Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Makosa katika huu uchambuzi,ambayo yansonyesha kuwa mchambuzi kaegemea upande wa chama tawala
A)JPM anakubalika
B)ZZK na TL ni vibaraka wa wazungu..
C)ACT ni chama cha waislamu

JPM hakubaliki kwa sasa,amepoteza mvuto kwa Watanzania wengi,maisha magumu mitaani,hakuna mzunguko wa Pesa..

Ideology yake ya kuwa Utajiri ni Ubepari,Maendeleo ya Vitu ni bora kuliko Maendeleo ya Watu haikufanikiwa,sasa,inamugharimu..

Nionavyo ona mimi ZZK ana anaamini uwazi (transparency)katika kuongoza,hii haimfanyi kuwa yeye kibaraka,kwavile CCM haiamini katika ideology hiyo..

TAL anamini katika utawala wa Sheria na Haki za Binaadamu katika kuongoza,kwavile CCM haiamini ideology ya utawala wa Sheria na Haki za Binadamu haimfanyi TAL kuwa kibaraka wa Wazungu..

Kwasababu hizi ndio nimeona kuwa wewe mchambuzi ni KADA wa CCM!!
 
Unaweza ukawa na hoja bt, umeijaza mipasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jpm anakubalika wapi hakuna kitu Kama hicho,wizi wa kidola ndio salama ya ccm nje ya hapo hakuna ccm anayekubaloka
JPM kama ilivyo CCM yake anakubalika zaidi kwa wakulima na wafugaji 'wanyonge' walioko huko useken kabisa mabako hawawezi hata kuielewa hiyo dhana ya wizi wa kidola!
 
JPM kama ilivyo CCM yake anakubalika zaidi kwa wakulima na wafugaji 'wanyonge' walioko huko useken kabisa mabako hawawezi hata kuielewa hiyo dhana ya wizi wa kidola!
Kwa maisha hayo hayo ya kisenge walionayo ndo wamkubali? Mtu Hana future uzee unamsonga kwenye umri was ujana afu unamwambia tumenunua ndege sijui flyover huyu akikuelewa atakua ni pumbavu was kiwango Cha sgr
 
Poor analyst....kawashawish kenge wenzio hapo lumumba!!
 
Hoja zenye nguvu hizi! Kudos!
 
Uko sawa mkuu...possibly ndo wanajipanga hvyo mbali ya utoto wao...Ngoja tuone
 
Poor analyst....kawashawish kenge wenzio hapo lumumba!!
Sin mda wa kujibizana na mapopoma kama wewe..i cant wast my tym discssng with arrogant nonsens pumpkin..go to the hell dude
 
Sawa mkuu....
 
Sin mda wa kujibizana na mapopoma kama wewe..i cant wast my tym discssng with arrogant nonsens pumpkin..go to the hell dude
Hocus...pocus!!!Stop advertising your wildly foolishness!!
 
Kwa maisha hayo hayo ya kisenge walionayo ndo wamkubali? Mtu Hana future uzee unamsonga kwenye umri was ujana afu unamwambia tumenunua ndege sijui flyover huyu akikuelewa atakua ni pumbavu was kiwango Cha sgr
Mi mwenyewe ni victim wa maamuzi anayoyafanya JPM...shughuli zangu huwa zinanilazmu nikutane na watu wasio na elimu huko kijijini...hawa watu wengi wao hawajui haki zao za msingi kuhusu serikali, wanachoangalia ni mvua imenyesha, mifugo ipo vizur na wamevuna mazao, mabwawa yamejaaa maji huwa wanawaza serikali pale tu wanapopata balaa la njaa, au taabu ya maji... wengi wao hujifungulia nyumban na hata njiani, wanajitibu kwa kutumia dawa za mitishamba, kwao shule, hospital na ujenzi wa barabara ni mambo ya ziada na sio lazima...

kwa Tanzania kundi hili ni kubwa sana na limebeba more than 60% ya Tanzania residents , wana imani na CCM kupita maelezo hii ni ngome ngumu sana wapinzani kuipita kwanza wanajulikana kama wahuni...ni kweli JPM uongozi wake unashindwa kulenga shabaha, pamoja na vipaumbele ambavyo havimsaidii mwananchi wa kawaid na vinapoteza hela nying but still ana mtaj mkubwa wa kura

Jaman fanyeni utafiti sio kupiga stor kweny vijiwe vya mjin ambapo wengi wa wakazi wake hata kura hawapigi
 
Upo sahihi na ndio mana Lissu yupo Ulaya
 
Wewe hujui kitu, tangu lini mbeya ina walutheri wengi? nyanda za juu kusini asilimia kubwa ni Moravian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…