Mkuu najua ww ni chadema kweli kweli...Kutegemea polisi ni mbinu aliyoichagua Jiwe na imemsaidia kwa kiasi chake..hata wapinzani wanatafuta namna ya kuikabili hii mbinu ya Jiwe maana anatumia nguvu...kwa vvyvyte vle hata wakishinda kwenye kura hawatatangazwa washindi, na hakuna uwezekano wa tume huru kwa sasa na mda umesonga sana kuhit uchaguz mkuu....Hvyo msaada pekee lazma watafute support kutoka kwa wenye nguvu kuzidi JPM....swala hapa ni kupata madaraka kwa njia yyte ile swala kwamba ni nzuri au mbaya sio case kwa nchi za Africa
Mimi bwana nakuelewa sana bila kujali uko upande gani.....
Lakini ulichokiandika ni ya kutoka kwako, moyoni mwako na kwa kiasi kikubwa ndivyo ilivyo.....
Nashangaa tu kwa nini members wengine wameshindwa kukuelewa.....
Ni kweli kabisa "mfumo" ndiyo unaombeba Joni Magufuli na CCM yake....
Kwani kwa upande wa pili huyu Pombe Magufuli, hana kitu... hana lolote... si mwanasiasa huyu na hana political strategies zozote huyu, hana mvuto kabisa wa kisiasa.....
Na whether you will like it or not, huyu hakuwahi kushinda ktk uchaguzi mkuu wa 2015. Ballot Box ilimkataa kwa 80%....!!!
Usiniulize: Mbona ni Rais sasa??
What matters ni kuwa, he's na anatumia ipasavyo fursa (advantage) aliyoipata ya "kushika dola na mwamuzi wa kila jambo" i. e Jeshi, polisi, TISS, fedha, mahakama, bunge, medias nk kwa manufaa yao....
Na hili ndivyo ilivyokuwa, ilivyo sasa na itakavyokuwa huko mbeleni unless kumtokea mageuzi makubwa ya mifumo ya kikatiba na kisheria ambayo automatic itabadilisha mfumo mzima wa utawala wenye uelekeo wa kiimla.....
Na hii iko na itakuwa hivihivi hata kama leo ama kesho Tundu Lissu na CHADEMA ama Maalim Seif Sharrif Hamad na ACT - Wazalendo yake ama Prof. Ibrahim Lipumba na "dead" CUF yake watashika dola....
Kwa siasa zinazoendelea sasa, mimi nadhani oppositions wanapaswa kuja na mbinu mbadala kukabiliana na nguvu hii anayotumia Joni Magufuli na CCM yake kujihakikishia wanabaki kwenye game iwe next year 2020 au hata miaka mingine ijayo.....
Opposition wanachopaswa kufahamu ni kuwa, wenzao (the ruling party) wanatumia kila silaha waliyonayo iwe ya ndani ama nje ya wao wenyewe....
Wako tayari hata kuwatumia wao wenyewe (opposition) ili mradi ku - neutralize kila resistance inayojitokeza mbele yao....
For instance, they are already done with Prof. Ibrahimu Lipumba mpaka hatua hii....
Wanaodhani Prof Ibrahimu Lipumba
bado ana business tena na CCM wanajidanganya kwa hakika. Ameshamaliza kazi aliyepewa and he's gone....
Malipo ya Prof. Lipumba ni kuruhusiwa kutumia malimbikizo ya ruzuku kwa kuhakikisha anajitengenezea mustakabali mwema ingalau wa maisha yake baada ya 2020.....
Kwa Kiingereza, tuseme hivi.. The Prof Lipumba chapter is now slowly closing...
Kwa upande mwingine nitatofautiana na wewe kwa ishu ya kwamba, CCM wamefanikiwa kuua upinzani.....
There is no way hili litatokea. Si kwa kutunga sheria za hovyo, si kwa kutumia polisi na bunduki, si kwa kutumia mahakama ama magereza nk nk....
Ambacho ni possible kwa over 50% ni ukweli kuwa, Mr Magufuli na CCM yake has a possibility of rataining his seat comes 2020 General Election unless kitokee "kisichotarajiwa" maana kwenye siasa chochote na wakati wowote chaweza kutokea......
Kwa ZANZIBAR, historia inakataa katakata kuwa Maalim Seif Sharif Hamad, ndiyo the end of the road....
Siasa za visiwani ni tofauti sana na za huku kwetu bara...
Wazanzibari wanam - support sana huyu mzee wala siyo Chama. Mwisho wa Maalim Seif ni kifo ama kuacha siasa tu, and not otherwise....
Na kama hatuamini hili, tusubiri mwakani 2020..!!