowassa bado ana nguvu kubwa ya kisiasa na ni mtaji mkubwa sana wa JPM...bila shaka JPM atapita kama mgombea urais kupitia chama tawala (Patamu hapo.)
Changamoto nyingine ilikuwa upande wa pili yaani upinzani, juhudi zilifanyika kuiangamiza CUF na kuimaliza nguvu Chadema, wabunge wengi na madiwani wametimkia CCM..na hilo amefanikiwa kwa kias kikubwa.
Hata hivyo kuna vichwa vitatu makini ambavyo JPM anatakiwa acheze navyo vyema Hawa ni Lissu, Zitto na Seif.
Hawa watu wametazama kwa umakini mwenendo wa siasa za bongo wakaona hakuna uwezekano wa vyama vya upinzani kushinda uchaguzi 2020 kwa njia ya kura, ukiachilia mbali mambo anayoyafanya JPM, bado jamaa anakubalika sana kwa wananchi hasa maeneo muhimu kwa kura, hivyo kwa vyovyote vike kushindwa ni hakika.
Kwa mtazamo huo Lissu na Zitto wkaamua kutafuta msaada nje ya box through western countries, na hivyo wanafanya kila wawezalo kuhakikisha Nchi za Magharibi zinaimulika Tz kwa jicho la pekee, JPM anajaribu kuwatikisa hawa jamaa wa magahribi, uongozi wake unaenda kinyume na propaganda za magharibi (mf ) kuminywa uhuru wa vyombo vya habari, kuminywa kwa democrasia na kuegemea kwake kwa nchi kama china n.k ..
Hivyo Lissu pamoja na Zitto wanatumia Mwanya huo kupress ili hizi nchi zihakikishe zinashawishika kumwondolea mbali JPM 2020, na kwa vyovyote vile Lissu na Zitto ni vibaraka wa hawa jamaa.
Hata hivyo hawa wazungu hawawezi kukupa tu msaada wa ushindi kwenye uchaguzi kama hawajajiridhisha ya kuwa watafaidika zaidi kuliko wanavyofaidika sasa, pili hawawezi kwenda nje ya propaganda yao ya democrasia na hivyo lazima ujipange kupata support ya wapiga kura wa kutosha, na hapa ndipo mkakati kabambe umesukwa....
Hoja ikaja, Ili kupata mtaji mkubwa wa wapiga kura lazima vyama vikuu vya upinzani viunganishe nguvu, mambo ya kupambana separately inabidi yakae pembeni...possibly mipango kabambe imeenda kama ifuatavyo.
CUF ni kama imeyumba sana, hata hivyo ni chama chenye mtaji mkubwa wa wapiga kura hasa visiwani na maeneo ya Pwani, huku chama kikiwa na mpasuko mkubwa, bado Maalimu Seif ana ushawishi mkubwa kwa wapiga kura na hivyo support yake haitakiwi kupuuzwa.
Kwa vyovyote vile Seif alitakiwa ahame ili kuhamisha kura sehemu salama kwa upinzani...suala la kidini likaibuka, chama cha Chadema kimsingi kina msingi wa kikristo sana , wanachama na wafuasi wa CUF 90% ni muslim na wana itikadi kali hawa watu.. Hivyo tactically haitaleta matokeo mazuri kwa Seif kuhamia Chadema, badala yake best option ikaja Seif atimukie ACT ambayo msingi wake mkuu pia ni uislamu na hivyo support itakuwa kubwa visiwani na Pwani.
Hivyo Zitto na Seif kazi kubwa waliyo nayo ni kuorganize wanachama wa CUF na ACT wazalendo wawe kitu kimoja for the final battle, kazi kubwa itakayobaki kwa Mbowe ni kuorganize wanachama wa Chadema kutokana na seleka seleka la kuhama kwa wabunge na madiwani ambalo kimsingi limepunguza ushawishi wa chama.... huku kazi kubwa ya Lissu akisaidiwa na Zitto ni kumobilize western support for the final Assault, kuelekea uchaguzi mkuu vyama hivi vitaungana ili kuleta impact kubwa zaidi na hapa inatengenezwa proper timing kulingana na matokeo ya mikakati itakavyokwenda .....
My take:
Ili mpango huu ufanikiwe Other factors should remain costant eg: Msuguano wenye ushawishi kati ya western countries +USA na JPM (Mpak sasa hivi hakuna msuguanao wenye maana), Kuibuka kwa makundi yenye nguvu zaidi ndani ya CCM yanayopingana na sera za JPM (Kurudi kwa Lowasa na Rostam, hili ni kama limezimika, but let us wait and see), kusiwepo na tofauti kati ya Zitto na Chadema kila mmoja aridhike na mipango itakayopangwa. nk....
Hivyo JPM inabidi akae mkao wa kula, hata hivyo JPM yupo vizuri sana kwenye kucheza na nyakati, bado yeye ndo ana nafasi kubwa ya kubadili mchezo anytyme, tutaendelea kushuhudia mambo mengi zaidi ya kisiasa kadiri tunavyohit ucahaguzi mkuu..Leo nimemuona mzee Kikwete akienda ikulu
Endelea kujiliwaza ivyoUchambuzi wako umekosa hoja muhimu Moja kuu uneongelea hama hama ya wabunge na madiwani kwa chadema umesahau Lowassa effect kuwa kuhama kwake kahama na sehemu kubwa ya wale wapiga kura milioni sita wake ambao asilimia zaidi ya themanini walipigia kura chadema sababu ya Lowassa kwenye mikoa yenye walutheri Wengi.Hawakupigia kura chadema sababu wanaipenda Chadema Bali sababu walimpenda Lowassa mikoa yenye walutheri wengi kama Kilimanjaro,Arusha,manyara,Mbeya,Dar es salaam Tanga na Momba na morogoro
Lissu sidhani km atapewa kugombea urais chadema,na hata km atapewa sidhani km ana sifa kuliko zitto kabwe, urais ni zaidi ya matusi na propoganda, lissu amepungukiwa hekima."FINAL BATTLE FOR TOTAL DISCPLINE 2020".
JIWE KAZI UNAYO MWANAKWETU.
Bara ni TUNDU LISSU 2020
Visiwani ni MAALIM SEIF 2020.
"Mopao Mokonzi"
Nguvu ya kufanya kazi ya "KK Security" pale Buguruni.Nguvu ya nini,ya kulala pale Ofisini kwake Buguruni ili Maalim Seif asiingie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya msingi ni ya kwako na mke wako...kama unaona ni upumbavu kaa pembeni na upishe njia...
Tangu ujiunge Jf December 8, 2011 umeandika jumbe 8508 na umepata likes 5570 (sms exceeds likes). hii tu inaonyesha we ni mtu wa mihemko, mtukanaji hata pasipostahili, low thinking capacity na comment zako nying ni useless...na usiniquote tena kwani ni ibu kujibizana na popoma kama wewe..na watoto wako wana hasara sanaNikupishe kwa hizi pumba!
Aliyekwambia nikuache uanike upumbavu kakosea
Taifa hili sio lako wala bibi yako
Shika David zako kijinga wewe
Tangu ujiunge Jf December 8, 2011 umeandika jumbe 8508 na umepata likes 5570 (sms exceeds likes). hii tu inaonyesha we ni mtu wa mihemko, mtukanaji hata pasipostahili, low thinking capacity na comment zako nying ni useless...na usiniquote tena kwani ni ibu kujibizana na popoma kama wewe..na watoto wako wana hasara sana
]Hivyo JPM inabidi akae mkao wa kula, hata hivyo JPM yupo vizuri sana kwenye kucheza na nyakati, bado yeye ndo ana nafasi kubwa ya kubadili mchezo anytyme, tutaendelea kushuhudia mambo mengi zaidi ya kisiasa kadiri tunavyohit ucahaguzi mkuu..Leo nimemuona mzee Kikwete akienda ikulu[/B]
Mku nimeuona uchambuzi wako lakini ungejifirisha kwanza je hivi vyama vitashiki huo uchaguzi na kama watashiki watasimamia nini kama msimamo wao kwani Western wataufuatilia uchaguzi kwa karibu.Kitendo cha Maalim Seif kujiunga na ACT wazalendo na kuikacha Chadema kama wengi tulivyodhani sio jambo la kukurupuka ila ni well calculated timing attack against a well organized super power CCM.