Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Mkuu hata kama strategies zake ni poorly organized lakini bado ni JPM strategist !😉😉😉
 
Kama wapinzani wangeachwa huru wafanye siasa za kidemocracia, yaaani


Tume huru

Wafanye mikutano sawasawa na ile ya CCM


2020 CCM ingeangukia USO yaani hata ile mikoa kama Dodoma, Tabora ingechukuliwa na upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msingi uislamu na ukristo....nyoko kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu swala la udini unalibeza?? Duh hatari
Najua ulitaka niongeze kwamba wametambua hawatashinda sababu ya mabavu ya JPM kutumia nguvu ya dola, anyway ndo kutoshinda kwenyewe huko..hata hivyo JPM bado ana kura nyingi sana coutryside...punguza tu mihemko utalitambua hili

CCM na JPM hawajawahi kuwa na mbinu mkakati za kuushinda upinzani kwenye fair ground. Bado wataendelea kupata fadhila ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi ili kutoboa. Mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutumia nguvu ni mbinu pia
 
Kwanza jpm anakubalika wapi hakuna kitu Kama hicho,wizi wa kidola ndio salama ya ccm nje ya hapo hakuna ccm anayekubaloka
 
Magufuli hahawahi kuwa strategist yani ni mweupe peeeee. Na ndani ya CCM kwa sasa anapingwa sana. Amebakiza mabavu na anaamini ndiyo yatamvusha.
 
Mchambuzi amejawa na Udini,Nafikiri mchambuzi ni kada wa CCM,Mchambuzi hakuyaona haya,JPM kwa sasa hakuna anakokubalika,Ndani ya CCM kuna makundi..

Uchambuzi uko kipropaganda zaiki kuliko uhalisia wa hili tokeo la kwanini Maalim kajiunga na ACT..
 
JPM hadi sasa zero upinzani 5 JPM anaenda kuwa one time president chadema imepungukiwa na wabunge walafi ambao walivuta mpunga wakarudishiwa ubunge wao na hawajawahi kuwa madhara kwa chama maana chama kiliwabeba wakawa wabunge JPM kalinywa kwa kumrudisha fisadi lowassa na gamba Rostam na hakuna jipya akumbuke 2020 anaingiza nchi kwenye vita na yeye hatabakisalama atakimbia nchi huo ndio ukweli
 
Leo nimemuona mzee Kikwete akienda ikulu
hahahahhahahahhahahhahahahhahahahahahahahahahhahahahhahahahhahahahahahhahahahahhahahahhahahahhahahhahahahahahhahahahhahahahahahhhahahahahahahhahhahahahahahhahahahhahahahhahahahahahhahahahhahahahahahahhahahahahahaahahahahhhahahahhahahhahahahahahhahaaaahahhahahahahahhahahahhahahahhhhahhahahahahahhahahhahahahahahhaahahahhahahahhahahahahhahahhahahahahhahahahhahahahhahahahhahahahahhahahahahahhahahahahhahahahahahhahahahahah
 

Wanaofuata doctrine ya Freemason kisiasa watakuona kama mchambuzi hodari!
 
Mchambuzi amejawa na Udini,Nafikiri mchambuzi ni kada wa CCM..

Uchambuzi uko kipropaganda zaiki kuliko uhalisia wa hili tokeo la kwanini Maalim kajiunga na ACT..
Nikupe tu mfano, hvi unaweza kumchukua mkristo na kumpa jimbo la Tanga mjini au Pangani ua unguja utegemee atashinda?? Udini na hata ukabila huwa unazingatiwa sana kwenye masuala ya siasa...mi sio kada wa CCM na siasa ni timing pamoja na mbinu JPM anatumia mbinu ya Mabavu na ndiyo anaamini itamvusha..wapinzani nao watafuta gap la kuikabili na hii ndo hoja yangu..
 
Utakuwa mgeni wa siasa maalim seif ni gwiji wa siasa lakini kwa CCM uwa afui dafu awezi kabisa ameshindwa hata iweje, Lissu na Zitto bado ni watoto sana na yao ni nepi, tena mchezo anaofanya Lissu adharani hakuna mtanzania aliye taayari kuuza nchi yake kwa wazungu, pili vyombo vyetu vya ulinzi haviko tayari kwa hilo.

Zitto usimuamn wala Maaalim

Maalim n mjanja anawatumia wapemba kwa maslah yake 7bu wamerogwa wamenyweshwa maji ya maiti hata aende wapi wapo nyuma, ungwaji wake mkono wa waunguja ni mdogo sana, Zitto hana power Tz bara

Bado atasubiri sana

CCM ndo super power ambayo inamua siasa iweje na mambo yaweje, hao ni watoto tu na yao nepi pempas itawachuna
 
Uchambuzi mzuri lakini sikubaliani kuwa Zito na TL ni vibaraka wa wazungu. Kilicho dhahiri ni kuwa wanafanya jitihada za kila aina kutafuta kuungwa mkono na wazungu, sawa kabisa na alivyofanya Mwalimu katika harakati za kumwondoa Mwingereza au walivyofanya OAU na ANC ili kuufuta ubaguzi wa rangi.

Kila mahali Duniani ili kuuondoa ubaguzi, ugandamizaji na udikteta, mafanikio yake yalitegemea uwepo wa mkono wa mzungu hata pale uovu huo ulipofanywa na mzungu mwingine.

Mpaka sasa, jitihada za wapinzani zimeleta matokeo mazuri zaidi kuliko za JPM. Kuna kila dalili, hasa kwa upande wa wananchi, uungwaji mkono kwa vyama vya upinzani haujapungua. Uungwaji mkono wa JPM ndani ya chama chake na kutoka kwa wananchi umepungua sana.

Ni kwa mara ya kwanza, serikali ya Tanzania imekemewa na block zote kubwa kabisa za Magharibi. Ni kwa mara ya kwanza Tanzania inatazamwa kama mfano mbaya wa jinsi nchi inaweza kutoka kuzuri na kuelekea kubaya kwa sababu ya kiongozi mmoja (refer mjadala wa kimataifa ambapo nchi 2, Tanzania na Ethiopia zilitazamwa kama mifano juu ya athari ya kiongozi. Wakati Ethiopia kiongozi wao mmoja tu ameifanya nchi kuwa na mwelekeo mzuri, na Tz mtu mmoja ameifanya nchi ikose mwelekeo).

Wapinzani kwa mara ya kwanza wamesikilizwa zaidi na nchi za Magharibi kuliko wakati mwingine wowote.
 
Mkuu hujatuchambua na sisi wapiga kura. Sisi kwa sasa hivi tuna uelewa wa kura ni siri. Pia sasa tunaelewa maana na umuhimu wa kulinda kura. Tukutane 2019 mitaani na 2020 kitaifa tukiwa na machungu mengi.
 
Kwamantiki hiyo Majimbo(wapiga kura) ndio yenye Udini sio CUF wala ACT..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…